Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Jana nimemsikia XXL ya clouds anaelezea sakata la Miss Tanzania. Jamaa yuko vizuri, alitoa maelezo mazuri tu. Ifike hatu tukubali na kuheshimu lyfstyle ya mtu aliyoichagua.
Hizo shughuli ndo zinamfanya aende chooni itakuwa sio poa kumkandia ki hivyo. Au mnataka naye akafanye biashara ya kuuza ngada kama wale watoto wa wakubwa???
Big up Le Mbululaaaazzz.
Umemaliza yote mkuu...kula likes 10000000000