Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Jana nimemsikia XXL ya clouds anaelezea sakata la Miss Tanzania. Jamaa yuko vizuri, alitoa maelezo mazuri tu. Ifike hatu tukubali na kuheshimu lyfstyle ya mtu aliyoichagua.

Hizo shughuli ndo zinamfanya aende chooni itakuwa sio poa kumkandia ki hivyo. Au mnataka naye akafanye biashara ya kuuza ngada kama wale watoto wa wakubwa???

Big up Le Mbululaaaazzz.

Umemaliza yote mkuu...kula likes 10000000000
 
wadau ni kweli huyu bwana kutokana na umri wake hastahili kufanya mambo haya, kuna misemo mingi wazazi na wazee huitumia mfano bint akiolewa na kwenda kuyakoroga huko husikika kauli za umetutukanisha ukoo wetu kwa upuuzi wako.
wazazi wana heshma yao wadau wanaotoa michango ya kutowahusisha wazazi mimi naungana nao, tuwaheshimu wazazi.
 
Ha! ha! ha! thanks Le Mutuz kwa kutoa le majangaz yanayokukabiliz...watu walishachukua le tongez le mdomonizzzzz
Usiwe na le manenoz we le mburulazzzz!
 
Ha! ha! ha! thanks Le Mutuz kwa kutoa le majangaz yanayokukabiliz...watu walishachukua le tongez le mdomonizzzzz
Usiwe na le manenoz we le mburulazzzz!

Hahahaaaa yaani nimecheka hatariiii
 
1.Watoto wa Le mutuz aliowakimbia USA wana umri gani?
»Kwahiyo Le mutuz anaona kama Domo kampiku kuwa na zari ndio maana anakazania kwamba ni project tu.
 
Like a Father Like a Son!
Samuel+Malecela.jpg

Inawezekana hadi Leo mzee aanchagulia kijana wake bling
 
Mweeeeh ulimfanyaje Le Big Show hadi akakublock?
Mi sijamfollow ila nikijisikia kucheka huwa naenda kwenye page......jamani ule mwandiko wake unaniachaga hoi aiseee!

Hata sijui... labda kuna comments zangu zilimkera.. wakati nilikuaga full kumsapoti akitukanwa na kina dougiemasta
Mie mwenyewe alikua ananichekesha nikianka asubuhi nakutana na post zake kama 7
 
Who are you kuingilia mambo yao ungemstiri km usingeleta habari za lemutuz hapa...

Am no body Madam, but/lakini kabla sijaendelea samahani kama hutojari unijibu maswali haya;

1. Je wewe una mtoto/watoto?

2. Unafahamu Ex wa Le Mutuz pale USA anafanyakazi taasisi gani?

Mwisho mke Ex wa Le Mutuz ni memba mkongwe tangu enzi za Jambo forum kabla ya JF.

Sina sababu ya kumstiri bali Brother anatuangusha na yeye alisoma DMI kabla yangu chuo chetu hakina sifa ya kuzalisha maboya.
 
by the way before I comment...is this guy (Le Mutuz) under 17?
 
Back
Top Bottom