Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanazi wa utopolo hamjifichi😉Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Acha ushabiki kwenye mambo muhimu na ya misingi.Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Una akili sana mkuuUlichoandika ndicho niliwaza ninaapa mbele yake devil, nilipoona tu ni Feitoto anaenda kupiga nikajua penati itapigwa juu angani ikatue kwao mkunazini au itapigwa nje na ndo ilivyokuwa. Yani kamuonesha kabisa Ayoub kuwa anapiga kushoto kipa akaenda huko huko hata kama mpira usingegonga nguzo angeudaka!
Azam waliocheza leo sio wale wa Mwanza, yaani mpira ulipoanza Azam walionesha wazi kuizidi Simba uwezo ila muda ulivyoenda wakajiangusha wakajilegeza wakawa mdebwedo, wanacheza kama wamelazimishwa, hadi ikaboa, Manyama, Sopu, Amoah na Mwaikenda watu wa kazi wakawekwa nje nikajua tayari matokeo yamepangwa!!
Azam mmeboa sana Leo yaani mnaiachia mbumbumbu FC nafasi yenu na mjue hawatatoboa hata makundi tu timu mbovu mbovu tu Mamelodi walitupoka uto ushindi wakapigwa nje ndani.
Kweli nimeamini soka la bongo linachezwa nje ya uwanja, yaani Putin hakukabwa aliachwa tu apige shuti afunge, kweli TFF makolo watupu, leo ligi imeharibika hakuna tena sijui mzizima derby my foot!! simba hii mbovu haina msuli wa kuibamiza Azam 3 - 0 ambayo gari limewaka!
Sidhani kama wanangu wataendelea kushabikia Azam lamba lamba tena baada ya kichapo cha mchongo cha Leo.
But anyway potelea mbali maisha mafupi raha jipe mwenyewe, bado point 4 tu Yanga bingwa inatosha!!
Nakataa kabisa hakuna sehemu yeyote wanakutana tena kuna kipindi mechi ya Simba na Azam Simba alifungwa mmiliki wa Azam akawatoa out wachezaji wake kwa dinner na akatoa M200 juuNataka ukatae kama Azam sio tawi la
Waambie vyura wenzio, watasema yote na bado [emoji23][emoji23][emoji23]Azam anefungwa Wala hajauza mchezo... Hizi assumption za kijinga tuziache. Mbona mechi ya kwanza walio draw haya maneno hayakuwepo?.
Teseka taratibuu, dawa 3 ninazo hapa sema nikuletee kiasi gani.Mbumbumbu mnatamba kwa ushindi wa kupangaa
Azam anacheza akiwauzia gap la CAFCL
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata kama ni ushabiki ila tuwe wakweli
Azam leo mechi alikuwa anaihitaji ila hakuwa na uwezo
Hata refa alikuwa upande wao inaonekana alikula mlungula
Mtani leo kacheza kawaida tu ila matokeo yamekuwa upande wake
Sometimes hizi mechi zinaendeshwa na ushirikina zaidi
mradi mmewajua inatoshaAzam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Yanga lia lia mnateseka sansa , hivi mmeshapewa kibali cha ujenzi ZIWA JANGWANI?Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Bado mnajenga pale ziwani?S
Bango Lina Soma
7_2
Lakini kumbuka hapo Uto wenye akili ni wawili tu....Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
utopwinyo bhana malalamiko fc, yaani mnateseka mnyama kurudisha makali yake,na mkiteseka hivyo ndo raha ya wanasimbaAzam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Tumpe Mgunda timu mazimaHee, Yamekuwa hayo..?
Yaani Utopolo akimfunga Azam ni Sawa na ni uwezo wake...! Mnyama akimfunga Azam Kauza..!
Ama kweli Yanga kuna Wehu Watupu, sijui ni lini Wenye Akili Wataongezeka zaidi ya Wale Wawili?
Mangungu na Jaribu TenaLakini kumbuka hapo Uto wenye akili ni wawili tu....
Sasa kama Ball lilitembea tatizo lipo wapi....Azam 0- Mnyama 3
Tuombe match ya kirafikiutopwinyo bhana malalamiko fc, yaani mnateseka mnyama kurudisha makali yake,na mkiteseka hivyo ndo raha ya wanasimba