Upweke unanisumbua

Nini shida nikuletee matunda
Kwenye harakati tulikula mzinga wa haja na wenzangu wawili waka fariki dunia.
Mungu aliniokoa ingawa nilipoteza faham kwa masaa kadhaa, lakini matokeo ya pale nilipata fracture kwenye mguu na mfupa wa bega ulivunjika na kutoka eneo lake mnaita "clavicle"
Nilipata matibabu kwenye hospital moja ya rufaa yenye bingwa wa mifupa, kwasasa natumia "figure of 8 bandage" pia "hand sling bandage".
I'm doing good mkuu na asante kwa kujali pia...πŸ™
 
Weeee pole sana mkuu
Utapona na utakuwa sawa
Mungu anakupenda sana ndo maana upo Hai
Sending hugs to you
 
Pole sana mkuu,
 
Pole sana mkuu, upone haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…