Marekani wanakupa uraia wao kwa vitu viwili TU basi; ulipe Kodi kwao na uwatumikie wanavyotaka. Je, sisi tunakipa uraia kwasababu gani?Uraia sio mutually exclusive thing kwamba ukiwa raia wa nchi moja automatically huwezi kuwa raia wa nchi nyingine, kama mfano wako unavyoonyesha. Kwani sisi ni wa kwanza? Mbona hiki ni kitu kidogo tu ni cha kutungia sheria unaweka mipaka ya mtu mwenye uraia pacha mfano US huwezi kuwa rais kama huna uraia wa kuzaliwa.
Kwani hapa hutakiwi kulipa kodi? Na hapa hutakiwi kuitumikia nchi hii inavyotaka? Cha ajabu nini ?Marekani wanakupa uraia wao kwa vitu viwili TU basi; ulipe Kodi kwao na uwatumikie wanavyotaka. Je, sisi tunakipa uraia kwasababu gani?
Marekani kama wewe sio raia siku ukirudi kwenu wanakurudishia Kodi zote ulizokatwa wakati unaishi Marekani. Hii ndio wasiyoitaka. Tusiige vitu bila kuiga misingi (backgrounds) yake.
Huo ni mwanya mpya wa rushwa kwa hizo "mamlaka husika" sisi Huku kila Fursa ni dili.Kwani hapa hutakiwi kulipa kodi? Na hapa hutakiwi kuitumikia nchi hii inavyotaka? Cha ajabu nini ?
Sababu ya kutoa uraia pacha atataja anayeomba uraia huo na zitapitiwa na mamlaka husika kama zina mashiko. Hata hivyo, iwe automatic kuwa raia anayezaliwa nje ya nchi na wazazi ambao wote ni watanzania, anakuwa raia wa Tanzania bila ya kujali kama alipata uraia wa nchi ingine kwa kuzaliwa au la.
Suala la kuzuia uraia pacha kwa ujumla wake ni upuuzi tu wa nchi yetu. Kwanza kuna watu wengi tu hapa nchini wana passport zaidi ya moja. Wewe kinakukera nini uraia pacha kwa mwingine kama wewe huwezi kuupata? Hapa naona ni wivu tu.
Uchanga wetu uko hivi, bado wezi wa kura, wezi wa mali zetu na mafisadi hatuna Cha kuwafanya hata kama tunawafahamu. Wengine wamejipa kinga na wengine wanatumia nguvu ya fedha na wengine wanatumia ujinga na woga wetu.Uchanga wa Tanzania uko wapi?
Kama sheria inabagua haifai kuweko. Kuna viongozi wakubwa wanaotumia majina ya wake zao, watoto wao na ndugu na marafika kufungua biashara kubwakubwa na accounts za mapesa mengi. Inawezekana kiongozi mwizi akatumia mkwewe mwenye uraia pacha kutosha mali ya wizi, hapo vepe?Suluhu ni simple tu, sheria iseme wazi kiongozi, mtumishi wa uma, au mtu yoyote anayejihusisha na serikali hana ruhusa ya kuwa raia pacha. Na ruhusa au kibali cha uraia pacha kiwahusu raia wa kipato cha chini wanaokwenda nje kujitafuta kwa lengo la kuleta utajiri nyumbani na sio kuishi huko moja kwa moja.
Na pia movement ya assets itumike kuwamonitor. Ikiwa mtu anae omba uraia pacha anakuwa na movement za assets kutoka Tanzania kwenda nje asiruhusiwe na awe disqualified kuendelea na uraia pacha ila kama anafanya movement ya assets kutoka nje kuleta ndani then anapewa ruhusa ya uraia pacha.
Na pia uraia pacha uwe limited kwa wazawa yaani waafrika tu, hawa waarabu, wahindi, wachina, na foreigners wote wasio na asili ya utanzania kwa kuzaliwa wasiruhusiwe uraia pacha.
Kwahiyo kuzuia urai pacha ni suluhisho la kudumu au hadi iweje ndio turuhusu?Uchanga wetu uko hivi, bado wezi wa kura, wezi wa mali zetu na mafisadi hatuna Cha kuwafanya hata kama tunawafahamu. Wengine wamejipa kinga na wengine wanatumia nguvu ya fedha na wengine wanatumia ujinga na woga wetu.
Wewe nchi maskini uraia pacha ni njia ya kuruhusu watu wako wenye akili nyingi na ujuzi kuondoka nchini kwako Kwenda kufanyakazi na kulipa Kodi Nchi nyingine. Nchi tajiri uraia pacha ni njia ya kupata watu wenye ujuzi mkubwa kuja kufanyakazi kwako na kulipa Kodi. Nchi maskini zitapoteza nguvukazi yake Bora kabisa na nchi tajiri zitapokea nguvukazi Bora kutoka nchi maskini. Uraia pacha ni msukumo unaozitajirisha nchi tajiri zaidi kuliko nchi maskini.
Ni upuzi kudhani uraia pacha utavutia uwekezaji, kinachovutia uwekezaji ni umeme mwingi, utawala Bora, miundombinu bora, sera Bora za uwekezaji na kodi, kuondoa urasim, upatikanaji wa malighafi na amani na utulivu.
Tukiruhusu uraia pacha nchi yetu itakubwa na wataalam wenye wenye akili, elimu na ujuzi mkubwa hasa kwenye secta za afya, uhandisi na kilimo. Tutaanza kulalamikia tatizo ambalo tumelizalisha wenyewe. Nguvu kazi itahama. Lakini ufisadi na uhalifu nchini utazidi. Kwahiyo sisi hatuhitaji kuwa na uraia pacha milele hadi hapo tutakapokuwa vizuri kwenye uchumi wetu utakaozalisha ajira na mishahara mikubwa. Lakini hadi hapo katiba na mifumo yetu ya sheria itakapokuwa powerful.Kwahiyo kuzuia urai pacha ni suluhisho la kudumu au hadi iweje ndio turuhusu?
Mawazo mgando hayoSuluhu ni simple tu, sheria iseme wazi kiongozi, mtumishi wa uma, au mtu yoyote anayejihusisha na serikali hana ruhusa ya kuwa raia pacha. Na ruhusa au kibali cha uraia pacha kiwahusu raia wa kipato cha chini wanaokwenda nje kujitafuta kwa lengo la kuleta utajiri nyumbani na sio kuishi huko moja kwa moja.
Na pia movement ya assets itumike kuwamonitor. Ikiwa mtu anae omba uraia pacha anakuwa na movement za assets kutoka Tanzania kwenda nje asiruhusiwe na awe disqualified kuendelea na uraia pacha ila kama anafanya movement ya assets kutoka nje kuleta ndani then anapewa ruhusa ya uraia pacha.
Na pia uraia pacha uwe limited kwa wazawa yaani waafrika tu, hawa waarabu, wahindi, wachina, na foreigners wote wasio na asili ya utanzania kwa kuzaliwa wasiruhusiwe uraia pacha.
Hayo unayosema yatafanyika lini? maana naona nguvu inatumika kuzuia uraia pacha kwa kigezo cha ufisadi tu na hatuoni hizo jitihada za dhati katika kukuza huo uchumi na kuwa katiba na mifumo poweful ya sheria.Tukiruhusu uraia pacha nchi yetu itakubwa na wataalam wenye wenye akili, elimu na ujuzi mkubwa hasa kwenye secta za afya, uhandisi na kilimo. Tutaanza kulalamikia tatizo ambalo tumelizalisha wenyewe. Nguvu kazi itahama. Lakini ufisadi na uhalifu nchini utazidi. Kwahiyo sisi hatuhitaji kuwa na uraia pacha milele hadi hapo tutakapokuwa vizuri kwenye uchumi wetu utakaozalisha ajira na mishahara mikubwa. Lakini hadi hapo katiba na mifumo yetu ya sheria itakapokuwa powerful.
Uchumi unakuwa ndugu yangu, au hujui uchumi ni nini. Barabara, shule hospitali, kuzambaza umeme, maji, mawasiliano ya simu na Internet, nk ndio kukua kwa uchumi. Hivyo vitu huvioni? Uraia pacha sio kipaumbele chetu kwasasa kwakuwa hatujajitosheleza kwa wataam, miundombinu Wala mifumo yetu ya kuzuia uhamiaji na uhalifu haijakaa vizuri kama Ile ya wenzetu wa magharibi na Marekani. Sisi kwetu hado tunao viongozi wanaoweza kuiba na kupata kinga ya kitokushotakiwa, wenzetu hawana aliyeko juu ya sheria, sisi tunao wengi sana. Hatuna uraia pacha lakini wanaiba sana je tukiwa nao itakuwaje?Hayo unayosema yatafanyika lini? maana naona nguvu inatumika kuzuia uraia pacha kwa kigezo cha ufisadi tu na hatuoni hizo jitihada za dhati katika kukuza huo uchumi na kuwa katiba na mifumo poweful ya sheria.
Hao marais walioukataa wao wanaweza kwenda kuishi nchi yoyote ambayo ana nyumba zake.Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?
Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.
Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.
Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.
Siungi mkono upuuzi huu.
Ukiruhisu uraia pacha utajikuta hospitali, vyuo vikuu, shule, ujenzi, tehama na kilimo kutakuwa hakuna watumishi. Yaani unagharamia vijana wako kuwasomesha kwa gharama kubwa halafu nchi nyingine zinawachukuwa bure kabisa kufanyakazi na kulipa Kodi kwao. Wakati unaruhusu uraia pacha ulidhani watarudi kuja kuwekeza lakini sio kweli na huna uhakika kuwa watafanya hivyo. Nchi za magharibi wanaweza kubadili sera zao wakati wowote kwa raia wao; wanawezakuzuia kutuma fedha nchi zimazoendelea au wakaweka mashariti magumu kwao washindwe kurudi kuwekeza nchi fulanifulani wanazokorofishana nazo.Hao marais walioukataa wao wanaweza kwenda kuishi nchi yoyote ambayo ana nyumba zake.
Wanataka kuhalliisha watoto wa nje ya ndoa waliozaa huko nje ya nchi. Huwezi kuwatumikia mabwana wawili kwa wakati mmoja.Ni Aisha uwe mtanzania au raia wa nchi nyingine!! Hatutaki mambo ya popo,hiwez kuamua kwa utashi wako ukawe raia wa nchi nyingine na hapohapo utajw kuendelea kuwa mtz! Unaweza kuishi nje ya tz ila Bado ukabaki kuwa raia wa tz mbona wngi tu wanafany hivyo??
Mawazo yako potofu hayana uhalisia, haufai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10.Ukiruhisu uraia pacha utajikuta hospitali, vyuo vikuu, shule, ujenzi, tehama na kilimo kutakuwa hakuna watumishi. Yaani unagharamia vijana wako kuwasomesha kwa gharama kubwa halafu nchi nyingine zinawachukuwa bure kabisa kufanyakazi na kulipa Kodi kwao. Wakati unaruhusu uraia pacha ulidhani watarudi kuja kuwekeza lakini sio kweli na huna uhakika kuwa watafanya hivyo. Nchi za magharibi wanaweza kubadili sera zao wakati wowote kwa raia wao; wanawezakuzuia kutuma fedha nchi zimazoendelea au wakaweka mashariti magumu kwao washindwe kurudi kuwekeza nchi fulanifulani wanazokorofishana nazo.
Eti maandazi mmoja akasema uraia pacha utaisaidia timu yetu ya taifa kupata wachezaji wa kuichezea kutoka nje ya nchi. Upuuzi kama huu eti ndo usababishe turuhusu uraia pacha na kuiweka rehani nchi yetu. Sijaona taifa la afrika lililonufaika na uraia pacha zaidi ya hasara. Kule kenya magaidi wanawachapa kirahisi sana kutokana na mwingiliano na wasomali, Kenya vijana wao wengi wanahenya kwenye nchi za watu, wanajenga chumi za mataifa ya ng'ambo.Mawazo yako potofu hayana uhalisia, haufai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10.
Bongo bana…watu wanataka wote tugawane umasikini. Kwa hiyo uraia pacha ndo unatufanya tusipate huduma za Umeme? uraia pacha ndo unawafanya watawala wakwapue mabilion ya kodi za Watanzania? Haya madeal machafu yote yanafanywa kwa sababu ya uraia pacha? Umeongelea mabaya ya uraia pacha. Hujaongelea mazuri ya huo uraia. Unajua ni kiasi gani cha pesa za kigeni zinatumwa na hao dayaspora?Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.
Hata bila uraia pacha mali zetu zinaibwa na watanzania na viongozi wetu na kwenda kufichwa nje ya nchi (ulaya, marekani na Asia (Dubai, oman, Singapole, Malaysia, nk) itakuwaje kama wezi hawa watakuwa na fursa ya kuwa na uraia pacha?
Hata nchi ndogo/changa zenye uraia pacha hatuoni faida za maana wanazozipata kwa kuwa na uraia pacha zaidi ya kuongezeka kwa wizi na utapeli ndani ya nchi zao tu. hata nchi zilizoruhusu uraia pacha (diaspora) naazo ni masikini pia, zinapigana, na wizi mwingi na mkubwa wa rasilimali zao. hatuna cha kujifunza kutoka kwa nchi hizo.
Faida tutakayopata kama tutaruhusu uraia pacha ni ndogo sana by far kuliko hasara tutakayoingia. Sababu ziliwafanya Nyerere, karume, mzee Mwinyi, Mkapa, Kikwete na magufuli kuukataa Uraia wa nchi mbili bado zipo hadi kesho.
Kuna watu wanatoa sababu dhaifu sana za kuruhusu uraia pacha za kupata wachezaji wa mpira na wawekezaji, ni za kipuuzi kabisa. Tutapanua lango la kupitia wezi wa mali zetu na kutumia barabara pana kuzisafirisha huko Swiss na visiwa vya Jersey kwa urahisi kabisa mchana kweupe.
Siungi mkono upuuzi huu.
Wewe tafuta maisha popote pale duniani ukiwa mtanzania.Bongo bana…watu wanataka wote tugawane umasikini. Kwa hiyo uraia pacha ndo unatufanya tusipate huduma za Umeme? uraia pacha ndo unawafanya watawala wakwapue mabilion ya kodi za Watanzania? Haya madeal machafu yote yanafanywa kwa sababu ya uraia pacha? Umeongelea mabaya ya uraia pacha. Hujaongelea mazuri ya huo uraia. Unajua ni kiasi gani cha pesa za kigeni zinatumwa na hao dayaspora?
mkuu bado unajitafuta. Kama Huwezi kwenda nje kutafuta..waache wenye Nia na nguvu waende. Wewe endelea kusindikiza misafara ya Makonda.
Kuna sababu dhaifu sana za kuhalalisha uraia pacha. Nchi zetu hizi zina mifumo legelege sana ya kudhibiti uhalifu na wizi wa mali na rasilimali za taifa.