Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Hahaha hebu wakufate waone
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha hebu wakufate waone
Au niambia niwafwate mwenyewe.Hahaha hebu wakufate waone
Kaka yangu kabisa naweza Ku chat nae hivo kwani hapo kuna neno gani la ajabu?
AyaWatu wa saikolojia msaidieni huyu dada hayupo sawa kichwani,inasemekana ule urafiki wa wawili hawa msanii Ali kiba na mtangazaji wa clouds Diva haupo tena,diva inasemekana ndio chanzo cha wasanii killy na cheed kutoka ktk kundi la kingsmusic.Ktk page yake ya Instagram mwanadada huyo amepost baadhi ya screenshots zinazoonesha kuwa walikuwa ktk mahusiano na msanii huyo,baada ya kuvurugana majeshi yamehamia kwa kondeboy,post hizi hapaView attachment 1419768View attachment 1419770View attachment 1419771View attachment 1419772View attachment 1419773View attachment 1419774
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuona kwenye anga zako mtaalamSoudy anajua kucheza na maneno na akili za watu taratibu hutaki kusema kitu chako ghafla unajikuta anakulainisha unasema vyote bila kutaka.
[emoji23][emoji23][emoji23]Nakuona kwenye anga zako mtaalam
Sent from my SM-N9500 using Tapatalk
Wafuate ila kitakachowapata msije kunililia😎Au niambia niwafwate mwenyewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah hii kauli imenikumbusha kitu, ulivyoiongea sasa utafikiri wewe ni jini.Wafuate ila kitakachowapata msije kunililia[emoji41]
Kwa jinsi nilivyomuelewa diva anafeel proud kugongwa na alikiba thats why kaamua aseme ili watu wajue kuwa nae kagongwa na kibaSijawahi kuexperience hii kitu, mi nnachojua kufanya mapenzi na mke/mme wa mtu ni jambo la hatari na la laana kubwa ndio maana sikuzote huwa siri, sasa huyu Diva a.k.a #Kigagula katuletea jambo jipya, hii confidence sijawahi iona popote duniani. Yaani yuko proud kabisa kut*mbwa na mume wa mtu hadi anautangazia umma na ametuahidi kutuletea picha za chumbani[emoji39] kama bwana Kibakuli ataleta fyokofyoko. Hii imekaaje mwalimu Kashasha maana mi sielewi?!View attachment 1420502
Sent using Jamii Forums mobile app