Upweke umenichosha, nahitaji boyfriend

Mimi nakutakia kila la heri. Maana kupitia hivi vigezo vyako, nimejiona sitoshi.
 
Ok nipo hapa niko dar nicheck whatsapp 0717262911 ommy
 
Hii comment itasomwa ktk kikao cha majobless jumatatu.
 
Hua hakikosekani kigezo cha kunitoa knock out. Leo ni urefu
 
Akipata mwanaume humu.Alete mrejesho.

Wanawake tafuteni hela zenu.

Aseme atanafuta ajira ieleweke. Na siyo upwekee umemchosha[emoji28][emoji28]

Na akiliwa kimasihara,Uzi wa rikiboy uko wazi asisahau kutuwekea comment sisi wasomaji[emoji1]
 
Mnatuonaga wanaume mazoba sana.
Unafikiri kwanini mwanaume aje gizani na hajui aina ya mwansmke?
Weka sifa zako hadharani utapata mume fasta.
Nakusaidia tu ujazie nyama but mimi sihitaji
 
Mie niwe mkweli tu, mimi ni MUME WA MTU.

Ila nawe si mtu, basi ndio hivyo hivyo tena, mimi ni MUME WA MTU
[emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Ifike mahalo tuwe wastaarabu Kwa kweli... wengine wana'comment'' hovyo Sana!!
 
[emoji1]
 
Awe na kazi au kitu anachoshughulika nacho kumuingizia kipato
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…