Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uncle:

Hapo umechemsha. Tanzania imeingia mikataba na nchi mbalimbali jirani ambao wanaweza kuja kufanya kazi bila visa. Kwa mfano wakazi wa jumuia ya afrika mashariki.

Kati ya nchi hizi zipo zinazoruhusu uraia wa nchi mbili. Hivyo raia wa Marekani anaweza kuchukua uraia wa Kenya. Na kutumia uraia wa Kenya kuja Tanzania na kufanya investment akitumia uraia wa Kenya. Na akitaka kujenga nyumba au vitu vingi atajenga Kenya kwa sababu ni raia kule.

Ujenzi wa nyumba pekee yake utatoa ajira kwa watu na hapo atalisaidia jingine na sio Tanzania.

Mjadala mzima inaonekana ni kwa watanzania walio nchi kuomba wa nchi zingine.

Lakini vilevile sheria ya uraia wa nchi mbili unaruhusu wasio Tanzania kuomba uraia wa Tanzania bila kupoteza uraia wa nchi zao na katika mazingira hayo tunakuwa BIG TIME Loosers.

Asante BinMaryam,

Kunaweza kuwa mtizamo mwingine kwenye hili na hapa umesisitiza angle nyingine kwenye hili. Watanzania wenye uraia wa kuzaliwa waruhusiwe kubaki na uraia wao kama wakipata uraia wa nchi nyingine.

Kwa wale wenye uraia wa nchi zingine wapitia hatua ngumu (mfano kusubiri miaka mitano au zaidi baada ya kupata kibali cha muda kama ilivyo marekani) kabla ya kupewa uraia kama ilivyo sasa hivi.
 
Uncle:

Hapo umechemsha. Tanzania imeingia mikataba na nchi mbalimbali jirani ambao wanaweza kuja kufanya kazi bila visa. Kwa mfano wakazi wa jumuia ya afrika mashariki.

Kati ya nchi hizi zipo zinazoruhusu uraia wa nchi mbili. Hivyo raia wa Marekani anaweza kuchukua uraia wa Kenya. Na kutumia uraia wa Kenya kuja Tanzania na kufanya investment akitumia uraia wa Kenya. Na akitaka kujenga nyumba au vitu vingi atajenga Kenya kwa sababu ni raia kule.

Ujenzi wa nyumba pekee yake utatoa ajira kwa watu na hapo atalisaidia jingine na sio Tanzania.

Mjadala mzima inaonekana ni kwa watanzania walio nchi kuomba wa nchi zingine.

Lakini vilevile sheria ya uraia wa nchi mbili unaruhusu wasio Tanzania kuomba uraia wa Tanzania bila kupoteza uraia wa nchi zao na katika mazingira hayo tunakuwa BIG TIME Loosers.

Hata hivyo pia na ufair utakuwepo kama DUAL ikitumikaa
chukulia watanzania walio oa/olewa Yani akifikiria jinsi ya kurudi ili amshawishi mke/mme wake aukane uraia wake wa marekani achukue uraia wa tanzania duu

Harafu kuna kanuni ndogo tu ya kujua nani anayepata faida kutokana na DUAL nayo ni
Uraia upi ni rahisi kuukana kati ya uraia wa Tanzania na uraia wa marekani ama norway ama european union??
 
Asante BinMaryam,

Kunaweza kuwa mtizamo mwingine kwenye hili na hapa umesisitiza angle nyingine kwenye hili. Watanzania wenye uraia wa kuzaliwa waruhusiwe kubaki na uraia wao kama wakipata uraia wa nchi nyingine.

Kwa wale wenye uraia wa nchi zingine wapitia hatua ngumu (mfano kusubiri miaka mitano au zaidi baada ya kupata kibali cha muda kama ilivyo marekani) kabla ya kupewa uraia kama ilivyo sasa hivi.


Aunt:

Mitazamo mingi hapa imelenga kwa mtanzania kupata uraia wa nchi nyingine.

Ukweli wa mambo katika masuala ya visa na uhamiaji mambo mengi yakwenda kwa pande zote mbili.

Kwa sababu haturuhusu uraia wa nchi mbili basi hata raia wa nchi nyingine itabidi achague kati ya Tanzania au nchi yake.

Kuna siku nilikwenda kuomba visa ya nchi fulani na wakanilipisha pesa nyingi na nilipouliza wakasema Tanzania inawalipisha watu wetu kiwango hichohicho cha pesa.

Hivyo katika mambo haya tusiangalie upande mmoja tu wa kumkomoa Achumani aliyopo Michigan akitaka uraia wa Tanzania na wa Marekani.
 
Hii nayo ni problem. yaani mtu akiunga mkono hoja ya kuwa na urai wa nchi mbili anakuwa hana "uzalendo na nchi yetu Tanzania"? Kwa nini usijenge hoja bila kupachika watu wengine majina au kuwapora uzalendo watu wanaopingana na maoni yako? Kuna watu chungu nzima Tanzania ambao wanapinga uraia wa nchi mbili ambao tumeshuhudia wakiipora nchi mapesa na kuyahamishia nje. In short, there is no correlation between supporting or objecting to dual citizenship and patriotism. You don't become more patriotic by staying in Tanzania for ever neither do you necessarily become less Tanzanian or less patriotic by spending some or most of your time outside the country.

Please give us your reasons for objecting to the idea of dual citizenship without labelling those who support it unpatriotic.

Ndugu
you're what they would call in France la vieillard, I guess knew tricks is out of the question for you, and yes dual citizenship is un patriotic especially if it's for selfish reasons, you tell me, you've committed murder or espionage in Tanzania and fled to the US where your also a citizen, in Tanzania you'll be eligible for a death sentence, and probably the state you reside doesn't practice death sentencing, would the yanks be willing to extradite? On another front in your right state of mind, I'm hoping time has not eroded most of you, the way the institutions are non existence here in Tanzania( if they do only in name) who do you would administer the exercise with integrity, let me think corruption and the mayhem at the moment from head to bottom.
They are various issues that have arisen in Germany, the United States, and several of their respective migration source countries, including especially Turkey and Mexico, considering relevant domestic laws, three major international conventions on nationality, and 22 bilateral treaties. you need to explore just four distinct but related problems let's say in the military - eligibility requirements for voluntary enlistment in the armed forces; military conscription, especially the problems associated with dual or conflicting obligations; loss of nationality by either individual renunciation before military service or denationalization after foreign military service; and special problems that arise when the individual's states of nationality are engaged in armed conflict with one another.
Most people who hold this debate always cite economical benefits that Tanzania can benefit from the Diaspora, but I'm thinking other nationalities obtain a visa to come here and that visa amounts to monies from visa fees, so if you come as a Tanzanian how much would you pay?
Still feeling patriotic, please excuse my french
 
Ndugu
you’re what they would call in France la vieillard, I guess knew tricks is out of the question for you, and yes dual citizenship is un patriotic especially if it’s for selfish reasons, you tell me, you’ve committed murder or espionage in Tanzania and fled to the US where your also a citizen, in Tanzania you’ll be eligible for a death sentence, and probably the state you reside doesn’t practice death sentencing, would the yanks be willing to extradite? On another front in your right state of mind, I’m hoping time has not eroded most of you, the way the institutions are non existence here in Tanzania( if they do only in name) who do you would administer the exercise with integrity, let me think corruption and the mayhem at the moment from head to bottom.
They are various issues that have arisen in Germany, the United States, and several of their respective migration source countries, including especially Turkey and Mexico, considering relevant domestic laws, three major international conventions on nationality, and 22 bilateral treaties. you need to explore just four distinct but related problems let’s say in the military - eligibility requirements for voluntary enlistment in the armed forces; military conscription, especially the problems associated with dual or conflicting obligations; loss of nationality by either individual renunciation before military service or denationalization after foreign military service; and special problems that arise when the individual's states of nationality are engaged in armed conflict with one another.
Most people who hold this debate always cite economical benefits that Tanzania can benefit from the Diaspora, but I’m thinking other nationalities obtain a visa to come here and that visa amounts to monies from visa fees, so if you come as a Tanzanian how much would you pay?
Still feeling patriotic, please excuse my french

Post yako haina ukweli wowote. Tunaonyesha kuwa kuna watu mbalimbali wa mataifa mengine ambao wangepata
uraia wa Tanzania bila kukana uraia wa nchi walizozaliwa wangeweza kufanya biashara za kulijenga taifa.

Hivyo suala la uraia una pande mbili. Una pande za watanzania (Diaspora) wanaotaka kuchukua uraia wa
nchi nyingine bila kuukana uraia wao wa Tanzania. Na kuna raia wa nchi zingine wanaotaka kuishi Tanzania
kama watanzania bila kuukana uraia wa nchi zao.

Kuhusu faida unazoonyesha haina ukweli wowote. Hoja ni lazima ijengwe na data na sio maneno matamu. Idadi ya watanzania
waliopo nje haionyeshi kuwa watatumia uraia wa nchi mbili kufanya vitendo vya uharifu kwa nchi wanazokaa au kwa nchi waliyozaliwa.
Na vilevile Tanzania ni mwanachama wa mashirika mbalimbali na ina mikataba ya kurudisha waarifu na nchi mbalimbali. Hivyo point yako
haina nguvu.

Kuhusu kujiunga na majeshi. Tanzania ina professional army. Na lile jeshi la lazima lilikuwa kwa wanafunzi
wanaomaliza vyuo. Na miaka ya 90 ni wanafunzi 10,000 tu kwa mwaka. Hii ni idadi ndogo sana kulinganisha na population ya Tanzania.

Kuhusu ada ya visa kutumika kama chanzo cha mapato ya uchumi, hapo umechemsha sana. Hakuna hata nchi moja duniani inayotegemea
ada ya visa kama chanzo cha mapato yake. Ada ya Visa ni kama kodi ya ushuru. Unapoongeza ushuru, watu wanapunguza matumizi ya vitu.
Ada ya visa inapokuwa kubwa, watu wanaacha kutembelea nchi yako. Na wakitembelea watabadana matumizi.

Mtu mwenye familia ya watu wanne akitaka kutembelea Tanzania itabidi alipe dollar 400 kwa ajili ya visa. Kama akipata visa bure atatumia
pesa hizo kwa matumizi akiwa Tanzania. Matumizi yana direct and indirect positive impacts katika uchumi wa nchi kuliko ushuru wa Visa.
 
Wengi wa wanaotaka uraia wa nchi mbili ni watu wa kawaida tu na wala si lazima watake kuwekeza au kuwa na miradi mikubwa. Hawa ni watu ambao kwa sababu moja au nyingine wamejikuta wakitumia muda mrefu wa maisha yao wakiishi na kufanya kazi nchi za watu. Ili kuwarahisishia kuishi huko waliamua kuchukua uraia wa nchi wanayoishi lakini si kwamba walichukizwa na Tanzania. Mfano mdogo,kwa mTanzania anayeishi na kufanya kazi uingereza na kuwajibika kusafiri mara kwa mara, gharama na usumbufu wa kuomba viza kila wakati ni sababu mojawapo. Sababu kama hizi ni nyingi tu na ni za kibinadamu.

Wengine wameoa na kuzaa na wageni. Wengi wao wangependa kizazi chao angalau kiwe na identity ya alikotoka. Moja ya identiy hii ni uraia. watoto wetu wangapi tumewaacha huko ugenini ambao pengine wangeweza kuwa na mchango mkubwa kwetu? Wakina Obama wangapi tumewatelekeza?

Nasikia mtoto wa Remy Ongala ilibidi achukue uraia wa mama yake ili aweze kwenda kucheza mpira ughaibuni! Kwa wenzetu waizraeli, wajerumani n.k. Mtoto yeyote mwenye damu ya nchi hizo ana haki ya kudai uraia hata kama damu yenyewe ni kutoka kwa bibi. Kwa msimamo huu wameweza kuwavutia wengi walio nje na hata kwa wale walioko nje wanahakikisha kuwa maslahi ya nchi walizotokea wazazi wao yanalindwa.

Kupinga dual citizenship, ni kuwa myopic na kukataa kuangalia na kuukubali ukweli wa dunia ya sasa ambayo ni global.
 
Mimi naunga mkono suala la uraia wa nchi mbili.

Ntatolea mfamo wa mchezaji Owen Hargreaves wa Manchester United.

Owen amezaliwa Canada na wazazi wake ambao baba ni Muingereza na mama ni kutoka Wales na wamekuwa ni watu wa kusafirisafiri katika nchi tofauti duniani.

Owen alipokuwa na umri wa miaka 16 alihamia Ujerumani na akajiunga na club ya "Bayern Munich academy" ya vijana wadogo.

Lakini sasa ilipokuja kwamba Uingereza inapenda Owen achezee timu yao ya taifa suala la uraia halijawa taabu kwani wanajua amechagua uraia wa kwanza ukiwa wa wazazi wake.

Kwa hio Owen Hargreave sasa hivi anatembea na uraia wa nchi tatu, za Canada alikozaliwa, Uingereza na Ujerumani alikoupata kutokana na kwenda huko akiwa "teenager".

Jalada la Owen Hargreaves;

Full name: Owen Lee Hargreaves
Date of birth: January 20, 1981
Birthplace: Calgary, Canada
Nationality: English
2nd nationality: Canadian, German
EU passport: Yes
Height: 180 cms
Weight: 73 kgs

Club: Manchester United
Position: Defensive Midfielder [R, L, C]
Squad Number: 4
Contract expires: June 2012
Previous clubs: Calgary Foothills > Bayern München > (£17m) Manchester United

International debut: August 2001, v Netherlands
International Caps: 34
International Goals: 0
World cups: Korea/Japan 2002, Germany 2006

Kwa hio hili suala sioni kama linaumiza kichwa ikiwa watanzania wa sasa walio nje wataruhusiwa kuwa na pasi zaidi ya moja kulingana na nchi wanazoishi na pia vizazi vijavyo vya watanzania vitakuwa vikitokea pande zingine za dunia na kuleta maendeleo nchini mwetu.
 
Bin Maryam, Nimekubali sana hoja zako pamoja na Mwafrika wa Kike, nadhani hii protectionism inavishwa sura ya patriotism lakini behind there are no valid reasons.
Kuleta argument kuhusu jeshi na siasa, naomba nitoe mfano wa nchi ya Ethiopia ambayo haina dual citizenship, bali inatoa special pass kwa diaspora, spouses and anyone of Ethiopian descent a special pass ambayo inawawezesha kuwa na full citizenship rights, except participate in politics to vote or be voted for) and military. Otherwise they can own land, conduct business, no visa requirement, etc It is a very convenient system and their economy is booming as a result, with Ethiopia doing technological advances by manufacturing its own car, in vitro fertilization, etc! Jamani tujifunze kutoka wenzetu!
 
Ile dhana ya kwamba Watanzania wanaoishi nchi za nje ni wasaliti imeshapitwa na wakati. Juzi jusi tumeona jinsi wenzetu waganda na wakenya wanavyutuma pesa nyingi mabazo zinasaidia kwa namna moja au nyingine katika kukuza uchumi wa nchi zao. Wenzetu walianza kuishi nchi za nje miaka mingi ukilinganisha na sisi Watanzania ambao tumeanza miaka 15 au 20 iliyopita. Pamoja na hayo kiasi kilichotumwa na Watanzania wanaoishi nje katika miaka ya 2005 na 2206 cha $18 millioni si haba. Wakati umefika wa Tanzania kuruhusu dual citizenship kwa Watanzania wote wanaoishi nchi za nje na watoto wao wanaozaliwa katika nchi hizo.
 
Should dual citizenships be allowed?
BBC News Online

In Zambia, a review of the constitution is currently seeking to make it legal for people to hold passports from two different countries.

Ghana joined a small number of African countries to legalise dual citizenship in 2002. Under this legislation, people who have two nationalities are allowed to vote in Ghana, and can be appointed to a government post.

Do you have dual nationality? If so, how does it benefit you? Should our governments follow Ghana's example? Is this the first step towards a future where we are all citizens of the world? Send us your views.


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 18:35 GMT 19:35 UK

Oz allows some countries' citizens to keep their native citizenship (UK included). This means that u don't have to give up living in one country before finding out what it's like to really live in another. if i'd have had to give up my UK citizenship to get into Oz i would not have stayed.
young people of the UK, give it a punt, airlines can now get you home from west Oz to london on the same DAY, true story. even if you don't want to stay forever that alternative might be very useful 1 day.

cover the bases, perth


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 18:06 GMT 19:06 UK

A good concept, as it will provide an alternative to choose from.
In the case of Ghana, dual citizenship made it possible for Rawlings to gain power and use same to sanitise that society. Also, many Athletes like Obikwelu, the Nigerian-born Portugese sprinter, have actualised their dreams elsewhere other than their countries of birth.

Ashipa James Olashupo, Abuja


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 18:04 GMT 19:04 UK

how really is the world a global village dual citizenship should not be an issue, if Barack Obama who has his roots in kenya were to want to vote or even contest for an election in that country;the kenyans would not wish for any thing more.

Farotade Henry, lagos


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 18:01 GMT 19:01 UK

i am very glad that nigeria embraces dual citizenship,I am a nigerian by birth and an american national after successfully winning the DV lottery,i can travel to acountry of my own with few limitation to visa problems,the only thing i see in it is that i think it should be embraces the more in all other country

amos ogunbiyi


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:45 GMT 18:45 UK

Looking at the kleptomanian act of our african leaders of the past and the present, i will vehemently oppose the ideas of using two passsport per se . this is because this will give those african leaders and their children - an avenue or the passport , to sell their country for a pot of poridge why holding a passport on the other hand that will give them room to evade justice. this really will be bad or worsen the corruption of african gov't officials- as they will need no visa to evade justice.

HIS EXCELLENCY-ODION ALOBA, BOSTON MA. USA


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:33 GMT 18:33 UK

"Is this the first step towards a future where we are all citizens of the world?"

ohhh goosebumps.. the fuuuture.
No prob. Fill their little easily impressed liberal heads with alllll the sugarplums you like, EUROPE. Theye walking arguments against themselves.

Bob, US among A

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:22 GMT 18:22 UK

Absolutely. Anything to give me hope that there is life outside the hell that is Nu Lie-Ba's Britain.

Drongo Umbongo, in the, Congo


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:16 GMT 18:16 UK

I am from Nigeria and i am not sure we have such a thing here. I think dual citizenship is good for those us in Africa because i believe it will help foster unity among African people. If happens in any African country, for me it is a noble idea.

Tony Ofulue, Ubulu - Uku


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:11 GMT 18:11 UK

citizenship is all about loyalt. U can talk about economic issues, political, social but at the end of the day it all boils down to loyalt. In the bible Paul uses the the analogue of citizenship to admonish christians to be pilgrims and strangers on earth but citizens of heaven. Dual nationality encourages the status of 2nd class citizen. Why should somebody say some can have 2 passports but should not vie for presidency, chief justice or army commander. is that not double standards?

Whiteson chavula, lusaka

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 17:03 GMT 18:03 UK

This is possible when one of the countries is a developed nation, where good checks can be done to prevent crime. African nations should be prevented by international law,from trying to copy western ideas and some ways of life that are detrimental to many African Nations. These western ideas and ways of life are deeply rooted in western Democracy,culture and development.How can a country adopt dual citizenship when it can neither account for its true population nor for the its true demography.

Michael Tarawallie, London UK

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:57 GMT 17:57 UK

Dual citizenship is good for Kenya in particular. Looking at levels of remittances from Kenyans in the Diaspora. Kenya risk's losing a big population of experts and FDI in the future as people settle and embrace fully their adopted countries.
Like in Ghana, I do not know why it takes too long for African leaders, though they manage small systems, they lack swiftness in policy development and implementation.
Love for motherland is good, but dual citizenship is better

Caesar Macharia, Boston Ma

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:40 GMT 17:40 UK

We keep talking about dual citizenship, why dont we offer it to highly educated chinese individuals wanted to come and invest in africa, or indians who might want to do the same thing, by the way also europeans. This is stupid. An African living outside of Africa want dual citizen for what. He or she want it for security reason only. Not economic development.

daniell, u.s.a.


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:34 GMT 17:34 UK

I don't see why not, provided that the individual applying for the passports has citizenship in both countries.

Johnson, Westbury


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:14 GMT 17:14 UK

Am a Us citizen resident in nigeria. I support dual citizenship 101%. This is because it enable one to travel freely and it gives one the opportunity to work in two environments. One can contrubute in nigria by working with foriegn agencies such as USAID in the intrest of ones country since you more familiar with the environment.

Falmata el kazim

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:10 GMT 17:10 UK

I am a Belgium expat living in the United States. I have lived in the United States for the past 20 years. I was 10 years old when I moved to the United States. When I became a naturalized US Citizen the Belgium government took away my Belgium citizenship because they did not allow double nationality in my case unless I went back. Now the law has changed and I am in the process of getting my Belgium Citizen back. I eventually want to move back to Belgium permanently in the next few years.

Anonymous


Dual citizenship is a great idea. Infact, few years ago while visiting Ethiopia, I suggested the idea to an official who works on the Ethiopian Investment Authourity to enact such laws. All African countries (including Ethiopia) would benefit immensly from such moves. Imagine for a second, 3 million Ethiopians (in diaspora) working, investing, living in Ethiopia without any hinderance nor beuractratic obstacles. The economic benefits for both, the diaspora and the country will be tremendous.

eskinder, Boston


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 16:00 GMT 17:00 UK

Talking about dual citizenship??? How' bout holding four passports? US, French in addition to two African ones? And all that completely legal. It doesn't get better than that, I tell you that.

Serge-Olivier, Kinshasa


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:57 GMT 16:57 UK

I agree, this is another form of globalization. My wife is from S. America, I am from Africa and my children are born in the US. They should have three passports...

Shonda Okonda, Tacoma, United States


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:54 GMT 16:54 UK

Clause 8 and 9 of The Constitutional Amendment Bill (2005) of Uganda, Under the Human Rights Issues provide for Loss of Citizen Ship and Dual Citizenship.

Clause 8 amends the 1995 Constitution so that a person who acquires Ugandan Citizenship by Registration may retain his/her Citizenship, where he/she voluntarily acquires the Citizenship of another country.

Clause 9, REMOVES the PROHIBITION on DUAL CITIZENSHIP in the 1995 Constitution.

I ENCOURAGE OTHER COUNTRIES TO FOLLOW SUIT

ISAAC WANASOLO, KAMPALA, Uganda


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:43 GMT 16:43 UK

BBC,this has nothing to do with developing Africa.Something very meaningfull suppose be the focus of discussions here.

Youngsenator., Nigeria


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:36 GMT 16:36 UK

Are some of the readers reading what the BBC wrote very well?I don't think so. It never said Ghana was the first African nation to allow dual nationality but rather "Ghana joined a small number of African countries in 2002 to allow it" It is very important that those who wish to comment read a story very well before offering any criticism. Dual nationality has it's pros and cons and i think it will be of help to some countries but not to others.

Saadiq Mohammed, Springfield,VA. US


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:28 GMT 16:28 UK

If you live your life between 2 or more countries it makes sense to have dual-nationality for the practicalities of day to day living. Even the simplest of bureaucratic procedures are 100 times more complicated if you are a foreigner, and I speak as a British citizen living in Spain, supposedly both part of the European Union which should have removed these obstacles years ago. It must be far worse for people living /working in 2 countries that have no reciprocal agreements.

John Larkin, Madrid, Spain


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:24 GMT 16:24 UK

i am considering taking up a zimbabwean citizenship soon. (dont say its a stupid idea cos i mean it). but Nigeria would always remains my first love for ALL TIMES

apenja solomon, lagos, Nigeria


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 15:19 GMT 16:19 UK

There are a huge number of advantages that a dual passport holder has and many of them are financial. If he/she is a business traveler then it means less wastage of time in getting visas, permissions etc if he travels to his other country. It also means that there is no problem buying property in that country or getting access to restricted areas. And he can avail of these benefits from both countries. There is also the infinite advantage of belonging. It's not easy to get a sense of belonging

Olushola Cole, Frederick, MD

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:52 GMT 15:52 UK

to me what ever has an advanges also has disadvanges. Third world will always use it for the worst

eugene, atlanta


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:44 GMT 15:44 UK

Countries pushing for abolishment of dual citizenship have probably no clue about the benefits that globalization brings.
The world is increasing getting smaller because of social, political or economic interactions . What a wonderful world it would be if there were no restrictions between countries!! Bob Marley's vision of international citizenship is certainly unfolding. Repeal isolationist policies and join the rest of the world.

Akol Lual Lual

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:44 GMT 15:44 UK

Why get a visa to return to your home town or village? The saddest of all is one being required to get a visa to attend the funeral of his/her dad or mum who did not have the opportunity to travel abroad. Dual citizenship should be constitutionalized sooner than later.
The economic benefits cannot be stressed any further.

Allen T. Ross, Brisbane, Australia


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:43 GMT 15:43 UK

Single or dual nationality should be a "no issue". I do not think it is right for us today to create boundaries in the name of nationality. Is it not stated in all books that talk of Human Rigght that movement should be free? Every constitution in the world today preaches the FREEDOM OF MOVEMENT and we can not practise this freedom on a global scale. The missery that plagues the world today is all as a result of the question of Nationality. We are born free, We are born free, WE ARE CITIZENS

BAMBO Samuel, Bamenda

Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:41 GMT 15:41 UK

Yes! I benefit from the Duel Nationality both economically and politically. In fact, I benefit a lot more that these.

Yes our govt. can follow Ghana's example because it will allow you to move freely within the two countries without any fear, tribalism and molestation.

Yes, this is a first step towards a future where we are all citizen of the world in coming together as One.

Ama Adams, Nigeria/Ghana


Added: Wednesday, 25 June, 2008, 14:38 GMT 15:38 UK

Dual citizenship is entrenched in Uganda's constitution but no law has been enacted to operationalise it. Since many Africans from neighbouring countries have been victimised as aliens in the past, i welcome this where one can be a dual citizen of Uganda and Rwanda or Sudan, as an example.

Ahmed Kateregga Musaazi, Kampala

http://newsforums.bbc.co.uk/nol/thr...tart=0&edition=2&ttl=20080626151354#paginator
 
the reasons above are very justifiable and genuine ... i say YES for dual citizenship
 
I'm for dual citizenship for personal reasons, just the same as those who are opposed to it. The reasons vary from one individual to another and the most compelling PERSONAL REASONS seem to gain favor whether it's for or against. We may all say it's the patriot in us that makes us fight so hard , deep down if we're being honest, it's personal
 
Law on dual citizenship coming

2008-07-15 10:16:03
By Bilal Abdul-Aziz, Dodoma


The government yesterday said it was in the process of drafting a new law that would allow Tanzanians to have dual citizenship.

Home Affairs deputy minister Khamis Kagasheki told the House that the Union and Zanzibar governments were jointly looking into the matter.

The deputy minister was responding to a question posed by Mwadini Jecha (Wete, CUF) who had wanted to know when the government would table a bill proposing the enacting of a new law on the matter.

``The Union government and that of Zanzibar are carefully looking into the matter. When the process has been completed, my ministry will bring the bill in the House for approval,`` said Kagasheki.

Earlier on, the deputy minister told Parliament that under the Union constitution, dual citizenship was illegal.

He said the law denied the people of Tanzania a chance to possess dual citizenship, and their Tanzanian citizenship ceased once they opted for other citizenship.

Kagasheki said the current laws particularly affected Tanzanian children born outside the country, who on reaching 18 years, were required to denounce the citizenship of one of their parents if they wanted to keep the Tanzanian citizenship.

``The system is not much known by our people. For that reason, at times, children encounter problems when they apply for passports or seek sponsorship for higher education,`` he said.

SOURCE: Guardian
 
Mbona hili linapigwa danadana tu; Lilishaongelewa hapo mwanzo tokea kipindi cha ubeberu wa mzee Mkapa; akatoa ahadi kedekede kuwa atalifanyia kazi, wapi! Kumbe mkuu alikuwa bize na biashara zake pale Magogoni. Sasa na muungwana wetu huyu nae ndo kimya, yeye anapiga misele tu kama Vasco da Gama. Hivi hao wanaokutana nae huko nje, hawamuulizi au ndo anaulizwa pre-planned questions, ambayo anajua hayatomweka on the spot.
Tunajua muheshimiwa atasafiri tu sio muda mrefu, na atakuwa na ile publicity ya kutaka kuulizwa maswali na watanzania huko anakokwenda; tungeomba mmoja wenu amuulize kuhusu hili, na ashilikie kupewa jibu la maana, sio blaa blaa hadithi za alifu lela ulela, tuone limefikia wapi, tumsikie muheshimiwa anasemaje......Linawezekana atoe siku, kama haliwezekani basi na aseme SITAKI, then tujue moja.
 
Mbona hili linapigwa danadana tu; Lilishaongelewa hapo mwanzo tokea kipindi cha ubeberu wa mzee Mkapa; akatoa ahadi kedekede kuwa atalifanyia kazi, wapi! Kumbe mkuu alikuwa bize na biashara zake pale Magogoni. Sasa na muungwana wetu huyu nae ndo kimya, yeye anapiga misele tu kama Vasco da Gama. Hivi hao wanaokutana nae huko nje, hawamuulizi au ndo anaulizwa pre-planned questions, ambayo anajua hayatomweka on the spot.
Tunajua muheshimiwa atasafiri tu sio muda mrefu, na atakuwa na ile publicity ya kutaka kuulizwa maswali na watanzania huko anakokwenda; tungeomba mmoja wenu amuulize kuhusu hili, na ashilikie kupewa jibu la maana, sio blaa blaa hadithi za alifu lela ulela, tuone limefikia wapi, tumsikie muheshimiwa anasemaje......Linawezekana atoe siku, kama haliwezekani basi na aseme SITAKI, then tujue moja.

litakamilika baada ya uchaguzi wa 2020....🙂
 
Law on dual citizenship coming

2008-07-15 10:16:03
By Bilal Abdul-Aziz, Dodoma


The government yesterday said it was in the process of drafting a new law that would allow Tanzanians to have dual citizenship.

Home Affairs deputy minister Khamis Kagasheki told the House that the Union and Zanzibar governments were jointly looking into the matter.

The deputy minister was responding to a question posed by Mwadini Jecha (Wete, CUF) who had wanted to know when the government would table a bill proposing the enacting of a new law on the matter.

``The Union government and that of Zanzibar are carefully looking into the matter. When the process has been completed, my ministry will bring the bill in the House for approval,`` said Kagasheki.

Earlier on, the deputy minister told Parliament that under the Union constitution, dual citizenship was illegal.

He said the law denied the people of Tanzania a chance to possess dual citizenship, and their Tanzanian citizenship ceased once they opted for other citizenship.

Kagasheki said the current laws particularly affected Tanzanian children born outside the country, who on reaching 18 years, were required to denounce the citizenship of one of their parents if they wanted to keep the Tanzanian citizenship.

``The system is not much known by our people. For that reason, at times, children encounter problems when they apply for passports or seek sponsorship for higher education,`` he said.

SOURCE: Guardian

Kwanini Mbunge anaiuliza Serikali ni lini italeta muswada wa kubadili sheria wakati wao ndio kazi yao, kuleta miswada na kutunga sheria?

Halafu hii habari inaahidi kwamba sheria inakuja. Lakini ukisoma, ukweli ni kwamba, muswada utakuja. Na sio kila muswada wa huwa unapita. Tena ukiisoma kwa makini zaidi, inasema watakutana ku "look into the matter." Inamaana. hata muswada nao unaweza usije! Kwa hiyo, habari ni ya kipotoshaji, kwa msomaji aliyepasi mtihani wa darasa la nne, na kujua kusoma.

Hii sio mara ya kwanza kwa hiki kitu kujadiliwa bungeni na kwingineko. Tuliwahi kuambiwa na mkubwa mmoja wa polisi kwamba sheria ya uraia wa nchi mbili haitakuja kwa sababu, kwa fikra zake huyu mkubwa, siyo kitu kizuri kwa kuwa itakuwa ni vigumu kubadilishana wahalifu!

Sasa ile mijadala iliishia wapi? Nini kipya hapa? Hii habari, kama ni mtu unaefuatili mambo, haiku inform chochote. Imenipotozea dakika nne za maisha yangu.

Hakuna ka habari kaliko tulia kanako tundikwa hapa kutoka kwenye gazeti lolote la Kitanzania. Tunahitaji press.
 
Back
Top Bottom