Wabongo bila unafiki hatuendi.
Kuna watu wana tabia za ovyo kuliko huyo Diva mwenye sura mia,sema ndo vile sio maarufu.Ila Diva ni mwanamke kama ana K na kiba ana mdudu wasilalane kwanini?
Kwanza wote akili zao zinaendana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Diva sio kwamba ni mbaya, tatizo ni kwamba akili hana. Alikiba nimemdharau kutoka na huyu mwehuNdio nashangaa kwa kipyaa alichonacho na kipi diva kakosa watu bana kwa kuwashusha wanawake, humu humu wanaume wanamponda diva tukisema waweke picha za wanawake wao utashangaa mapenzi hayachagui na hayana mipaka
Kuna wanaume wanatomba vichaa na kuwapa mimba juu
Diva sio kwamba ni mbaya, tatizo ni kwamba akili hana. Alikiba nimemdharau kutoka na huyu mwehu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila kweli, kama aliweza kutoka na Giggy then si ajabu kutoka na DivaAli Kiba ana akili gani kubwa sana mpaka asiwe level za Diva?
Yeye anazoa zoa tu.Habagui wala hachagui,atakayemzika hamjui.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bora kugonga diva mara 100 kuliko kugonga yule kichaa gigy money, yule gigy money BIGNO labda niwe nimelewa ma'konyagi au Kvant ila si kwa akiri nilizopewa na Mungu, tatizo alilonalo diva yeye mwenyewe ndio mchawi wa maisha yake, yale mashauzi + mazarau yake ndio wabongo awapendiIla kweli, kama aliweza kutoka na Giggy then si ajabu kutoka na Diva
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni Kiki[emoji1787]hii ndio bongo mzee, mnakulana kwa siri masupastaa na kuchukiana mwisho wa siku yanalipuka ndio kama hivi, au yawezekana ni KIKI ya wimbo , hapo kijana nasibu anashikwa na hasira kwamba hata trend kwa wiki kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume mkataa K nae K tu Asa ww na diva dadangu bora nani?Ambaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
Anataka watu wajue kama kaliwa na KING nothing else.Chuki ya diva dhidi ya mtoto wa tandale kumbe ilikuwa chini ya udhamini wa bwana yuleee wa kariakoo! Ila diva ujue tu hakuna aliyepanda ubaya akavuna wema. Kuliwa umeliwa alafu bado unajichafua kwa umma ukidhani unatafuta public sympathy, shame on u fala!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa nyingine umepigia sana nyeto sauti ya diva ala za roho..Kumbe alivyokuwa anampigania kiba kumbe behind the scene mambo yalikuwa hayo.Kiba nae Ni mpumbavu ana date vip na demu Kama diva
wanaume wanafanya mapenzi na wanaume wenzao sembuse diva
Kwa hiyo wewe unawaona ni timamu hao wanaume wanaotembea na mashoga?
Tumetofautiana dear, mwanaume mwenye hofu ya Mungu ndani yake hawezi tembea na mashoga.
Nakubaliana na wewe kabisa ujue kuna wanawake wengine wanakuwaga na uchizi huo yaani inatokea linakushobea ili likalale na wewe yaani ukilitolea nje ni vita litakuchukia mpaka basi.Hili lidada uwa ni lichizi, Lilimlazimishaga Diamond ukaribu na likamtaka Kimapenzi akalitolea nje
Kiba alichoaribu ni kukubali mazoea na ukaribu nalo
So hizi texts ndio zinaonesha km walikuwa wapenzi? Mbona ni za kawaida? Naweza chat hv na kaka yangu View attachment 1419778
Atakuwa amelipia nusu.Vipi kiba ana Million 500 za kumlipia mahari huyo dada au alikua anamkula bure?
Sent From Galaxy S9
Binafsi naona maamuzi ni ya kwao, kama kupigana mashine walipigana wao, Diva kaamua kuweka mambo hadharani ili Raia tusogeze maisha na Gossip.....ila namshauri Kiba asijibu chochote, kamwe huwezi shindana na mwanamke.
wanaume wanafanya mapenzi na wanaume wenzao sembuse diva
Kichwa cha chini huwa hakifikirii kamwe.Ambaye hayupo sawa kichwani ni Ali Kiba sio Diva.
Mtu yoyote mwenye akili timamu huwezi kuwa na mahusiano na diva.
Angalia kazi ya meneja manake huo mswabwanda Kiba sizani kama kamwacha.Yani hapo kazi hamna wakiwa na tour wanachukua room moja.
View attachment 1419905