Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa kuanzisha utaratibu huo. Walisema Watanzania wanaoishi nje ya nchi wanapata adha kubwa na wengine wanashindwa kuwekeza, kurudi au hata kusaidia familia zao kile walichochuma kwa sababu tofauti zikiwemo za usumbufu na kupanda kwa gharama.
IPPMedia
Jukumu la kujiandikisha watanzania walio ughaibuni la mtanzainia mwenyewe utaratibu unamtaka akifika nje aende ubalozi uliokaribu akajiandikishe.Serikali yetu imekalia kula tu, kuorodhesha watu huko ughaibuni watapewa bajet au wanataka jua idadi yao ili watoe rushwa watakayonufaika ili kuruhusu hoja ya uraia pacha kujadiliwa?
Kama Balali tu hakuwa na uraia pacha alitukimbia hivihivi kweupe mchana, sasa hawa viongozi wetu mafisadi si watatumalizia rasilimali na kutukana kabisa wao sio watanzania? Kwa maadili ya Taifa hili yalivyo sasa hivi kwa kweli tuliangalie vizuri hili jambo la uraia pacha!
Kama Babali aliwakimbia wakati hatuna uraia pacha, bado unadhani kutokuwa nao ndio itafanya mafisadi wasiwakimbie? Yule fisadi wa chenji ya rada yuko wapi, si alikimbia? Kwa hiyo tatizo sio uraia pacha.
Hakuna. Weka sheria na taratibu kwa mtu mwenye uraia pacha, basi. Mfano mwenye uraia pacha hawezi kuwa Rais. Nchi itafaidika zaidi kwa uraia pacha kuliko inavyokataza.Kuna madhara yoyote yanaweza kujitokeza kutokana na kuruhusu uhuru wa mtu kuwa raia wa nchi mbili?
Madhara yapo ...waulize wa afghanistan watakwambiaKuna madhara yoyote yanaweza kujitokeza kutokana na kuruhusu uhuru wa mtu kuwa raia wa nchi mbili?
Sasa urahia pacha ukishaweka hizo sheria tayari haina maana becoz majority wanao benefit na uraia pacha ni wenye nchi na sio wananchi.Hakuna. Weka sheria na taratibu kwa mtu mwenye uraia pacha, basi. Mfano mwenye uraia pacha hawezi kuwa Rais. Nchi itafaidika zaidi kwa uraia pacha kuliko inavyokataza.
Hizo data kuwa wanaofaidika ni wenye nchi na sio wananchi umetoa wapi ?Sasa urahia pacha ukishaweka hizo sheria tayari haina maana becoz majority wanao benefit na uraia pacha ni wenye nchi na sio wananchi.
Afghanistan ni case study....majority ya watu ambao walikuwa members of perliment including prezda kazai waluikuwa na dual nationality...wakata wakala mihela na baada ya hapo wakasepa zao huku wanainchi wa kawaida waishia kufa njaa tuu.Hizo data kuwa wanaofaidika ni wenye nchi na sio wananchi umetoa wapi ?
Only one sides benefitsHakuna shida ya uraia pacha inabidi serikali iweke kanuni/sheria ambapo both parties benefit.
Afghanistan ni case study....majority ya watu ambao walikuwa members of perliment including prezda kazai waluikuwa na dual nationality...wakata wakala mihela na baada ya hapo wakasepa zao huku wanainchi wa kawaida waishia kufa njaa tuu.
Jiulize uraia pacha unamsaidiaje bodaboda mama ntilie mmachinga au fundi ujenzi na mbeba zege? Hao ndio wananchi
Aya bwana ila mie nina first hand experince maana nilifanya kazi huko so i know wat am talking about...Pole kwa kukosa maarifa.