Sawa mkuu nitarudi tena na bei ndogo.Pages 5 za static website kwa dollar $5 ni fair zaidi haswa kwako wewe kuliko hao Wahindi. Unaweza ifanya kwa dakika 20
(Sijawahi fanya projects yoyote huko though).
Ila usiwaogope, C grade developers ndio wamejaa huko.
Na wewe tumia template mkuuKwasababu wanachukua template zilizotengenezwa na ku-edit tu. Unakuta wengine hata sio web developers, wanajaza tu maombi.
Karibu kwenye dunia yetu Mkuu. Artificial IntelligencePole sana mkuu mimi nataka nianze kusoma machine learning niwe na skill then ndio nitajiunga na Upwork ila unaweza kujimarket wewe kama ww ukiachana na kuwepo fiver na Upwork
Wana templates za kutoshaTofauti yako na wao, hao wahindi wanaweza kutengeneza hiyo website ndani ya 1 hour.
Wahindi wana templates za kutosha ni kuvuta tu na kufanya editing then mchezo umeisha hawafanyi from scratch within 1 hour unapambana na php code after code ukamilishe website full yenye 5 pages ni wachache saaanaNa wewe tumia template mkuu
Karibu kwenye dunia yetu Mkuu. Artificial Intelligence
Kweli kabisa.
Mkuu nahtaji unitengenezee app pamoja na web ,Upwork kugumu sana kuna wataalamu wa tech kibao na wahindi wamesababisha kazi ziwe na malipo kidogo.
Mimi nafanya Graphic Design ila nimeachana kabisa na majukwaa ya freelance na-focus kutengeneza portfolio yangu na kuji-brand. Pia najipika zaidi kwenye Web Development (full stack).
Ni heri kutumia Fiverr na kutengeneza strong portfolio ukiwa na price nzuri kwa top quality work lazima upate clients. Muhimu ni kuiva vizuri kwenye kitu unachofanya, wote waliofika juu wameanzia moja muhimu kukaza tu.
Mimi nafanya web development tu so kama unahitaji web naweza kutengeneza.Mkuu nahtaji unitengenezee app pamoja na web ,
Gharama zako zikoje mkuuMimi nafanya web development tu so kama unahitaji web naweza kutengeneza.
Hii si hata mbando haitoshiBaada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.