Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sahihi mkuu, jana wachezaji walikuwa kama watoto wanaotambaa kila wakiwa na mpira. Mechi hii ichunguzwe pana jambo. Inakera mnoooooo.Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.
Leo Azam kauza nafasi ya pili makusudi kwa Simba.
Kuna msimu aliwapa Simba wachezaji 6 wa first 11 ndo Simba akatawala soccer la Tanzania kwa miaka 4 mfululizo.
Azam aliwapa Ngasa Simba.
Leo ameuza mechi wachezaji wa Azam wamecheza kama wajawazito ili Simba ishinde na ichukue nafasi ya pili kushiriki kimataifa CAFCL.
Na mwakani wachezajo wa Azam akiwemo Feisal, kipre, silla na Msindo watajiunga na Simba.
Azam wanakera na kuhujumu mpira wetu maksudi.
Azam kufungwa na Simba ndo soka limekufa?Azam yupo tayari kwa lolote hata kukihujumu ili Simba anufaike.