kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
- Thread starter
- #141
Marekani wanakupa uraia wao kwa vitu viwili TU basi; ulipe Kodi kwao na uwatumikie wanavyotaka. Je, sisi tunakipa uraia kwasababu gani?Uraia sio mutually exclusive thing kwamba ukiwa raia wa nchi moja automatically huwezi kuwa raia wa nchi nyingine, kama mfano wako unavyoonyesha. Kwani sisi ni wa kwanza? Mbona hiki ni kitu kidogo tu ni cha kutungia sheria unaweka mipaka ya mtu mwenye uraia pacha mfano US huwezi kuwa rais kama huna uraia wa kuzaliwa.
Marekani kama wewe sio raia siku ukirudi kwenu wanakurudishia Kodi zote ulizokatwa wakati unaishi Marekani. Hii ndio wasiyoitaka. Tusiige vitu bila kuiga misingi (backgrounds) yake.