pokrei
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 510
- 454
Great thinkers wapozidi kupoteza hapa JF inasikitisha (ngoja nimtetee Kidogo.Unaweza kuta alishaolewagwa au Hata kuzaa au vyote Bht mbaya mi.e akafa au yakamkuta ya kumkuta.Usijifanye Jiniasiiii wa Maisha.Kabla hujafa hujaumbika.Dada vitoto vya JF vinavyosubiri mkopo wa Chuo visikukatishe Tamaa.Kwa jina la Yesu utapata
Sent using Jamii Forums mobile app
Mlipokuwa mkitongozwa wakati mna miaka 20-30 ulikuwa bize kutupiga chini na kutubanjua kama mashine za kubangua korosho.
Tunakuomba upambane na Hali yako na iwe fundisho kwa wadogo zako wa kike hapa jf kuwa mwanamke umri ni ukuta ...
Hakuna mwanaume wa umri huo asie na familia, hapa utaishia kugongwa mpaka uote mvi. Labda upate mwanaume aliefiwa na mke, otherwise jiandae Kupigwa mashine dadeki...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app