Upwork kuna competition kubwa sana

Upwork kuna competition kubwa sana

Competition is the Nature of Capitalism....... Sio huko tu, kitaa na kila sehemu ni kwamba online kuna pool kubwa ya watu kujumuika...., Wanaopiga Pesa Guarantee ni wenye Platform (Pesa bila Jasho) hayo mengine lazima upige kazi, ila sio mbaya kutumia hii pia kama another medium ya kazi zako kuwafikia wateja....

1661504210291.png
 
Pages 5 za static website kwa dollar $5 ni fair zaidi haswa kwako wewe kuliko hao Wahindi. Unaweza ifanya kwa dakika 20
(Sijawahi fanya projects yoyote huko though).

Ila usiwaogope, C grade developers ndio wamejaa huko.
Sawa mkuu nitarudi tena na bei ndogo.
 
Wahindi wana templates za kutosha ni kuvuta tu na kufanya editing then mchezo umeisha hawafanyi from scratch within 1 hour unapambana na php code after code ukamilishe website full yenye 5 pages ni wachache saaana
Kweli kabisa.
 
Kuna kitu hakipo sawa $5 /hr au $5 kwa 5 pages website??

Unaweza pia kutumia wordpress na free theme unazi cutomize , au template zako na framework uankwa una ya edit tu..

Zipo project ambazo zina umuhimu wa ku start from the scratch... na nyingine hazina ulazima.
 
Upwork kugumu sana kuna wataalamu wa tech kibao na wahindi wamesababisha kazi ziwe na malipo kidogo.

Mimi nafanya Graphic Design ila nimeachana kabisa na majukwaa ya freelance na-focus kutengeneza portfolio yangu na kuji-brand. Pia najipika zaidi kwenye Web Development (full stack).

Ni heri kutumia Fiverr na kutengeneza strong portfolio ukiwa na price nzuri kwa top quality work lazima upate clients. Muhimu ni kuiva vizuri kwenye kitu unachofanya, wote waliofika juu wameanzia moja muhimu kukaza tu.
Mkuu nahtaji unitengenezee app pamoja na web ,
 
Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!

Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.

Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.
Hii si hata mbando haitoshi
 
Back
Top Bottom