Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

...Wow...look this moron still linaongelea deportation...wajanja wote humu walio states tulimaliza hizo game za kitoto za papers tangu tupo college mpuuzi wewe,nasikitika sana kama huna paper bado!

Basi tuta-revoke hiyo kijani yako halafu tutaku-deport....
 
Hivi hii topiki imekufia wapi sikuhizi? Naona haizungumzwi kabisaaaaa..."Dual Citizenship: Progress & Solutions"
 
Ndugu zangu

Maendeleo ya familia, jumuiya na hata kijiji na taifa au watu kwa ujumla huletwa kwa kumwendeleza mtu. Yaani investment on people.

Hivyo basi, kwa nchi changa kama Tanzania, kutupilia mbali resources zake (people) kwa kutumia vigezo vilivyopitwa na wakati, tena vya kugawa watu ni mwelekeo usiotufaa katika karne ya leo.

Nchi inahitaji watu wake WOTE, walio kila kona ya dunia. Tusifikirie investment kama "mapesa", ingawa ni hoja inatumiwa na wengi wa kusema tulete dual nationality, ila kwa maoni yangi ni misplaced argument and can also be misleading. Hizo pesa ni matokeo. Zikiwepo sawa, na zisipokuwepo ni sawa vile vile. Tena inanitia wasiwasi zaidi kwani inaashiria ushauri ulipo kwenye ngazi za juu serikali kutumiwa kama hoja kuweza kusema kwanini tulete dual nationality, tena ubaya zaidi ni kuwa inacheza na mawazo ya hongo yaliobobea kwenye jamii. Tukisema Watanzania wanelate mapesa, hoja itakuwa na nguvu. Wenye kusema hivi hawana makosa, ila inaashiria matatizo ya ndani kwenye mafikara yetu, kuwa pesa huleta maendeleo. Hii ni dira potofu. Hoja ya dual nationality ni hoja ya msingi kabisa, na pia ni hoja ya kumwezesha Mtanzania popote pale alipo kupata kijiendeleza kwa manufaa yake, na pia ya Taifa lake. Hii ni asset. Mtanzania ambae ameamua kutupilia mbali Utanzania, hata umpe Gold passport ya Tanzania, yeye haitambadilisha. Watanzania wenye kupigia kelele dual nationality ni wale wenye kutaka kufanya shughuli zao (ambazo wengi zitakuwa za maendeleo binafsi na pia watu wao kwenye Jumuiya and eventually Taifa) bila kuvunja sheria za nchi. Hadi sasa wapo wengi wenye mutiple passports na hata hawaongelei hili kwani status quo inawafaa. Wenye kelele ni sie ambao tunataka vizazi vijavyo visipotee (nguvu kazi ya Tanzania) kutokana na sheria zilizopitwa na wakati. Pia wapo wenye kutaka wapate unafuu kwenye pilika za nje huku wakijijenga nyumbani wakiwa proud kama Watanzania. Hawa wote ni watu wenye vizazi traceable hadi zaidi 10 nchini Tanzania na siku zote watabaki kuwa Watanzania. Utanzania ni Uzalendo. Uzalendo sio kwa kuangalia ni kiasi gani wewe ni mbishi, au ni kiasi gani wewe unajenga sera za kugawa watu kwa kutumia asilia, wahindi, wachaga , au udini. Uzalendo unategemea wewe popote pale ulipo, unafanya nini haswa ili uweze kusaidia nchi yako Tanzania. Sasa wakati miundo mbinu inawekwa kwa kujenga madaraja, mawasiliano etc, tusiache kujenga miundo mbinu ya two way access to resources zetu za Watanzania waliosomeshwa na pesa za walipa kodi wengine na waliopo dunia nzima. Hawa wenzetu ni lazima tuwawezeshe. Na kama kweli 3% ya Watanzania wapo nje ya nchi, je jiulize ni % ngapi leo hii ni ya rulers wa nchi? Je ni percent ngapi ya watanzania wana elimu hadi ya Form 4 Tanzania? Ni % ngapi ya waliosoma hadi vyuo mbalimbali wana full exposure ya nchi za nje? Nataka upanue mawazo yako kwa hili na pia wakati unawaza hayo, ufikirie vuguvugu la Ukombozi Afrika lilipoanza, ilikuwa baada ya world war II, baada ya wachache kwenda nje. Hawa wote hawakuwa na maswali ya dual nationality, ila ni resources ambazo huko mbeleni zilisaidia nchi sana tuu. Hivyo basi, katika karne ya 21, wakati wa technology, wakati wa kujifunza, ni bora kabisa kuwe na mikakati ya makusudi kuwawezesha hawa Watanzania waliopo nje, wapate fursa ya kunufaika na huko waliko, bila kutupa Utanzania wao. Hili ni la msingi haswa ukizingatia kizazi kikubwa kilichopo nje ya nchi ni kizazi cha post Independent.

Hotuba ya Mwalimi wakati wa hoja hii, ilikuwa ni wakati wa Ubishi mkubwa uliozuka wa "Africanization" or "Localization" kutokana na civil servants kwa wakati huo. Mwalimu alitaka kupata balance kwa Trade Unions na wakati huo huo, alikuwa anapinga mwenendo ulizuka ambao ulikuwa ni "neo-racialism" I may state, kwani sasa Waafrika (elewa hapo, neno Waafrika kwa wengi lilimaanisha Wahindi au Waarabu au Wazungu ni nje - yote hayo ni sawa na sera za Uzawa.). Hivyo basi, hoja kwa wakati ule ilikuwa kutokana na post colonial mentality, with TANU being a "Nationalist" party, Mwalimu aliweza kubalance kwa internal party politics while also maintaining his principle kuwa ubaguzi wa mweusi against yeyote ni mbaya sawa na wa mweupe against mweusi au yoyote. That applies hadi leo. Hivyo kuna utofauti wa wakati ule na generation ya leo ya post independent Tanzania (even better, as it is not Tanganyika as was then).

Ni madness kutupilia mbali hii work force. Pia hatari nyingine ni kuwa, nchi isipo-manage hii change, hili kundi linazidi kukua. Linalokuwa nao ni yake yalioko ndani kuwa wao ni Watanzania no matter what. Na wao watafanya hayo maendeleo no matter what or where they are. Sema, inaweza kuwa safari ndefu than necessary. Makaratasi hayakubadilishi. Yanakuwezesha au kukuchelewesha. Kwa maana hiyo, hii change, with the global trends, itaishia kuichange nchi. Sasa msiseme nasema mapinduzi etc, la hasha. Naongelea juu ya change management, kama ilivyofanyika na introduction of muti party politics - ambapo pia Mwalimu aliandika vizuri sana na hoja yake nzuri tuu juu ya kwanini Tanzania ichukue Single Party rule, miaka ile ya 60s. Angekuwa hai leo, naamini hata hili angefafanua na bila shaka angesema 3% sio ndogo na hawa ni watu wetu. Don't throw them away. Sio swala la pesa na hili linapotosha hii hoja.

Jamani, tukumbuke sisi wote ni Watanzania, hata kama unaishi Kilimatende, Unguja, Tanga, Mombasa, Japan, LA, Canada, London, New Castle, Dar Es Salaam, Rombo, Magila Muheza, popote pale ulipo. Kama wewe ni Mtanzania, ni Mtanzania tu. Uzalendo wako hautokani na wapi unaishi. Unaweza ishi ndani ya nje na kumbe FISADI number 1. Unaweza ishi nje ya nchi ukawa Balozi mzuri kabisa wa nchi yako na kufanya mengi mazuri kwa kuipromote nchi yako. Tupanue mawazo nje ya kusema pesa au who you will shoot wakati wa vita. Kwanini usiulize maendeleo ya watu husika na value ya debate husika bila kujali Utaifa? Haya makaratasi ni kutuwezesha. Maamuzi ya mtu binafsi sio lazima yategemee anabeba katarasi gani.

Tusitupe nguvu kazi ya watu wetu wa nje ya nchi, bali tuwawezeshe kwa mikakati ya makusudi kabisa tena tuwashirikishe na tushikiriane wote kama Watanzania, na kama binadamu na haki zetu za kumove bila kuvunja sheria za nchi husika.

Hypothetical: Juilize, kama leo kukiwa na offer to give all citizens of the world, one passport, tena iwe entitlement to travel to any country and settle kama resident as long as they obey the host country, and let this be given to all Tanzanians as part of ID exercise ya Tanzania. Je tutasema tupige marufuku mass taking the passports of the world access? Je tutasema ukichukua hiyo wewe umekana kuwa nasi? Au tutaweka sheria yetu kama host na kuhakikisha watu wetu bado wanawezeshwa kama wetu popote pale walipo? Food for thought!
 
Name :______________ Number:______________ Age __________ Best time to call:_____________ Best time to text:_____________ I dare you to copy and paste this and see how many numbers you get.
 
NDUGU ZANGU LEO NADHANI TUONGELEE ULE UWEZEKANO WA KUPATA VIONGOZO VIJANA WENYE KUSEMA NA KUTENDA ZAIDI KULIKO HAWA TULIO NAO WASEMAJI TUU BILA VITENDO NI MUHIMU KUFAHAMU KUWA WATENDAJI WENGI NI VIJANA, NA SIO HAWA WAZEE WALIO WENGI TULIOWAPA MPINI HUU WA KUTUONGOZA WAMEGEUZIA MAKALI KWETU NA KUTUMALIZA KWA KUPANGA MIPANGO BILA UTEKELEZAJI HEBU TUANGALIE BAADHI YA MANENO YAO NA TUPIME NA UTEKELEZAJI WAKE ILI TUONE KWA VITENDO KAMA WANAFAA KUENDELEA KUONGOZA VITENDO VYAO ZAIDI HUONEKANA WAKATI WA KUOMBA KURA TUU, PIA UZOEFU UNAONYESHA HAKUNA UTEKELEZAJI WOWOTE KATIKA MANENO YAO MFANO WA KARIBU NI HUU hapa kikwete amegundua watu wengi wanalia na ukata kifedha sasa akaja na mpango wa mikopo kwa wote na alitangaza kutoa mabilioni ya kikwete hebu tuulizane yale mabilioni yako wapi? na ni akina nani wamenufaika nayo? kabla jibu halijaja sawa kumetokea msukosuko wa kiuchumi duniani labda kutoa hofu watu akaja na mbinu ile ile ya kutoa mabilioni tena sasa mbona hasemi utekelezaji wa yale ya mwanzo na mafanikio yake ghafla anarukia mpango mwingine hivi ndivyo tunavyotaka kwenda kwa kufuata mipango ya kibiashara bila maendeleo? kama alivyouliza john cheo ni kweli tanzania bila mabenki haya yalio kibiashara zaidi hatuna jingine jipya? mimi nadhani kuna mengi tunaruka kwa kutokuwa watendaji badala yake wanaotuongoza ni wasemaji zaidi sasa ni wakati wa kupata vijana wa kusema na kutenda na si maneno mengiiii vitendo sifuri. Vijana tanzania naamini wapo wengi wenye uwezo wa kuongoza sio kutawala tuu ni kusema na kutenda sambamba katika kitu kimoja tuu nacho ni 1.(MANENO NA VITENDO KATIKA KILIMO), (MANENO NA VITENDO KATIKA ELIMU) (MANENO NA VITENDO KATIKA UTENDAJI KAZI ZOTE ZA SERIKARI) WASIO WEZA WAKAE PEMBENI NA MWISHO NISEME TUU NCHI HII NI YETU SOTE NA SI MALI YA CCM PEKEE AU CUF AU TLP WALA CHADEMA. HIVYO WANANCHI WOTE TUNA HAKI SAWA KATIKA KUIONGOZA WALA HAKUNA MWENYE HAKI ZAIDI YA MWINGINE KATIKA UONGOZI WA NCHI, HII HILI NI KWA VIJANA WOTE TUACHE SIASA ZA MUFILISI KUWA ETI NI CCM PEKEE NDO WANAOWEZA KUTUONGOZA HAPANA HATA UPINZANI UNAWEZA NI KAZI NA VITENDO PEKEE VITAKAVYOFANYA YAWEZEKANE TUACHANE NA MAZOEA NA TIMIZA WAJIBU WEWE KAMA MIMI LEO NIMETIMIZA WAJIBU TUU. TUSAIDIANE WOTE KAMA WATANZANIA TUWE NA MAISHA YALO NEEMA TUIOTAYO SIKU ZOTE.
CHESCOMATUNDA
 
tatizo ni viongozi wengi walisoma kwenye mfumo wa elimu yaku kalili.hawana uwezo wa kuchambua mambo wao wako wako tu imradi siku imeisha powa tu.
 
NDUGU ZANGU LEO NADHANI TUONGELEE ULE UWEZEKANO WA KUPATA VIONGOZO VIJANA WENYE KUSEMA NA KUTENDA ZAIDI KULIKO HAWA TULIO NAO WASEMAJI TUU BILA VITENDO NI MUHIMU KUFAHAMU KUWA WATENDAJI WENGI NI VIJANA, NA SIO HAWA WAZEE WALIO WENGI TULIOWAPA MPINI HUU WA KUTUONGOZA WAMEGEUZIA MAKALI KWETU NA KUTUMALIZA KWA KUPANGA MIPANGO BILA UTEKELEZAJI HEBU TUANGALIE BAADHI YA MANENO YAO NA TUPIME NA UTEKELEZAJI WAKE ILI TUONE KWA VITENDO KAMA WANAFAA KUENDELEA KUONGOZA VITENDO VYAO ZAIDI HUONEKANA WAKATI WA KUOMBA KURA TUU, PIA UZOEFU UNAONYESHA HAKUNA UTEKELEZAJI WOWOTE KATIKA MANENO YAO MFANO WA KARIBU NI HUU hapa kikwete amegundua watu wengi wanalia na ukata kifedha sasa akaja na mpango wa mikopo kwa wote na alitangaza kutoa mabilioni ya kikwete hebu tuulizane yale mabilioni yako wapi? na ni akina nani wamenufaika nayo? kabla jibu halijaja sawa kumetokea msukosuko wa kiuchumi duniani labda kutoa hofu watu akaja na mbinu ile ile ya kutoa mabilioni tena sasa mbona hasemi utekelezaji wa yale ya mwanzo na mafanikio yake ghafla anarukia mpango mwingine hivi ndivyo tunavyotaka kwenda kwa kufuata mipango ya kibiashara bila maendeleo? kama alivyouliza john cheo ni kweli tanzania bila mabenki haya yalio kibiashara zaidi hatuna jingine jipya? mimi nadhani kuna mengi tunaruka kwa kutokuwa watendaji badala yake wanaotuongoza ni wasemaji zaidi sasa ni wakati wa kupata vijana wa kusema na kutenda na si maneno mengiiii vitendo sifuri. Vijana tanzania naamini wapo wengi wenye uwezo wa kuongoza sio kutawala tuu ni kusema na kutenda sambamba katika kitu kimoja tuu nacho ni 1.(MANENO NA VITENDO KATIKA KILIMO), (MANENO NA VITENDO KATIKA ELIMU) (MANENO NA VITENDO KATIKA UTENDAJI KAZI ZOTE ZA SERIKARI) WASIO WEZA WAKAE PEMBENI NA MWISHO NISEME TUU NCHI HII NI YETU SOTE NA SI MALI YA CCM PEKEE AU CUF AU TLP WALA CHADEMA. HIVYO WANANCHI WOTE TUNA HAKI SAWA KATIKA KUIONGOZA WALA HAKUNA MWENYE HAKI ZAIDI YA MWINGINE KATIKA UONGOZI WA NCHI, HII HILI NI KWA VIJANA WOTE TUACHE SIASA ZA MUFILISI KUWA ETI NI CCM PEKEE NDO WANAOWEZA KUTUONGOZA HAPANA HATA UPINZANI UNAWEZA NI KAZI NA VITENDO PEKEE VITAKAVYOFANYA YAWEZEKANE TUACHANE NA MAZOEA NA TIMIZA WAJIBU WEWE KAMA MIMI LEO NIMETIMIZA WAJIBU TUU. TUSAIDIANE WOTE KAMA WATANZANIA TUWE NA MAISHA YALO NEEMA TUIOTAYO SIKU ZOTE.
CHESCOMATUNDA

Kabla ya kuangalia uwezekano wa kupata viongozi vijana kwanza angalia uwezekano wa kujifunza kuandika kwa paragraph na kutochanganya caps
 
Chesco

....kwenye keyboard kuna key inaitwa na imeandikwa "Enter"......jaribu kuitumia......please
 
Mwazange,Mheshimiwa Mkuu wa Kaya anakuja kwenye zone yako....(mid August)na kwenye Msafara wake Mawaziri wanaohusika na hayo mambo ya Dual Citizen wote wapo (Membe na Masha),kwa maana hiyo Tafuta muda uwatupie hilo swali,nafikiri watakupa jibu zuri...Suala hili limekuwa gumu serikalini kwani wasomi wetu recommendations zao hazikuwa nzuri sana.
Mkuu Mwawado, Kwa kupenda kuelimika tu, mashaka ya wasomi walioko serikalini ni nini juu ya hili? Kwa mtazamo wangu sioni tatizo lake liko wapi.
 
Mkuu Mwawado, Kwa kupenda kuelimika tu, mashaka ya wasomi walioko serikalini ni nini juu ya hili? Kwa mtazamo wangu sioni tatizo lake liko wapi.

Ni haya hapa chini, kama unataka mada nzima nitumie barua pepe yako nitakutumia ila ni ndefu kiasi - ina kurasa 33:


When Does a National Become a Dual Citizen?
<FONT face="Times New Roman"><FONT size=3>
In his most recent official visit to the United States of America (USA), the President of the United Republic of Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete, met a group of Tanzanian citizens &#8211; as well as citizens of USA who have renounced their Tanzanian citizenship &#8211; residing in Los Angeles, California. One of the burning questions that they had for the President as the buildup to the event indicated was the question of dual citizenship. Prior to this presidential visit it was a common knowledge, as garnered from parliamentary debates and ensuing media reports such as The Citizen's (15 July 2008) Preparations for Dual Citizenship Law Underway and The Daily News' (15 July 2008) Bill on Dual Citizenship Coming, that the government was in the process of preparing a Bill for dual citizenship to be tabled in the Parliament in one of its 2009 sessions.

Thus the anticipation the Tanzanian Diaspora had despite of the fact that their campaign to push for such a Bill goes back as early as 2004 was based on the hope that as the head of the government, the President could reveal how soon they should expect such a parliamentary motion. Surprisingly, flanked by the Minister responsible for Foreign Affairs, Bernard Membe, the President told his audience in Los Angeles that the move has stalled as it has been a subject of opposition among a number of people including the highly regarded intellectuals at the university, some of whom he affirmed they know very well. He noted that the Minister for Foreign Affairs has frequently talked in favour of it but has now stopped doing so for every time he speaks about it they blast &#8211; as in criticize &#8211; him. In his characteristically humouristic tone, President Kikwete grinningly said that these opponents of dual citizenship are saying that their fellows who are abroad want to &#8216;kula huku na huku', which when literally translated means, they &#8216;want to eat here and there.'[1] It is obvious he was referring to certain &#8216;Intellectuals at the Hill', that is, those at the University of Dar-es-Salaam (UDSM) which is still highly regarded as the leading Higher Learning Institution in Tanzania. The President promised, however, that they will keep on educating, as in sensitizing the people, about it, that is, presumably about its benefits.

But who are these renowned intellectuals that the government seemingly listens to when they speak and what are their main arguments against dual citizenship? They include those who participated in an international conference on &#8216;Unbinding Dual Citizenship in Tanzania' convened by the Institute of Development Studies (IDS) at UDSM in April, 2007. In her media report of the event in The Guardian (12 April 2007), Christina Mwangosi concluded that most participants disagreed with the adoption of dual citizenship by arguing that it will endanger peace, security and livelihood of poor Tanzanians. Moreover, they argued that it will increase pressure on land because in most cases people with access to dual citizenship may take advantage of their affluence to purchase land thus leaving the poor landless. Another argument advanced against it was that it may also put the nation at a high security risk. According to the Centre for the Study of Forced Migration, the International Refugee Rights Initiative & the Social Science Research Council (2008), however, some people argued that introducing it might perhaps help Tanzania to access investment from the Diaspora and that there was recognition of the existence of an emerging elite with children born outside Tanzania who could also benefit.

Arguably one of those famous intellectuals who are against dual citizenship is Shivji. As far back as 2006 when the Law Reform Commission of Tanzania, chaired by the renowned Judge Antony Bahati, issued a report on the introduction of dual citizenship in Tanzania, he had expressed concern that the reforms were spearheaded by an elite few. According to the Sunday News (21 May 2006), Shivji said this was so because the majority of Tanzanians would not benefit from such a reform. Moreover, he contended that the reform in favour of dual citizen was/is a sign of a lack of patriotism and would lead to a loss of national identity. In tandem with these contentions he wrote an article on Dual versus African Citizenship in The Citizen (24 November 2007). Therein he offered a critique of one of the parliamentary debates on dual citizenship in which the response of a Deputy Minister concerned with citizenship implied that &#8216;many' Tanzanians were/are in favour of it. After noting that previously newspapers have reported that vocal Tanzanians particularly those residing abroad had clamoured for that form of citizenship and also after observing that it seemed even those in authority were/are in favour of it, Shivji predicted that perhaps it was thus a matter of time before dual citizenship is legalized and then posed two set of interrelated questions that we need to ask. The first one is which Tanzanians want such citizenship and how many are those &#8216;many Tanzanians' who want it? And the second one is what does dual citizenship implies and who stands to benefit from it?

The answer to the first question, he contended, is clear even without taking a head count. It is &#8211; for it can only be &#8211; the members of the minute elite who constitute that &#8216;many Tanzanians' implied by the said Deputy Minister. To Shivji, these &#8216;many' Tanzanians cannot be the majority Tanzanians for the latter live in their villages and may have never travelled outside the country and perhaps not even to Dar es Salaam, Tanzania's business capital. As such, he affirms, it matters little to the large majority of Tanzanians. In a way this view was supported by Chachage in an interview with Sunday News (21 May 2006) whereby the latter was quoted as saying that dual citizenship was not a priority because there were many other pressing issues at that moment.


In the absence of such a head count it is important to note that according to one of the leading advocates for dual citizenship known as Abdul Wakil, the online &#8216;Dual Petition for Tanzanians' was filed at www.tanzaniacyberzone.com by Tanzanians living in America, that is, USA. At the time Wakil announced that on 18 March 2004, as cached in http://www.africaguide.com/forum/general/247.html, he noted that 450 signatures had been collected. By 17 November 2007 another leadin
 
Last edited:
niliona hizo arguments za hao so called wasomi...yaani ni ukuda tuu mpaka unajiuliza kama kweli wamesoma hata darasa moja!
 
About time watupe Jibu maana kuna vitu vingine muhimu inabidi tuwe tunayangalia...
 
Hata Multipartism nayo si ilikataliwa lakini ilipitishwa hivyohivyo. Wasomi wachache kuogopa wenzao kunufaika sioni ni mtazamo mpana. Tuukubali huu mswada maana tuko katika wakati ambao hata tusipopenda global forces would determine alot to do with the way our country would perform.Pengine threating issue ni hawa ndugu zangu wanaojihusisha na scandals halafu wanakimbiza mabilion nje!!!Lakini when we introduce such a system, we must also put controls in place to avoiding having troubles. Kuukataa kabisa mswada huu kwa mtazamo wangu ni kukwepa ukweli uliopo
 
Hili suala sio rahisi kama mnavyolifikiria. Ni mpaka wakae na wazee wa kule Zenj ili kuangalia na suala la vitambulisho vya ukaazi limekaaje? Nilimsikia JK alipoulizwa swali kule Marekani, sikumbuki mji, akasema kuwa suala sio rahisi kama linavyofikiriwa, ila hakufafanua. Ili mradi ahadi ya JK ingalipo basi tuendelee kusubiri.
 
Kwa maoni yangu hii issue haikuwa ngumu sana. Lakini wakati mambo yalipokuwa yanapamba moto, serikali ilikutwa kwenye misukosuko ya Richmond na EPA. Hivyo suala hili likawa limewekwa pembeni kwa zaidi ya miaka miwili hivi.
 
Back
Top Bottom