Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Negativity ni sumu, usijali mkuu take it easy.
Endelea kusema negativity huo ndio ukweli , wakati mkiwa mnang'aa mlikuwa hamkamatiki.. ukitokewa na mwanaume serious unaishia kutaka sifa za tamthilia za kifilipino. Leo mnakuja kulialia hapa mnataka wazee wetu ili mle pension zao za kustaafu... Ishieni huko huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyezi Mungu akupe haja ya moyo wako @ Dada!

Funga kwa 30-40 days futuru jioni saa 12 na kuendelea.

Weka nia kusudia unachotaka Mungu akupe!

Hali hiyo ianzie ndani ya moyo wako bila kushinikizwa na mtu!

Msihi Mungu akupe mume mwema ambayo unataka aweje.

Ambaye mtasikilizana, ambaye hatakuwa na michepuko , mwenye huruma , mwenye kuwajibika n.k


Halafu iwe siri yako usimwambie mtu kuwa umefunga sababu ya kitu fulani.

Mungu anapenda usiri wakati mwingine.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ukweli miaka 40 umri umeenda sana.

Kifupi huna upweke ni stress ndio zinakusumbua kichwani

Wazee wenye 43 kuendelea wanawatoto wako hadi university wako bize kusomesha kuwapata nadhan itakuwa ngumu kidogo labda kama unataka kupotezewa muda.

Advice ninayoweza kukupa kama unafamilia jaribu kuwekeza nguvu zako zote hapo.

Kama huna mtoto jaribu kutafuta kwa njia zote uweze kupata fasta maana umebakiza miaka 3 ufikie menopause. majukumu ya kulea ndio yatakuondolea upweke.

Kama utakuwa unania ya kupata mtoto PM yangu iko wazi unaweza ni fuata tukayajenga japo umenizidi miaka kibao.




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...yaani nimekosa sifa tena..ila kama ukiongeza sifa hadi 75yrs nishtue...Dah[emoji2960]

Sent using Beretta ARX 160
 
Watu bana mtu kaanzisha uzi kutafuta mtu, matokeo yake watu wanaleta ushauri na wengine kuleta judgment zisizo na maana...

Kumbuka kila mtu ana maisha yake na maisha yako yanaweza kuwa perfect kwako na sio kwa mwingine.., tusipende kuwapangia watu jinsi ya kuishi...
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Ulivyokuwa binti umetombesha weee ukawa unatongozwa unaleta nyodo sasa ushakuwa bibi ndo unakumbuka kuolewa.

Pambana na hali yako tu huku mtandaoni hakuna waoaji kuna wasafisha rungu tu.

Sent using Rocket Propelled Grenade
 
Wewe Akili zako haipo sawa.Kwani Dada wa watu nakosea nini hapo?amekwambia Mengine nenda Pm.Sasa Wewe unajuaje kama hata Yeye ana changamoto ulizosema.Maisha hayafanani Na unachotaka kuwalish watu Utoto mwingi
..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..

Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom