Upweke unanisumbua

Pole sana kamanda.
 
Afanye tour? Hivi unafikiri kwenda tour ni kama kwenda kitambaa cheupe Sinza?😁
 
HEllow

Naumwa na upweke sina friend kipindi hiki nawezaje kuondokana na upweke?
Kama wewe ni wa kike tafuta mwanaume wa kukuchezea ili uchangamke ila kama wewe ni wakiume tafuta mwanamke pisi kali ta-co kubwa wa kukupiga mizinga ili akili ipate moto hiyo ndo tiba pekee ya upweke
 
Eheee ajilipue tu ,zipo zile za kushare coaster naona Malisa GJ anazitangaza facebook za elfu 60 tu.
Hahahahah tour ni Arusha huko na Moshi. Unaenda Dar Zoo au Mbweni JKT unasema tour ile 😁?

Raha ya Tour upande Land Cruiser ya kibanda wazi hadi kwenye makazi ya simba na wanyama wengine wakali kule Ngorongoro na Serengeti.
 
Anza kujifunza kuishi maisha ya peke yako..

Tatizo lako unadhani marafiki ni Kila kitu.
 
Very rare to see a woman expose like this. Tuwaachie wenzetu mambele huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…