Urafiki wa Azam na Simba unaua soka letu

Huo uharo wako huwa mnaongea simba akishinda,ila akifungwa mnafyata mikia,ifike mahali tuheshimu soka na matokeo yake,acha ushabiki wa kishamba.
 
Wanazi wa utopolo hamjifichi😉
 
Acha ushabiki kwenye mambo muhimu na ya misingi.
 
Una akili sana mkuu
 
Nataka ukatae kama Azam sio tawi la
Nakataa kabisa hakuna sehemu yeyote wanakutana tena kuna kipindi mechi ya Simba na Azam Simba alifungwa mmiliki wa Azam akawatoa out wachezaji wake kwa dinner na akatoa M200 juu
 
Azam anefungwa Wala hajauza mchezo... Hizi assumption za kijinga tuziache. Mbona mechi ya kwanza walio draw haya maneno hayakuwepo?.
Waambie vyura wenzio, watasema yote na bado [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
mradi mmewajua inatosha
 
Yanga lia lia mnateseka sansa , hivi mmeshapewa kibali cha ujenzi ZIWA JANGWANI?
 
Lakini kumbuka hapo Uto wenye akili ni wawili tu....
Sasa kama Ball lilitembea tatizo lipo wapi....Azam 0- Mnyama 3
 
utopwinyo bhana malalamiko fc, yaani mnateseka mnyama kurudisha makali yake,na mkiteseka hivyo ndo raha ya wanasimba
 
Hee, Yamekuwa hayo..?

Yaani Utopolo akimfunga Azam ni Sawa na ni uwezo wake...! Mnyama akimfunga Azam Kauza..!

Ama kweli Yanga kuna Wehu Watupu, sijui ni lini Wenye Akili Wataongezeka zaidi ya Wale Wawili?
Tumpe Mgunda timu mazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…