Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

- Ni kawaida ya shoga kujisema mwenyewe bila kuulizwa hasa anapotaka kutangaza biashara yake mahali kama hapa JF, mengine ni nonsense nipo Arusha on vacation nikimaliza ninakuja kufungua Radio na TV Station by the end of January tutakuwa hewani, wewe shikilia haya maneno yako siamini wewe ni Mwanaume no way U knpw hahahahahahah utaendelea kunisoma sana mkuu!!

Le Mutuz

Hauna lolote wewe mzee, ushapoteza dira bana.
why don't you accept and move on daddy?utalazimisha mpaka lini, mwenzako are almost a thousand mikes away wewe ndio kwanza you are on your marks.
wadanganye hao hao wasiokujua,utazania Leo ndio unabalee mzee.!!
 
gwijimimi

- Unahangaika na ID mpaka ufe mimi mwendo ni ule ule huwezi kuwa na Degree 3 ukaja kwa majina ya bandia hapa kufuatilia maisha ya Wanaume kama wewe lazima uwe huna elimu kwanza, U know hahahahahaha U know

Le Big Show
since when nikachange ID?
AU MASHETANI YASHAANZA KUKUPANDA KICHWANI TENA?
WE TEENAGER HASARA SANA AISEE
 
gwijimimi

- mbona unajisema mwenyewe mambo yako ya siri hapa hatuyahitaji kuyajua mkuu hapa sio momabasa eti, kuhusu escape one naomba nikuulize instagram party ya kwanza waliingia wangapi? Hahahahahahahah mtakufa na vijiba shongoni sisi tunavuta pesa tu u know!!, umesikia kivumbi cha tegeta juzi nilipompelekea juma nature ilikuwa ni balahaaaa

le mutuz
ngoja nikuwekee mclip wako wa pale bungeni ulivyokua unatetemeka mpaka unataka kujinyea kisa kiinglish
mazafanta digrii tatu my asiiiii
 
Hauna lolote wewe mzee, ushapoteza dira bana.
why don't you accept and move on daddy?utalazimisha mpaka lini, mwenzako are almost a thousand mikes away wewe ndio kwanza you are on your marks.
wadanganye hao hao wasiokujua,utazania Leo ndio unabalee mzee.!!

- hahahahahahah haya mambo nimeyaanza toka nikiwa DJ hapa mjini wewe hujaja mjini, niwache nile maisha yangu wewe endelea na ya kwako mamen ila I love my life U know

Le Mutzu
 
Le muruzzz wewe ni mtu mzima na baba yako alikuwa kiongozi.mambo unayoyafanya unamzalilisha yule mzee unahangaika kupiga picha na wanawake sijui ndio ushamba au nini?.huwa kuna wakati nawaza hivi kweli wewe ni mtoto wa Malechela kweli au mzee aliuziwa mbuzi kwenye gunia (alibambikwa wkt mimba sio yake) maana mambo unayofanya unawatia aubu wagogo wenzako badilika wewe babu
 
Lazima kuna wakati upokee ushauri unaopewa na jamii sio kila kitubunajifanya mjuaji wkt unakosea huoni kila mara unanyoa kipara unaogopa mimvi kuonekana maana kichwa kizima kimejaa mvi badilika wewe huoni hata aibu mama Kilango anakuamkia halafu wewe unajiona mtoto bado unawatia aibu ndugu zako kwa unayoyafanya kupiga piga mapicha na wanawake au ndo vile tunasikia wewe Jogoo hapandi mtungi yani huna Sumu
 
- so ukiwa mtoto wa Waziri Mkuu Mstaafu hurusiwi kupiga picha na fans wako, kakak mimi ni Celeberity kila ninapokwenda ninaombwa picha na wanachi wote wanaume kwa wanawake, sasa unasema nikatae kwa sababu ni mtoto wa Waziri Mkuu mstaafu? na wewe kwa kuandika hapa na majina ya bandia unaamini ni mtoto kweli wa baba yako? una maana ndio tabia ya baba yako kuandika matusi kwenye Social Mediaa kwa kutumia majina ya bandia mbona unajivua nguo mwenyewe kuwa mjinga? hahahahaha

- Nipokee ushauri kutoka mjinga aneytumia majina ya bandia kufuatilia maisha ya wanaume asiowajua kama wewe kweli unatka na mimi niwe kama wewe? hahahahahahahahahha

Mbona unapanic sasa Le Mbululazzzzz lazima tukwambie ukweli wewe umeshakuwa mzee miaka 60 ni mingi sana uache upuuzi wa kujizalilisha na vitoto halafu ukiambiwa unajifanya bingwa wa kujibu mkato
 
Ukiambiwa ukweli unakimbilia polisi leo nakuchana na polisi hunipeleki umeshakuwa mzee kama watu hawaamini Le Mbululazzzzz ziachie nywele ziote kichwa chote kimejaa mvi wewe ni mzee una zsidi ya miaka 60 acha utoto ili ifikiliwe hata ukuu wa Wilaya au ubunge wa kuteuliwa si vyeo mnapeana
 
- HAHAHAHAHA ina maana umelielewa darasa siku mimi niki panic ujue wewe utakuwa ICU I love this game I live for this, I make money out of this ndio maana I love it, Miaka 60 sijafika na bado sana ikifikia nitakuambia mwenyewe ila for now bataz za ubatan tu kwa kwenda mbelzzz U know hahahahahahaha

Le Mutuz
 
Ukiambiwa ukweli unakimbilia polisi leo nakuchana na polisi hunipeleki umeshakuwa mzee kama watu hawaamini Le Mbululazzzzz ziachie nywele ziote kichwa chote kimejaa mvi wewe ni mzee una zsidi ya miaka 60 acha utoto ili ifikiliwe hata ukuu wa Wilaya au ubunge wa kuteuliwa si vyeo mnapeana

- hahahahaha unajua uzuri mmoja najua wewe ni nani ila unajua kwamba huna la kunifanya na my life, maisha yangu yanaendelea na sasa hivi soon nafungua Radio na TV sema hutasikiliza wala kuangalia hahahahaha na utawazuia wananchi wote kutoangalia, niamini mamen nisingefikia huko kwenye Radio na TV kama sio watu kama wewe mnaonipa nafasi ya kuonyesha kipaji changu hapa JF kila siku, nyinyi mnadhani mnaniharibia kumbe mnanisaidia sana cause hamjui watu gani wanasoma hapa, niamini kila siku ninakutana na watu prominent kwenye this society wanao ni penda sana kwa kuona jinsi ninavyoweza kuwakabili watu kama wewe msio na hoja wala FACTS,

- Ninawapenda sana watu kama wewe cause always mnanipa nafasi ya kuonyesha nina akili nyingi sana siwaogopi kwa sababu mnaongozwa na chuki na wivu, hahahahahaha jipange tena labda!!

live long le mutuzzz. haters watakukoma da nimecheka mpaka chumba kimeziZima unanifurahisha sana le big show.......
 
Ukiambiwa ukweli unakimbilia polisi leo nakuchana na polisi hunipeleki umeshakuwa mzee kama watu hawaamini Le Mbululazzzzz ziachie nywele ziote kichwa chote kimejaa mvi wewe ni mzee una zsidi ya miaka 60 acha utoto ili ifikiliwe hata ukuu wa Wilaya au ubunge wa kuteuliwa si vyeo mnapeana

jamaa mwache bwana wewe maisha yake yanakuhusu nini mbona mmeshindwa kukabiliana na wezi Wa escrow mnahangaika na lemburuzzz wakati hana madhala kwenu mkuu.... hayo anayofanya ndio office sasa wewe unataka awe fisadi kama riZmoko aaaagrrrrr!!
 
Le mutuz babu yangu, u are just no body, ww ni celeb wanna be, unajua maana ya celebrity?? Takin TZ as an eg ni wa TZ wangapi wanaokufaham?? Ww ni poor excuse of old people, ukikaa na watu wakicheka usihisi unawafurahisha sometymes wanakucheka, Umri, muonekano na jina lako vinasalitiwa na matendo yako, I love ur dad he, simfaham mama ako ila I blv she is a true definition of a woman sasa sijui wat went wro g with u, now ndo unakurupuka na kuanza kusaka hela ukiandaa vijiparty vyako visivyo na hadhi, angalia vijana wadogo akina msando wanafanya events unaona, mwangalie hata zari, hata seth nae anakushinda, ulivyo mbea mwanaume ww eti waziri kanipigia simu, sijui kova kaniuliza, sijui mwanasheria wa nani kanipigia shame on uuu, akina Monica wenyewe wamekushindwa and I blv wanakuonea huruma maana wakikukana hadharani unaeza kufa na hio obersity yako
 
- Ok nilikuwa Majuu nasoma nimejisomesha mwenye Degree 3 ndio maana sikuwepo hapa nimerudi miaka 4 iliyopita na ninaendelea na maisha yangu ya kujitegemea kama nilivyokuwa Majuu, huwa sina tabia ya maneno mengi huwa nina matendo zaidi nikisema ninafanya sijawahi kusema anything bila kukifanya, sina obesity cause wenye nayo huwa wanaumwa mimi siumwi na hujawahi kunisikia nikiumwa namshukuru sana Mungu on that, kilichonitokea ni kwamba mabadiliko ya maisha kutoka kwenye yale maisha magumu ya Majuu na kuingia haya ya hapa bongo nime relax sana sio kama nilivyokuwa ninaishi majuu ndio,

- Sijafanya viparty, hapanaa Kampuni kubwa ya beer ya kimataifa kama Serengeti haiwezi kudhamini kijiparty never, hao unaojaribu kunilinganisha nao ina maana moja tu kwamba unaniweka nao level moja, na umenifurahisha sana kuniweka level moja na Zari na Albert Msando kwa kuanda matamasha, tamasha langu la mwisho lilingiza watu 5,500 walioli[pa Shillingi elfu kumi kila mmoja unasema ni kijiparty? hahahahahahahahahha bring it on I love it!1

- Halafu eti umesema I am no body na huku thread yangu sasa inafikisha page 27 na viewers 40,000 tena JF? Are kidding me or what? hahahahahahaha wewe subiri kunisoma tu hapa mpaka mwisho wa your life ila utaelewa tu somo kwamba I am celebirty u are not!!

Eti ni kweli mama kilango anakuamkia shikamoo.au uzushi
 
Back
Top Bottom