Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Urafiki wa Ali Kiba na Divathebawse umekufa rasmi? Wanasaikolojia msaidieni huyu dada

Wabongo bila unafiki hatuendi.
Kuna watu wana tabia za ovyo kuliko huyo Diva mwenye sura mia,sema ndo vile sio maarufu.Ila Diva ni mwanamke kama ana K na kiba ana mdudu wasilalane kwanini?
Kwanza wote akili zao zinaendana.

Sent using Jamii Forums mobile app

Ndio nashangaa kwa kipyaa alichonacho na kipi diva kakosa watu bana kwa kuwashusha wanawake, humu humu wanaume wanamponda diva tukisema waweke picha za wanawake wao utashangaa mapenzi hayachagui na hayana mipaka
Kuna wanaume wanatomba vichaa na kuwapa mimba juu
 
Diva sio kwamba ni mbaya, tatizo ni kwamba akili hana. Alikiba nimemdharau kutoka na huyu mwehu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kweli, kama aliweza kutoka na Giggy then si ajabu kutoka na Diva

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila bora kugonga diva mara 100 kuliko kugonga yule kichaa gigy money, yule gigy money BIGNO labda niwe nimelewa ma'konyagi au Kvant ila si kwa akiri nilizopewa na Mungu, tatizo alilonalo diva yeye mwenyewe ndio mchawi wa maisha yake, yale mashauzi + mazarau yake ndio wabongo awapendi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chuki ya diva dhidi ya mtoto wa tandale kumbe ilikuwa chini ya udhamini wa bwana yuleee wa kariakoo! Ila diva ujue tu hakuna aliyepanda ubaya akavuna wema. Kuliwa umeliwa alafu bado unajichafua kwa umma ukidhani unatafuta public sympathy, shame on u fala!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anataka watu wajue kama kaliwa na KING nothing else.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wanaume wanafanya mapenzi na wanaume wenzao sembuse diva

Kwa hiyo wewe unawaona ni timamu hao wanaume wanaotembea na mashoga?

Tumetofautiana dear, mwanaume mwenye hofu ya Mungu ndani yake hawezi tembea na mashoga.
 
Kwa hiyo wewe unawaona ni timamu hao wanaume wanaotembea na mashoga?

Tumetofautiana dear, mwanaume mwenye hofu ya Mungu ndani yake hawezi tembea na mashoga.

Ndio nasema Kiba hana levo yoyote ya kutotoka na Diva
Diva yupo poa tu mtu akiudhiwa na kutukanwa asiseme anyamaze tu ili iweje
 
Hili lidada uwa ni lichizi, Lilimlazimishaga Diamond ukaribu na likamtaka Kimapenzi akalitolea nje

Kiba alichoaribu ni kukubali mazoea na ukaribu nalo
Nakubaliana na wewe kabisa ujue kuna wanawake wengine wanakuwaga na uchizi huo yaani inatokea linakushobea ili likalale na wewe yaani ukilitolea nje ni vita litakuchukia mpaka basi.

Then linaweza hata kujitongozesha hata kwa rafiki yako sasa hizo showoff zao ni hamna rangi huta acha ona.
 
Binafsi naona maamuzi ni ya kwao, kama kupigana mashine walipigana wao, Diva kaamua kuweka mambo hadharani ili Raia tusogeze maisha na Gossip.....ila namshauri Kiba asijibu chochote, kamwe huwezi shindana na mwanamke.

Mfalme Helode amejibu kwa kumuita Kigagula

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Back
Top Bottom