Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Upweke umenichosha nahitaji mwanaume mwenye 43-55

Fool of the year. HUWA najiulizaga huwa ni Lazima umkere MTU Hata kama hajakukosea.Kwani ungepita kimya ungepungukiwa?Basi hujatembea Wewe wapo wana wake kwa wanaume wenye umri huo Na wanaoana .Research zinaonyesha wazi.Na what's wrong with that anyway.... .foolish little boy

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeelewa kweli nilichokiandika au umekurupuka,

Naona unabwabwaja tu maneno bila kuelewa nilichozungumza,

Jaribu ku highlight nilipozungumza maneno mabaya kwa mleta uzi.

Siku nyingine kabla ya kujibu hoja ya mtu jaribu kwanza kushirikisha ubongo katika kujenga hoja.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaan ukweli miaka 40 umri umeenda sana.

Kifupi huna upweke ni stress ndio zinakusumbua kichwani

Wazee wenye 43 kuendelea wanawatoto wako hadi university wako bize kusomesha kuwapata nadhan itakuwa ngumu kidogo labda kama unataka kupotezewa muda.

Advice ninayoweza kukupa kama unafamilia jaribu kuwekeza nguvu zako zote hapo.

Kama huna mtoto jaribu kutafuta kwa njia zote uweze kupata fasta maana umebakiza miaka 3 ufikie menopause. majukumu ya kulea ndio yatakuondolea upweke.

Kama utakuwa unania ya kupata mtoto PM yangu iko wazi unaweza ni fuata tukayajenga japo umenizidi miaka kibao.




Sent using Jamii Forums mobile app
FURUSHI.
 
Akiliwa wewe Wewe waumia?au mnajuana Na Huyu Dada.Kiukweli unaboa .Sidhani kama umri Ni tatizo Yeye anataka kampani.Na kama Wewe Sio mhusika is better ukaangalie jukwaa la mapishi ukajifunze Hata kupika Vitumbua.Mbona unamkera MTU ambaye hujui Hata mambo yaliyomkuta?au umeitwaa kwa page yake.Bwana subiri mkopo wa Chuo ukikua Ndo uje hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikuache usije nitafutia ban kwa lazima.







Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera Sana kwa kuwa muwazi.
Namshukuru Sana Mungu kwa Fursa Hii.
Nipo tayari tafadhali tuwasiliane
 
Mm nna mama mpenzi ana 46 na ananikubali kichzi ananizidi miaka 10 ila namshona gunia vizuri sana ukitaka unga tera
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tafuta tu mtu uzae nae,wengi kwenye huo umri wanafamilia
 
Amani kwenu wakuu, upweke umenikalia kooni naona siwezi kustahimili tena, upweke ni mbaya saaaana haungalii umesoma, una pesa au hauna, umeumbika kama zebra au vinginevyo, upweke unaumizaaaa.

Mimi ni mwanamke 40yrs nahitaji mwanaume ambaye nae ana uhitaji kama wangu ila awe mkristo. Usaili mwingine tutafanyiana PM.
Wahenga karibuni only kwa walio serious tafadhali. Asante
Uko serious?0
 
Hapo utafeli mama saivi mambo ni zig zaga yaani mwnaume mwenye miaka 40+ anafukizia binti under 18 na wanawake kama ww hapo wengi wao wanapenda vijana under 25

Sikulazimishi uende kwa vijana sababu sio chaguo lako ila itakuchukua mda mrefu saba kupata matakwa yako


Ushauri wangu kwenye umri fanya mafekechee kidogo vijana tuchangamkie fursa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
..............Ulipokuwa kwenye 20's aah utasema hutazeeka ulivyokuwa unawakaushia wana mtaani sasa upo hapa unahangaika kuwatafuta wakati wao saizi wanawaza kusomesha watoto wewe unataka muanze maisha,labda ukutane na aliyepata bahati mbaya akampoteza mkewe..

Nia siyo kukukwaza ila nataka kuwaambia wadogo zako watakaopita kwenye huu uzi wako waangalie sana hatua zao kuna umri sahihi wa kutafuta mwenza waujue mapema wasije kuishia kama hii wewe.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Mkuu umenikumbusha mbali sana. Na umetoa ujumbe mzuri kwa wadada wanaojiona bado wapo kwenye chati.

Nikiwa nipo kazini nikawa namtaka dada mmoja alikua akifanya kazi ofisi ya jirani . Yule dada akanikataa katakata. Japo nilimueleza hitaji langu la kutaka kumuoa.
Basi nikaona atanipotezea muda nikaachana nae. Huku na huku akaingia kwenye mikono ya rafiki yangu ambaye mwanamke hawezi pita mbele yake akakosa kumtongoza na lazima amle!
Jamaa akamtokea demu na kamdanganya danga na kwa vile alianza kununua usafiri kabla yangu basi demu akamvulia chupi mwisho akazalishwa mtoto mmoja na uhusiano ukaishia hapo!

Mtoto mzuri lakini mpaka leo kabaki home kuwa single mother!
Nashukuru tayari nina familia na watoto.

Wadada wawe wanajifunza!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom