Thad
JF-Expert Member
- Mar 14, 2017
- 13,380
- 31,566
[emoji57][emoji57][emoji57]Aisee, kwa roho mbaya hii, hata shetani anaweza kukukataa kuingia motoni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji57][emoji57][emoji57]Aisee, kwa roho mbaya hii, hata shetani anaweza kukukataa kuingia motoni.
Haaaaa sipati picha atakavyounguruma ndani.Nimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila lolote akiwa Msukuma, Muhaya na Mnyamwezi nitafurahi zaidi.
Awe anajishughulisha kwa chochote, sitaki wanafunzi wa chuo ni wasumbufu aisee. Nahitaji mahusiano ya kudumu aliye serious ani PM.
Ninaishi Mbezi Msakuzi nyumba yangu kubwa nahitaji mwanaume wa kuunguruma jamani.
NB: Muonekano wowote, kilema si ugonjwa
Hivi hata sisi wenye sauti nzito za kukoroma wakati wa kulala tunawapa raha sioe?Saunti nzito ndani ya nyumba ina raha yake jamani,wifi yangu nakuombea upate ila kuwa makin
Kuna siku huo mdomo uliozoea kuuvuta ivyo utabaki ivyo ivyo.[emoji57][emoji57][emoji57]
Kukoroma hapana jamaniHivi hata sisi wenye sauti nzito za kukoroma wakati wa kulala tunawapa raha sioe?
Aisee, si sauti nzito pia, tena inapatikana muda wote inapohitajika ndani ya nyumba.Kukoroma hapana jamani
Ama kweli, 'nyani haoni kundule'Kuna siku huo mdomo uliozoea kuuvuta ivyo utabaki ivyo ivyo.
"Asiyekubali kushindwa si mshindani"Ama kweli, 'nyani haoni kundule'
Ww jamaa unaendeleaje baada ya mshikaji kukuchana marinda?
"wanachuo ni wasumbufu sana aisee", naomba ufafanuzi tafadhaliNimechoka kuwa mpweke Mimi, nimechoka kugalagala peke yangu jamani.
Mimi ni mdada umri miaka 28, kabila Mngoni, mweusi kimo cha wastani.
Natafuta mkaka anayejielewa sina ubaguzi wa dini kabila lolote akiwa Msukuma, Muhaya na Mnyamwezi nitafurahi zaidi.
Awe anajishughulisha kwa chochote, sitaki wanafunzi wa chuo ni wasumbufu aisee. Nahitaji mahusiano ya kudumu aliye serious ani PM.
Ninaishi Mbezi Msakuzi nyumba yangu kubwa nahitaji mwanaume wa kuunguruma jamani.
NB: Muonekano wowote, kilema si ugonjwa
Kwetu mwanza nye....Kweli Mungu hamtupi mja wake, ngoja niwahi mapema kabla hii pension ya Coroshow haijaisha.
Na cha kufurahisha zaidi mimi ni chotara wa Kisukuma, Kihaya na Kinyamwezi.
Kubwa zaidi nina uzoefu mkubwa kwenye kukoroma wakati nimelala , hata mbu hawatokusogelea.
Karibu my future wife.