Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

40yrs ... Umri wa mwanamke kua zaidi ya Sukari+asali.

"What is yours will always be yours no matter what "
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Tafadhali usiwe tu, mwanamke mwenye jinsia mbili, mkafika huko mkageukana, kwa kutafuta bikra za vijana wa kiume! na kuwabomoa! ke'' rijali wanakuja wenyewe tu! je ni kweli wewe u ke?'' nihakikishie ili niondoe mashaka!
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Hebu Ni PM nikwambie kitu. Asante
 
Hujasema tu kama upo tayari kuwa nyumba ndogo! Waweza pata kampani humu😎😎

Shida ya umri huo kumpata mwanaume aliye single ni shida sana.........labda awe kataliki hivi karibuni, mgane au kakimbia upadre au ana tatizo fulani hivi fundamental lililomfanya awe single.
 
Hata ng'ombe mnadani huwa tunachagua.
unachagua miaka 20 mizima? maana toka ukiwa 23 ulipaswa kuanza chagua mpaka kufikia 28 uwe ushapata wa kufanana nae.

Nahisi ndo wale mnaofungana mota humu kwamba ukizaa mtoto basi na una kazi yako basi huna haja ya mwanaume n bla blaah!🤣🤣🤣🤣

Mwanaume ni essential acheni kujidanganya. You really need a man to feel right as a woman pia kulea mtoto baba ana mchango mkubwa kumshape mtoto. Acheni viburi jamani.
 
Vp mlango bado uko waz au ushafungwa.?.😎😎
 
Kibe 10 mm nipo nitakutowa stress achana na wazee 55 wanafamilia zao wanategemewa ao wengine wanasomesha wengine Wana wajukuu
 
Hututaki marioo wazee wa kazi kazi[emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]

Watu wa mikiki mikiki

Beki butu wazee wa kubutua[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]

Mi laki tano kwa mwezi utafurahi mwenyewe[emoji3059][emoji3059][emoji3059]

Sikusumbui kbs.Utanitambulishakm mdg wako wa hiari sitakuonea wivu kabisaaaa
 
Back
Top Bottom