Sea Beast
JF-Expert Member
- Aug 5, 2022
- 2,212
- 4,808
Nipe hio gigKuna kazi ya Upwork ya $5, aliye serious anicheki inbox
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe hio gigKuna kazi ya Upwork ya $5, aliye serious anicheki inbox
Nitumie maelezo mafupi kwenye PM kuhusu aina ya web unayotaka. Itakuwa na pages ngapi? Itahitaji database? Itakuwa static au dynamic?Gharama zako zikoje mkuu
Wamesoma mwezini au mars. Mbona wabongo wengi tu wamesoma huko.Tofauti yako na wao, hao wahindi wanaweza kutengeneza hiyo website ndani ya 1 hour.
Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.
Unadhani issue ni kusoma sehemu moja au chuo kimoja? Tatizo ni mentality.Wamesoma mwezini au mars. Mbona wabongo wengi tu wamesoma huko.
India ni nchi ya njaa njaa sana usisahau hilo, hakuna hata takspela au dagaa za kuokota kama kwetu tz, sasa watakataaje kazi ya dola 5 .Warabu au wachina wanaweza kukubali dili ndogo kama hio wakati kuna plenty of local deal kwao?
Kuuza services kwenye freelancing sites ni kazi sana. Ndio maana nanunua services tu maana automation itakuja kutake over shughuli nyingi sana hasa AI.Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.
AI hataweza ku solve kila kituKuuza services kwenye freelancing sites ni kazi sana. Ndio maana nanunua services tu maana automation itakuja kutake over shughuli nyingi sana hasa AI.
I agree, ila ukweli haupingiki. Kipindi spreadsheet ilivyoletwa kwenye teknolojia ilikosesha wqtu ajira ila ilizalisha zingine.AI hataweza ku solve kila kitu
Ujanja ni kujifunza pale AI anapoishia.
Mfano AI hazururi mitaani hivyo anategemea kulishwa data, be the one who will feed AI the data.
Wenzako wana tools (Apps) za ku-automate tasks kwa kutumia akili bandia (Artificial intelligence) software,Baada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.
Baada ya kumaliza kazi utaratibu wa malip ukojeBaada ya ku-graduate nikaona nianze kufanya freelance, ili nijipatie japo hela ya vocha kwa kufanya programming (web dev). Nikaingia Upwork kwa mbwembwe na huge expectations, eeh bana eeh!
Kazi inatolewa kutengeneza website yenye page 5, halafu malipo ni $5 (kama 12000 hivi). Kwa watu wa software development wanajua ugumu wa hii kazi na malipo haviendani kabisa. Lakini ndani ya dakika kama 2, kuna proposal 50+.
Yaani wahindi hawathamini kabisa kazi zao. Na sio kazi tu za malipo kidogo, hata za malipo makubwa dk 5, 50+ proposals. Mlio toboa mtupe tips.
Wenzako wana tools (Apps) za ku-automate tasks kwa kutumia akili bandia (Artificial intelligence) software,
Kwa style hii hutaweza kushundana nao.
Njoo dm nikupe akili na training.