Upweke umemzidi anahitaji mtu

Upweke umemzidi anahitaji mtu

Illuminata Rodgers

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2015
Posts
2,845
Reaction score
2,024
Ni mke wa mtu but kutokanana na mumewe kutokujali anahitajika mwanaume kwa ajili ya kumuondoa upweke,kuhusu yeye yuko na miaka 27,ni mjasiriamali.
Mwanaume anaehitajika awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato na awe na umri wa miaka 32 mpaka 50.
Serious man inbox me
 
Kwa hiyo anahitaji mbususu ipelelewe moto🤣🤣🤣🤣
 
LET ME CLOSE THIS THREAD BY SIMPLY SAYING...........

Nonachoona hapa ni kutaka kurudisha kisasi tu kwa huyo the so she call him Mwenza. Punguza wivu bibie,kunywa maji mengi,acha pombe,relax, usipende sana kukaa peke yako hasa ukiwa na mawazo kwani feelings zinapelekea upweke na upweke unapelekea stress na wewe hadi sasa una hizo STRESS ukiendelea na mwishowe stroke kama sio suicide. Mapenzi wamekufa nayo babu na bibi zenu over!
 
Binadamu tumeumbwa kwa namna ya tofauti....

Kuna ukweli tukiambiwa tunakimbia na uongo tunakubali....

Wakati niko mschana wanaume waliokuwa wananitongoza na kutaka tufanye mapenzi nilikuwa nawaambia nikipata mimba je...!?? Mambo ya kuanza kukimbizana mimba yako mara katoe siyataki...

Wananijibu tutatumia Condom.

Nawaambia tukapime HIV, wanasema sasa kama tunavaa Condom kuzuia mimba itaswihi n HIV hakuna haja ya kupima.

Nawaambia je, ukiambiwa huyu dada amepimwa na amegundulika na virusi vya HIV ila anataka mfanye mapenzi kwa kutumia Condom....!

Wanaruka futi mia, weeh huko ni kujichoma mtu ushajua kabisa ana ngwengwe hapo hata ndom haisaidii.....!

Hivi mtoa mada asingeweka wazi mhitaji ni mke wa mtu, nyanaume kibao zingemiminika kuloweka mguu....!
 
Ni mke wa mtu but kutokanana na mumewe kutokujali anahitajika mwanaume kwa ajili ya kumuondoa upweke,kuhusu yeye yuko na miaka 27,ni mjasiriamali.
Mwanaume anaehitajika awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato na awe na umri wa miaka 32 mpaka 50.
Serious man inbox me
Don't manipulate the story , to be honest mtu anayehitaji mpenzi ni ww ,ukitaka ushahidi nakupa[emoji23][emoji23]

Nambie uko wapi mwenyewe hapa nipo single japo maisha yangu ya kawaida sana,
 
Ni mke wa mtu but kutokanana na mumewe kutokujali anahitajika mwanaume kwa ajili ya kumuondoa upweke,kuhusu yeye yuko na miaka 27,ni mjasiriamali.
Mwanaume anaehitajika awe na shughuli yoyote ya kumuingizia kipato na awe na umri wa miaka 32 mpaka 50.
Serious man inbox me
Ongeza nyama kwenye CV kama ni mama wa nyumbani au anafanya shughuli Gani? Mweupe/mweusi? Mwembaba/mnene, mrefu/mfupi/wastani nk
 
Binadamu tumeumbwa kwa namna ya tofauti....

Kuna ukweli tukiambiwa tunakimbia na uongo tunakubali....

Wakati niko mschana wanaume waliokuwa wananitongoza na kutaka tufanye mapenzi nilikuwa nawaambia nikipata mimba je...!?? Mambo ya kuanza kukimbizana mimba yako mara katoe siyataki...

Wananijibu tutatumia Condom.

Nawaambia tukapime HIV, wanasema sasa kama tunavaa Condom kuzuia mimba itaswihi n HIV hakuna haja ya kupima.

Nawaambia je, ukiambiwa huyu dada amepimwa na amegundulika na virusi vya HIV ila anataka mfanye mapenzi kwa kutumia Condom....!

Wanaruka futi mia, weeh huko ni kujichoma mtu ushajua kabisa ana ngwengwe hapo hata ndom haisaidii.....!

Hivi mtoa mada asingeweka wazi mhitaji ni mke wa mtu, nyanaume kibao zingemiminika kuloweka mguu....!
KWanj akiwa nke ya mutu ndio wanaume hatutakiwi kwenda kula mbususu yake kama yeye yupo tayari kuitoa bureee
 
Shetani kazini,naonaa dalili ya mtu kufumaniwa nakuliwaa mucho,wanaume wanavyopendaa kitongaaa lzm mmoja apatikane wakuliwaa
 
Back
Top Bottom