Upwork kuna competition kubwa sana

Gharama zako zikoje mkuu
Nitumie maelezo mafupi kwenye PM kuhusu aina ya web unayotaka. Itakuwa na pages ngapi? Itahitaji database? Itakuwa static au dynamic?

Sina fixed rate kwasababu kila project inakuwa charged kulingana na kazi itakayofanyika. Kama una budget uliyoweka tayari niandikie tu PM tutajadili.
 
Tofauti yako na wao, hao wahindi wanaweza kutengeneza hiyo website ndani ya 1 hour.
Wamesoma mwezini au mars. Mbona wabongo wengi tu wamesoma huko.

India ni nchi ya njaa njaa sana usisahau hilo, hakuna hata takspela au dagaa za kuokota kama kwetu tz, sasa watakataaje kazi ya dola 5 .Warabu au wachina wanaweza kukubali dili ndogo kama hio wakati kuna plenty of local deal kwao?
 
Duuh kidogo sana $5 for website
 
Unadhani issue ni kusoma sehemu moja au chuo kimoja? Tatizo ni mentality.
 
Kuuza services kwenye freelancing sites ni kazi sana. Ndio maana nanunua services tu maana automation itakuja kutake over shughuli nyingi sana hasa AI.
 
Kuuza services kwenye freelancing sites ni kazi sana. Ndio maana nanunua services tu maana automation itakuja kutake over shughuli nyingi sana hasa AI.
AI hataweza ku solve kila kitu
Ujanja ni kujifunza pale AI anapoishia.
Mfano AI hazururi mitaani hivyo anategemea kulishwa data, be the one who will feed AI the data.
 
AI hataweza ku solve kila kitu
Ujanja ni kujifunza pale AI anapoishia.
Mfano AI hazururi mitaani hivyo anategemea kulishwa data, be the one who will feed AI the data.
I agree, ila ukweli haupingiki. Kipindi spreadsheet ilivyoletwa kwenye teknolojia ilikosesha wqtu ajira ila ilizalisha zingine.
 
Wenzako wana tools (Apps) za ku-automate tasks kwa kutumia akili bandia (Artificial intelligence) software,

Kwa style hii hutaweza kushundana nao.

Njoo dm nikupe akili na training.
 
Baada ya kumaliza kazi utaratibu wa malip ukoje
 
Tuendelee tulipoishia...
Wenzako wana tools (Apps) za ku-automate tasks kwa kutumia akili bandia (Artificial intelligence) software,

Kwa style hii hutaweza kushundana nao.

Njoo dm nikupe akili na training.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…