Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Upuuzi wa William Malechela Le Mutuz

Le Mutuz anajua kucheza na akili za wadanganyika kama ccm.
Atacheza na akili za nani huyu, anajichezea mwenyewe, huyu ni mtu wa kuhurumiwa tu na kumwacha kama alivyo athari za utotoni hizo alichelewa kutembea.
 

Attachments

  • 1458152389914.jpg
    1458152389914.jpg
    46.4 KB · Views: 63
1. Matola mwanaume mzima mwenye watoto wanaokuheshimu sana unasema watakuheshimu zaidi kujua baba yao kazi yako kwenda kwenye instagram za wasiokujua na kuanza kuhamishia JF kwa kutumia jina la bandia na kuanza kuwatukana? Unasema for this watoto wako na mke wako watakuheshimu zaidi?

2. Eti kosa langu ni nini hasa in this case? Kwenda kwenye Instagram yangu kutangaza kwamba nitaweka ukweli kuhusu Diamond na Zari kama wana date au hapana, unasema nimevunja sheria ya nnchi? au unasema nilitumia bastola kuwalazimisha wananchi wengi pamoja na wewe kuja Instagram yangu kufuatilia huu umbeya?

3. Halafu umri wangu mbona unakupa taabu sana maana for sure huujui, mimi nikiwa 60 Mwenyekiti wako wa Chadema atakuwa 75, hahahahahahahaha unanichekesha sana ingawa I love this maana inaniongezea umaarufu zaidi hasa kwenye mitandao ambako ndio kuna 80% ya my investment.

- Otherwise Diamond is my close friend so is Zari and Wema too, na wote ni big Celebs kama mimi U know so lets the movie keep on going, ila umejishusha sana hadhi kwa mwanaume mzima kuingia instagram za wasiokujua na kuanza kuhamisha habari zao kwa majina ya bandia, ingawa najua kwamba unanifuata kwenye isnta yangu kwa sababu mimi ni Big Celeb

- Halafu mnanishaangaza sana mnasema mnanichukia na kwamba sifai na kwamba sina akili, jamani kila siku thread ya mtu msiyempenda inawezekana vipi yaani hii thread nimeona mahali mpaka Philemon Michael amechangia I was like no way daamn yaani nimekuwa this Big of Celebrity U know hahahahahaha and I love iit!!

Le Big Show
Hahahahah, wachambe haoo le mutuz, hii ni proof tosha kuwa wewe ni big celebrity, the king of all bongo social media network
 
siwezi jibizana na mbururazzz u know!!! haa haaa im humbled #lemutuz#
 
Binafsi najifunza kitu. Mtu ukiamua kuishi "kimakosa" kinyume na style ya jamii yako, ukishambuliwe ujue ni "sehemu ya kanuni"

Ever thing has prons and cons. Accept them in equal weight!
 
Back
Top Bottom