Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Uraia wa nchi mbili: Maendelo na Matokeo yake!

Visa ya marekani ni $ 131.00 for a single entry. Wao wanalipa $100,00 tu kuja kwetu gharama hizi kwa mmarekani wa kawaida ambaye ni proffesional ni ndogo sana ukizingatia mapato ya kati $30 hadi $100.00 kwa saa.



Happy new year guys!
 
Visa ya marekani ni $ 131.00 for a single entry. Wao wanalipa $100,00 tu kuja kwetu gharama hizi kwa mmarekani wa kawaida ambaye ni proffesional ni ndogo sana ukizingatia mapato ya kati $30 hadi $100.00 kwa saa.



Happy new year guys!
Mara ya mwisho nilikuwa bongo 2007 na visa nililipa $50.00 wamepandisha lini hii fee ya visa?.
 
Ndani ya EAC watanzania wenye uraia wa nje , wana haki ndogo sana kufananisha na wakenya, wanyarwanda, waganda katika nchi yao . Ifikapo mwezi wa saba mkenya au mganda atahitaji viza kuingia Tanzania; lakini, mtanzania mwenye uraia wa Marekani n.k will need a visa.

Sheria zetu zinachekesha sana. Mkenya, Mnyarwanda na Mganda ambao wana uraia wa nchi nyingine pamoja na uraia wa nchini mwao kuanzia July wataruhusiwa kuingia Tanzania bila visa kwa kuwa ni raia wa nchi moja ya EAC lakini Mtanzania wa kuzaliwa ambaye amechukua uraia wa nchi nyingine atahitaji aombe visa! Kweli nchi yetu ni kichwa cha mwendawazimu! Wakati nchi za jirani zetu zinajitahidi kuwakumbatia raia wao wenye uraia wa nchi mbili sisi tunazidi kuwapiga teke na kuwaonyesha kwamba hatuwahitaji!
 
Ndani ya EAC watanzania wenye uraia wa nje , wana haki ndogo sana kufananisha na wakenya, wanyarwanda, waganda katika nchi yao . Ifikapo mwezi wa saba mkenya au mganda atahitaji viza kuingia Tanzania; lakini, mtanzania mwenye uraia wa Marekani n.k will need a visa.

ninavyofahamu mimi wakenya na waganda tayari wanaingia tanzania bila kuhitaji viza kama vile watanzania wanavyoingia uganda na kenya bila viza.

naamini baadhi ya wanasiasa/wabunge hawana pingamizi na uraia wa nchi mbili. naamini suala hili likifikishwa rasmi bungeni tunaweza shuhudia mjadala mkali kuliko tunavyouona sasa, na huenda hoja ya uraia wa nchi mbili ikapita.
 
Nilikuwa naongelea visa ya kuingilia bongo pale airport kwa mtu ambae si raia, kwa hiyo nayo imepanda?.

Visa ni reciprocal kama una passport ya USA utalipa hizo pesa yaani wao wanachajiwa $100.00 tu ambapo ni kitu cha kushangaza kidogo wakati sisi tunalipa $131.00. Kila nchi inakuwa na makubaliano sasa inategemea una passport ya wapi. Sisi tu ndio tumezubaa huwezi kupata VISA ukitua kwenye kiwanja chao njaa mbaya sana - Hiyo jeuri tulikuwa nayo wakati wa mchonga tu.
 
Naam wanajukwaa

Nafurahi kujiunga na JF, nachukulia jukwaa hili kama ni sehemu ya kujifunza.

Takwimu za tanzania zinaonyesha kuwa kuna watanzania zaidi ya 1.2m wanaoishi nje ya nchi [rejea ripoti ya Tanzania Law Review Commission]. Naam hii ni karibu 3% ya taifa zima.

Nadhani wakati umefika sasa serikali ikapitisha sheria kuruhusu raia hawa kuweza kufaidi matunda ya uraia wa nchi mbili kwani kwa sasa wengi wanakwazwa na kuwa wakiamua kuchukua uraia mwingine inabidi waamue kuachia uzalendo wao.

Swali hili niliwahi kumuuliza mheshimiwa Sumaye alipokuja hapa Uingereza mwaka jana akakiri kuwa ni muhimu kuruhusu lakini hakuweza kutoa sababu kwa nini hasa mpaka sasa Tanzania imeshindwa kuwa sheria ya kuruhusu uraia wa nchi mbili.

Sasa hivi watanzania wengi wanaoishi Uingereza na nchi nyinginezo za Magharibi wanaweza kupata misaada kadhaa ya kuwekeza nchini mwao lakini kwa vile wengi wameamua kuwa na uraia wa nchi mbili bila kuachia uraia wao wa TZ basi inakuwa hawawezi kuwekeza nyumbani na kama watawekeza wataweka katika mfumo usio rasmi kama vile kuwatumia ndugu na jamaa pesa ili waweze kuwekeza,matokeo yake ni kuwa kwa vile ndugu hana uwezo wa biashara au kutokuwa muaminifu inakuwa ndio hivyo tena hela zinakwenda na hakuna linalofanyika,hii ina athari zaidi kwani mtu huyu hutotegemea akamhimiza mwenzie wa tanzania kuwa kawekeze nyumbani.

Naam mniwie radhi wanajukwaa nadhani ngwe yangu hapa mtandaoni italelemea zaidi katika kuwawezesha na kuwajali raia wote wa tanzania na kwa vile tuna asilimia 3% ya hawa wapo nje basi nao inabidi waainishe hoja zao ikiwemo na matatizo wayapatao,mwishowe waweze kuwa nao ni washiriki wazuri wa shughuli za kiuchumi Tanzania.

Mfano wa China ututoshe:
Kuna wachina 48 milioni nje ya nchi yao.Kuna wizara ya kushughulikia wachina waliopo nje ambayo inakuwa ni kama kiambatanishi cha wizara ya mambo ya nje ambapo wana jukumu la kuhakikisha kila mchina mwenye uwezo wa kutoa mchango kwao anawezeshwa bila vikwazo na pia wachina waliopo nje waweze kuwa wanapata habari na taarifa sahihi kuhusu hali ya uchumi,siasa,jamii nk wakati wote.

Angalia kwetu:

Balozi zetu zipo mbali na watanzania au tusema baadhi zimejitenga sana,ni kwa sababu kuwa karibu au mbali kunategemea na hulka ya balozi husika,kama ni mtu wa watu basi watu 'watajichanganya' kama sivyo basi watu hola! Nukta ni nini hapa? ni kuwa inabidi kuwe na ainisho maalum kwenye kazi za balozi katika kuwashughulikia watanzania.

Inatokea Rais anakuja kwenye nchi husika balozi anamkimbiza asionane na watanzania!
Natumai Ari mpya haitokuwa hivi na mabalozi nao watawajali watanzania hawa. Maoni yanakaribishwa, ''i stand to be corrected''

Kuchanganua na kuweka vizuri misingi ya waTanzania wanaoishi, kununua na kutumia uraia wa nchi hizo na wakati huo huo kuendelea ku-retain uTanzania wao ni mradi/mpango fulani ambao tatizo lake ni.

1. Faida itayopatika ni moja tu: ambayo ni "greater good only kwa nchi nzima na maendeleo yake". Faida binafsi "personal gain" kwa MAFISADI ni finyu mno kiasi cha wao kutokuwa tempted kuichukua na kuifanikisha project hiyo.

2. Pindi ingekuwa hao wanaoitwa wahisani wana direct interest ya sisi kuendelea na uTanzania baada ya kuwa wameshakuuzia uraia wa nchi zao na kutuwekea masharti yao, basi wangeudhamini utekelezaji wa "project" hiyo. Hapo tena ungewaona MAFISADI wetu (MAWARIRI, MANAIBU WAZIRI, MAKATIBU WAKUU, WAKURUGENZI WA IDARA, nk, nk) wanagombaniana haki za kuendesha mradi huo. Kila wizara ingedai haki ya kuundesha mradi huo, Mambo ya ndani, Mambo ya nje, Utalii na masoko, nk, nk. As long as kama hao wahisani wangetoa bilioni tano (5 bil) kwa ajili ya mradi na wao wanajua kwamba gharama zake hazizidi bil2.2 mpaka bil 2.5, Kila mmoja angekuwa tayari kukosa usingizi katika kufanya safari na mikutano mfululizo, kusema uongo kweupeeee ilimradi tu at the end, 2.5bil-2.8bil watatia ndani katika account zao.

Kwa kifupi, ni mentality za KIFISADI walizonazo VIONGOZI wetu ndizo zinazozuia kutekeleza mradi huu. Utakuja tuuuu kufanywa pasipo na budi kufanywa, tena utatekelezwa kiuvivu na kwa gharama kubwa za kupindukia. Yaani watasema "POTELEA MBALI TUTAIBA TU HATA KAMA WANATUONA" na zitaibiwa pesa hivihivi kwa ukuritimba na corruption. Hili ndio tatizo kichwa/tatizo mama la nchi yetu TZ.

Ole wenu MAFISADI, kufeni kabisa kabla sisi hatujakamta nafasi mnazohodhi, mta face retrospective justice, judiciuosly na gharama mtalipia, mpende msipende. Hamna nyiyi haki ya kuishi kabisa ulimwenguni, seuze Tanzania. May Satan be your miserable mates in the Hell-fire.
 
Naam wanajukwaa

Nafurahi kujiunga na JF, nachukulia jukwaa hili kama ni sehemu ya kujifunza.

Takwimu za tanzania zinaonyesha kuwa kuna watanzania zaidi ya 1.2m wanaoishi nje ya nchi [rejea ripoti ya Tanzania Law Review Commission]. Naam hii ni karibu 3% ya taifa zima.

Nadhani wakati umefika sasa serikali ikapitisha sheria kuruhusu raia hawa kuweza kufaidi matunda ya uraia wa nchi mbili kwani kwa sasa wengi wanakwazwa na kuwa wakiamua kuchukua uraia mwingine inabidi waamue kuachia uzalendo wao.

Swali hili niliwahi kumuuliza mheshimiwa Sumaye alipokuja hapa Uingereza mwaka jana akakiri kuwa ni muhimu kuruhusu lakini hakuweza kutoa sababu kwa nini hasa mpaka sasa Tanzania imeshindwa kuwa sheria ya kuruhusu uraia wa nchi mbili.

Sasa hivi watanzania wengi wanaoishi Uingereza na nchi nyinginezo za Magharibi wanaweza kupata misaada kadhaa ya kuwekeza nchini mwao lakini kwa vile wengi wameamua kuwa na uraia wa nchi mbili bila kuachia uraia wao wa TZ basi inakuwa hawawezi kuwekeza nyumbani na kama watawekeza wataweka katika mfumo usio rasmi kama vile kuwatumia ndugu na jamaa pesa ili waweze kuwekeza,matokeo yake ni kuwa kwa vile ndugu hana uwezo wa biashara au kutokuwa muaminifu inakuwa ndio hivyo tena hela zinakwenda na hakuna linalofanyika,hii ina athari zaidi kwani mtu huyu hutotegemea akamhimiza mwenzie wa tanzania kuwa kawekeze nyumbani.

Naam mniwie radhi wanajukwaa nadhani ngwe yangu hapa mtandaoni italelemea zaidi katika kuwawezesha na kuwajali raia wote wa tanzania na kwa vile tuna asilimia 3% ya hawa wapo nje basi nao inabidi waainishe hoja zao ikiwemo na matatizo wayapatao,mwishowe waweze kuwa nao ni washiriki wazuri wa shughuli za kiuchumi Tanzania.

Mfano wa China ututoshe:
Kuna wachina 48 milioni nje ya nchi yao.Kuna wizara ya kushughulikia wachina waliopo nje ambayo inakuwa ni kama kiambatanishi cha wizara ya mambo ya nje ambapo wana jukumu la kuhakikisha kila mchina mwenye uwezo wa kutoa mchango kwao anawezeshwa bila vikwazo na pia wachina waliopo nje waweze kuwa wanapata habari na taarifa sahihi kuhusu hali ya uchumi,siasa,jamii nk wakati wote.

Angalia kwetu:

Balozi zetu zipo mbali na watanzania au tusema baadhi zimejitenga sana,ni kwa sababu kuwa karibu au mbali kunategemea na hulka ya balozi husika,kama ni mtu wa watu basi watu 'watajichanganya' kama sivyo basi watu hola! Nukta ni nini hapa? ni kuwa inabidi kuwe na ainisho maalum kwenye kazi za balozi katika kuwashughulikia watanzania.

Inatokea Rais anakuja kwenye nchi husika balozi anamkimbiza asionane na watanzania!
Natumai Ari mpya haitokuwa hivi na mabalozi nao watawajali watanzania hawa. Maoni yanakaribishwa, ''i stand to be corrected''

Wazo lako Mkuu ni zuri sana ikiwezekana hata hilo Suala la Uraia wa Nchi lipelekwe bungeni na wabunge nao walipasishe tuwe na uhuru jamani wa Mtu kuwa na Uraia wa nchi mbili hayo ndio Maendeleo tunakwenda nje ya nchi kutafuta pesa hata kama tutakaa miaka 20 lakini ipo siku tutaka kurudi nyumbani jamani Waarabu wanasema Mithali hii Ninanukuu (NYUMBANI NI NYUMBANI HATA KAMA KUKIWA JUU YA PAA YA NYUMBA BASI NI NYUMBANI) itabidi Serikali ya Mheshimiwa J. Kikwete ilichukulie hili suala kipa Umbele sana naona ajabu nchi kama ya kwetu mpaka hivi sasa hatujaruhusu Mtu kuwa na Uraia wa nchi mbili? kweli Watanzania bado tupo nyuma kimaendeleo nchi kama Uingereza Amerika na nchi Zengine kubwa na ndogo zinaruhusu Mtu kuwa na Uraia wa Nchi mbili tuamke jamani Watanzania tupo kwenye usingizi mzito sana lini tutaendelea jamni ndugu zangu watanzania?
 
kudadeki,
hii mijitu inaona ya kwao tu yaani wao kila kitu uongozi, nafasi za kusoma, misamaha ya kodi, kugaiana mali za uma, roho korosho,
Hivi sisi watanzania tuna mtindio wa akili kiasi gani? hivi leo eti uraia wa nchi mbili usiwe sababu usalama wa taifa? eti mafisadi wana uraia wa nchi ngapi hata kila kiongozi wa nji hii anasema wazi kabisa kuwa HAWAKAMATIKI, bado oohh tusiwe na uraia wa nchi mbili,

Kudadeki, nilipiga kura mara moja tu enzi zile za chama kimoja, tokea hapo sijapiga na wala sitopiga kwani hakuna jipya najuwa watu watasema unapoteza haki yako, mbona haki imepotea siku nyingi tu kwenda kupiga kura unapoteza haki ya msingi ya kutafuta chakula na kumpa mtu mwengine haki yako, unakwenda kuruhusu miaka mitano mtu mwengine umlipe kwa yeye kupata kula
 
ORTON KIISHWEKO, 19th January 2010 @ 15:00,
Daily News

LATEST government moves to formally start a structure to regulate and co-ordinate Diaspora affairs, give hope to Tanzanians advocating for dual citizenship, with the possibility of reviewing the existing legislation.

The Minister for Foreign Affairs and International Co-operation, Mr Bernard Membe, told a stakeholder co-ordination meeting on Tanzania’s Diaspora in Dar es Salaam yesterday that a legislative solution to that effect would be reached "to the benefit of the Diaspora and the country."

“The government is pursuing this request and relevant stakeholders are being consulted to establish the best modalities for a review of existing legislations governing citizenship,” noted Mr Membe.

One of the proposed constitutional clauses on the matter suggests that a citizen, by birth or descent, shall not lose that citizenship by acquiring the citizenship of another country. Those opposed to the idea argue that it would effect brain-drain from here, because it would facilitate an exodus of people seeking greener pastures abroad.

Mr Membe said yesterday that allowing dual nationality held the potential of increasing opportunities to resources abroad, as the Diaspora would enjoy same rights accorded to the citizens of host countries.

They would also get access to better paid jobs and opportunities reserved exclusively for citizens, including access to government supported programmes in education, health, loans and property ownership.

Expectations of a change in the citizenship laws are largely hinged on the hope that with increased earnings and potential, Tanzanian Diaspora will increase remittances for poverty reduction and investments back home, he observed.

He, however, told representatives of Tanzanians in Diaspora that the challenge was that there was still scanty information on the number of Tanzanians in the Diaspora and their skills and needs.

The issue of Diaspora has assumed global significance, as a result of their potential contribution to the development of their countries of origin, but Mr Membe noted their needs have been a subject of misunderstanding with some political undertones.

He said the Diaspora would help Tanzanians who want to move abroad for studies, employment and enable qualified Tanzanians compete and avail themselves of employment opportunities in international organisations, especially where the system of country quotas exist and Mainstream Diaspora related issues into the implementation of existing and future development plans.

Through the national framewok, the government wants a structured Diaspora role in sectors such as education, health, trade and investment and private sector, with the view to reduce dependence on foreign expertise.

The Chief of Mission, International Organisation for Migration, Mr Par Liljert, said formal remittance flows from African Diaspora back home exceeded 10bn US dollars, but could have exceeded $40bn, a reality showing that they have the financial power to engage investments in health, education, agriculture and tourism sectors in Tanzania.
 
"Hakuna serikali duniani iliyo weza kusimama kwakuwa naraia wasio nautaifa wakweli" ndugu wa tanzania wenzangu napenda kusimama nakutoa mchango wangu hasa ktk hili swala lauraia wa nchi mbili ambalo limekuwa likipigiwa debe hasa na mh bernard membe kwa kusema ni moja ya sera ktk chama cha mapinduzi..

Nijambo limenifanya kuhaha huku nakule kutaka kujuwa ukweli na ikiwa kweli, hawa watu wana nia njema na utaifa wetu?. Nakwaharaka niligunduwa upatu huu unaopigwa nchi nzima na kwa kipindi kirefu una umauti na maangamizi ya uzalendo wa taifa letu pamoja nakutengeneza mianya yauchotaji wa fedha zetu nakwenda kujichimbia ulaya kwakutumia kisingizio cha uraia wa nchi mbili. Hivi inakuwaje mtoto wa bwana rugemarira awe pia mtoto wa marwa? Alafu unamrithishaje?. Nadhani kwa haraka waweza kupata ujinga tunao taka kuufanya. Nitachambua kwa haraka haraka athari za jambo hili, ikiwa tutakimbilia mambo eti kwa sababu ya nchi fulani kwa mfano; israel?

Jaman hivi tanzania twaweza kujilinganisha na israel? Israel wamejikita kwa kias kikubwa ktk uraia wa nchi mbili kwasababu zakiusalama na sio kitu kingine, pia israel inawasomi weng kias taifa limesha jiridhisha na wasom lina waitaji ktk kazi za ndani so linauza wasomi wake nje at the same tm ni watu wakiusalama sasa je mh membe anaweza kuudhihirishia uma kama kwel taifa limejitosheleza au niufisadi mwingine huu?. Hata hivyo embu tuangalie madhara ya urai wa nchi mbili kwa taifa kama hili

1. Uzalendo wa raia wa nchi yeyote duniani, unaanzia ktk uraia wa nchi yake kwa kuipenda na kuithamin nchi yake. Leo hii unapo enda china utagunduwa wanauzalendo na nchi yao nawako makini ktk swala la uraia, nenda rusia, nenda usa, german na popote pale urai ni ajenda ya moto ktk swala la maendeleo na uwajibikaji ktk nchi nivigumu kwa raia mwenye uraia wa nchi mbili kukubali kufanya kaz ndan ya taifa lake kwa kias cha mshahara wakawaida, lakini nirahis kwa raia mwenye uraia wa nchi moja kutumika ndani ya taifa lake hata kwa kias cha mshahara mdogo. Nahuu nauita uzalendo maana tukumbuke hawa raia wanasomeshwa na serikali yao ya tanzania ili kulisaidia taifa, sasa wewe leo unawaambia wako huru kuwa watanzania na pia at the same time raia wa nchi nyingine wakat huna wataalamu wakutosha sasa jaman mtawauwa hawa raia yan leo kodi zao zinaenda wafaidia wengine while wao walifunga mikanda wasomeshe! That is a shame to ths government.

2. Usalama wa taifa hili tunauweka ktk mikono ya maadui hivi kweli leo unategemea mtoto anaye kuwa na tabia yakuishi kwa majirani atakuwa na siri na nyumbani kwao? Lahasha haiwezekani lazima atasema nini kipo kwao nakutoa siri za nyumban kwao na pia atapewa majukumu na wale majiran kuchunguza kama wana hiki au kile, so tayari usalama wa nyumba utakuwa ktk hatari, na hiki ndicho kitaenda tokea, tuta chunguzwa na watu wa nyumba yetu, nakulipwa fedha nying sana. Wakati huo usalama wetu utakuwa zero, nadhani membe anasiri moyoni, embu tuangalieni issue ya balali na tuone ujinga wahaya maviongoz wao wanataka kunakili pasipo kufikiri, ukiangalia kwa mfano australia ktk katiba yao sec44. Wanazuia kabisa mtu anaye taka kuwa kiongoz na kuingia bungeni kuwa nauraia wa nchi mbili na kuna court case (suevshill). Huu nimfano tu wakiusalama na hathari za aya mambo ya uraia wa nchi mbili. Napinga nanina ogopa nakutia shaka ktk ulinz wa taifa hili kwa ujinga wa ccm..

3.kodi (tax), ktk swala lakodi tusifikiri watakusanya tu ila tukumbuke tunataka kutengeneza madeni yasio lipika nakwakwel nawaza hawa watu kama kwel wana data base ya aina gani kufuwatilia mapato ya watu walio nje while maden tu ya hapa kukusanya ni kero. Bila shaka jaman hili lijadiliwe kitaifa na kama watanzania watakubal ujinga huu natuji ingize. Japo mimi nalilia utaifa wa mtanzania nakutaman watanzania kuipenda nchi yao na kama nikwenda nje iwe niserikal yao imewatuma kwa sababu maalumu. Wamarekan wanaipenda sana nchi yao kias ktk maojiano fulani cnn mmarekant mmoja akasema " i do not feel to go out side my country b'cos america its every thing" je leo ni watanzania wangapi tumewajengea uzalendo na moyo wakulipenda taifa lao kias wakasema tanzania nikila kitu? Je nikweli tuna uchungu na masikin, wakina mama wanao kosa uduma bora zakiafya kwà kukosa madaktari wazuri? Hivi kuna faida gani kusomesha na kwenda kutibu nje?

At the same time tunatibiwa na madaktar wale wale wakwetu natunalipia mara mbili na sisi tunavuna kodi tu. Huu niulimbukeni na ubakaji wa mipango ya nchi za watu nakufanya mipango yako. Tufike mahali tuje na vitu vitaboresha maisha ya watanzania nasii kupígia upatu watanzania kuishi nchi za watu hii ni laana kama sii utumwa, badala yakutengeneza mazingira yakuwafanya raia wa tanzania walioko nje warudi nakulisaidia taifa sisi tunataka kabisa waendelee kuish huko,hivi kweli leo wataalamu wakubwa ktk nchi kama marekan au china tunaweza waleta tanzania? Lahasha hatakuwaona uwezi. Sisi nimesema tangu jana tunaviongozi wenye uwezo mdogo ktk kufikiri wanawaza leo not tmrw au the day after 2mrw.

Asanten
 
"HAKUNA SERIKALI DUNIANI ILIYO WEZA KUSIMAMA KWAKUWA NARAIA WASIO NAUTAIFA WAKWELI" NDUGU WA TANZANIA WENZANGU NAPENDA KUSIMAMA NAKUTOA MCHANGO WANGU HASA KTK HILI SWALA LAURAIA WA NCHI MBILI AMBALO LIMEKUWA LIKIPIGIWA DEBE HASA NA MH BERNARD MEMBE KWA KUSEMA NI MOJA YA SERA KTK CHAMA CHA MAPINDUZI.. NIJAMBO LIMENIFANYA KUHAHA HUKU NAKULE KUTAKA KUJUWA UKWELI NA IKIWA KWELI, HAWA WATU WANA NIA NJEMA NA UTAIFA WETU?. NAKWAHARAKA NILIGUNDUWA UPATU HUU UNAOPIGWA NCHI NZIMA NA KWA KIPINDI KIREFU UNA UMAUTI NA MAANGAMIZI YA UZALENDO WA TAIFA LETU PAMOJA NAKUTENGENEZA MIANYA YAUCHOTAJI WA FEDHA ZETU NAKWENDA KUJICHIMBIA ULAYA KWAKUTUMIA KISINGIZIO CHA URAIA WA NCHI MBILI. HIVI INAKUWAJE MTOTO WA BWANA RUGEMARIRA AWE PIA MTOTO WA MARWA? ALAFU UNAMRITHISHAJE?. NADHANI KWA HARAKA WAWEZA KUPATA UJINGA TUNAO TAKA KUUFANYA. NITACHAMBUA KWA HARAKA HARAKA ATHARI ZA JAMBO HILI, IKIWA TUTAKIMBILIA MAMBO ETI KWA SABABU YA NCHI FULANI KWA MFANO; ISRAEL? JAMAN HIVI TANZANIA TWAWEZA KUJILINGANISHA NA ISRAEL? ISRAEL WAMEJIKITA KWA KIAS KIKUBWA KTK URAIA WA NCHI MBILI KWASABABU ZAKIUSALAMA NA SIO KITU KINGINE, PIA ISRAEL INAWASOMI WENG KIAS TAIFA LIMESHA JIRIDHISHA NA WASOM LINA WAITAJI KTK KAZI ZA NDANI SO LINAUZA WASOMI WAKE NJE AT THE SAME TM NI WATU WAKIUSALAMA SASA JE Mh MEMBE ANAWEZA KUUDHIHIRISHIA UMA KAMA KWEL TAIFA LIMEJITOSHELEZA AU NIUFISADI MWINGINE HUU?. HATA HIVYO EMBU TUANGALIE MADHARA YA URAI WA NCHI MBILI KWA TAIFA KAMA HILI 1. UZALENDO WA RAIA WA NCHI YEYOTE DUNIANI, UNAANZIA KTK URAIA WA NCHI YAKE KWA KUIPENDA NA KUITHAMIN NCHI YAKE. LEO HII UNAPO ENDA CHINA UTAGUNDUWA WANAUZALENDO NA NCHI YAO NAWAKO MAKINI KTK SWALA LA URAIA, NENDA RUSIA, NENDA USA, German NA POPOTE PALE URAI NI AJENDA YA MOTO KTK SWALA LA MAENDELEO NA UWAJIBIKAJI KTK NCHI NIVIGUMU KWA RAIA MWENYE URAIA WA NCHI MBILI KUKUBALI KUFANYA KAZ NDAN YA TAIFA LAKE KWA KIAS CHA MSHAHARA WAKAWAIDA, LAKINI NIRAHIS KWA RAIA MWENYE URAIA WA NCHI MOJA KUTUMIKA NDANI YA TAIFA LAKE HATA KWA KIAS CHA MSHAHARA MDOGO. NAHUU NAUITA UZALENDO MAANA TUKUMBUKE HAWA RAIA WANASOMESHWA NA SERIKALI YAO YA TANZANIA ILI KULISAIDIA TAIFA, SASA WEWE LEO UNAWAAMBIA WAKO HURU KUWA WATANZANIA NA PIA AT THE SAME TIME RAIA WA NCHI NYINGINE WAKAT HUNA WATAALAMU WAKUTOSHA SASA JAMAN MTAWAUWA HAWA RAIA YAN LEO KODI ZAO ZINAENDA WAFAIDIA WENGINE WHILE WAO WALIFUNGA MIKANDA WASOMESHE! THAT IS A SHAME TO THS GOVERNMENT. 2. USALAMA WA TAIFA HILI TUNAUWEKA KTK MIKONO YA MAADUI HIVI KWELI LEO UNATEGEMEA MTOTO ANAYE KUWA NA TABIA YAKUISHI KWA MAJIRANI ATAKUWA NA SIRI NA NYUMBANI KWAO? LAHASHA HAIWEZEKANI LAZIMA ATASEMA NINI KIPO KWAO NAKUTOA SIRI ZA NYUMBAN KWAO NA PIA ATAPEWA MAJUKUMU NA WALE MAJIRAN KUCHUNGUZA KAMA WANA HIKI AU KILE, SO TAYARI USALAMA WA NYUMBA UTAKUWA KTK HATARI, NA HIKI NDICHO KITAENDA TOKEA, TUTA CHUNGUZWA NA WATU WA NYUMBA YETU, NAKULIPWA FEDHA NYING SANA. WAKATI HUO USALAMA WETU UTAKUWA ZERO, NADHANI MEMBE ANASIRI MOYONI, EMBU TUANGALIENI ISSUE YA BALALI NA TUONE UJINGA WAHAYA MAVIONGOZ WAO WANATAKA KUNAKILI PASIPO KUFIKIRI, UKIANGALIA KWA MFANO AUSTRALIA KTK KATIBA YAO SEC44. WANAZUIA KABISA MTU ANAYE TAKA KUWA KIONGOZ NA KUINGIA BUNGENI KUWA NAURAIA WA NCHI MBILI NA KUNA COURT CASE (SUEVsHILL). HUU NIMFANO TU WAKIUSALAMA NA HATHARI ZA AYA MAMBO YA URAIA WA NCHI MBILI. NAPINGA NANINA OGOPA NAKUTIA SHAKA KTK ULINZ WA TAIFA HILI KWA UJINGA WA CCM.. 3.KODI (TAX), KTK SWALA LAKODI TUSIFIKIRI WATAKUSANYA TU ILA TUKUMBUKE TUNATAKA KUTENGENEZA MADENI YASIO LIPIKA NAKWAKWEL NAWAZA HAWA WATU KAMA KWEL WANA DATA BASE YA AINA GANI KUFUWATILIA MAPATO YA WATU WALIO NJE WHILE MADEN TU YA HAPA KUKUSANYA NI KERO. BILA SHAKA JAMAN HILI LIJADILIWE KITAIFA NA KAMA WATANZANIA WATAKUBAL UJINGA HUU NATUJI INGIZE. JAPO MIMI NALILIA UTAIFA WA MTANZANIA NAKUTAMAN WATANZANIA KUIPENDA NCHI YAO NA KAMA NIKWENDA NJE IWE NISERIKAL YAO IMEWATUMA KWA SABABU MAALUMU. WAMAREKAN WANAIPENDA SANA NCHI YAO KIAS KTK MAOJIANO FULANI CNN MMAREKANT MMOJA AKASEMA " I DO NOT FEEL TO GO OUT SIDE MY COUNTRY B'COS AMERICA ITS EVERY THING" JE LEO NI WATANZANIA WANGAPI TUMEWAJENGEA UZALENDO NA MOYO WAKULIPENDA TAIFA LAO KIAS WAKASEMA TANZANIA NIKILA KITU? JE NIKWELI TUNA UCHUNGU NA MASIKIN, WAKINA MAMA WANAO KOSA UDUMA BORA ZAKIAFYA KWÀ KUKOSA MADAKTARI WAZURI? HIVI KUNA FAIDA GANI KUSOMESHA NA KWENDA KUTIBU NJE? AT THE SAME TIME TUNATIBIWA NA MADAKTAR WALE WALE WAKWETU NATUNALIPIA MARA MBILI NA SISI TUNAVUNA KODI TU. HUU NIULIMBUKENI NA UBAKAJI WA MIPANGO YA NCHI ZA WATU NAKUFANYA MIPANGO YAKO. TUFIKE MAHALI TUJE NA VITU VITABORESHA MAISHA YA WATANZANIA NASII KUPÍGIA UPATU WATANZANIA KUISHI NCHI ZA WATU HII NI LAANA KAMA SII UTUMWA, BADALA YAKUTENGENEZA MAZINGIRA YAKUWAFANYA RAIA WA TANZANIA WALIOKO NJE WARUDI NAKULISAIDIA TAIFA SISI TUNATAKA KABISA WAENDELEE KUISH HUKO,HIVI KWELI LEO WATAALAMU WAKUBWA KTK NCHI KAMA MAREKAN AU CHINA TUNAWEZA WALETA TANZANIA? LAHASHA HATAKUWAONA UWEZI. SISI NIMESEMA TANGU JANA TUNAVIONGOZI WENYE UWEZO MDOGO KTK KUFIKIRI WANAWAZA LEO NOT TMRW AU THE DAY AFTER 2MRW. Asanten

your thread is difficult to read, please do not use capital letter in all of your story and create paragraphs
 
"hakuna serikali duniani iliyo weza kusimama kwakuwa naraia wasio nautaifa wakweli" ndugu wa tanzania wenzangu napenda kusimama nakutoa mchango wangu hasa ktk hili swala lauraia wa nchi mbili ambalo limekuwa likipigiwa debe hasa na mh bernard membe kwa kusema ni moja ya sera ktk chama cha mapinduzi.. Nijambo limenifanya kuhaha huku nakule kutaka kujuwa ukweli na ikiwa kweli, hawa watu wana nia njema na utaifa wetu?. Nakwaharaka niligunduwa upatu huu unaopigwa nchi nzima na kwa kipindi kirefu una umauti na maangamizi ya uzalendo wa taifa letu pamoja nakutengeneza mianya yauchotaji wa fedha zetu nakwenda kujichimbia ulaya kwakutumia kisingizio cha uraia wa nchi mbili. Asanten

pasipo hitilafu yeyote ya kupinga amri ya mwenyezi mungu na walivyonikuza wazazi wangu, wallaaaaaaahi "tanzania ndio haaaswa" na hii hata ikinibidi nitanunua (sio kubadilisha nilionao) hata uraia wa nchi kumi au ishirini, lakini nakiri kwamba mafisadi (viongozi mafidsadi) ni najisi (uchafu) wa uvundo.

Nimezaliwa kwa amri ya mwenyezi mungu tanzania, na nakiri kwamba nimeiridhia na kuikubali amri ya mola wangu. Kitovu changu kilichokatwa baada ya uzawa wangu kimezikwa katika mchanga wa nchi hii, kimechanganyika na mchanga wa tanzania. Hivyo katu uzembe wa wanasiasa mafisadi (kutotaka kulifanyia ufafanuzi jambo hili kwa manufaa ya watanzania) hakuntoniondoshea ties (kiungo) kilichopo baina yangu na nchi yangu tanzania, hata kama nimenunua uarai wa nchi nyengine kumi au ishirini. Mababu na mabibi, na wazee wangu wapo katika matumbo ya ardhi ya nchi hii tanzania, mwenyezi mungu awarehehemu wote.

Ukitaka kujua zaidi kwanini naweza kununua hata uraia wa nchi 10-20 ikibidi, na katu sitapoteza uraia na uzawa wangu wa tanzania na kwakweli nam-regard mtu ataenifungulia mdomo na kuniambia kwamba mimi sio mtanzania ni muhalifu, basi labda tumuombe mwenyezi mungu atukutanishe siku moja nikueleze. Kwa maana hakuna najisi mbaya na uvundo unaonuka katika ardhi zaidi ya mafisadi, hasa viongozi mafisadi.

Wao ndio kichwa na chanzo cha matatizo yote ya nchi yetu, rushwa, umasikini, ubaguzi(ukabila/udini/undugu), kurudi nyuma kimaendelea nk, nk. Ndio wanaoifanya nchi isikalike, lakini katu hawatotuvua uzalendo, mapenzi na huruma na our beloved land, tanzania, na one day mwenyezi mungu aturejeshe tukiwa na uraia wa nchi nyigi, mwenye kumi, mwenye ishirini mikononi mwake, lakini zooote zimezongwa na kuhifadhiwa ndani ya amri aliyotuumba nayo allah (sw), utanzania, inshaalah.
 
Ndugu Tumaini, makala yako ina mantiki kubwa mno, lakini ingesomeka hivi, ujumbe ungefika barabara!!!!.


Hakuna serikali duniani iliyo weza kusimama kwakuwa na raia wasio na utaifa wa kweli".
Ndugu wa tanzania wenzangu napenda kusimama nakutoa mchango wangu hasa ktk hili swala la uraia wa nchi mbili ambalo limekuwa likipigiwa debe hasa na mh Bernard Membe kwa kusema ni moja ya sera ktk chama cha mapinduzi. Nijambo limenifanya kuhaha huku na kule kutaka kujuwa ukweli na ikiwa kweli, hawa watu wana nia njema na utaifa wetu?. Na kwa haraka niligunduwa upatu huu unaopigwa nchi nzima na kwa kipindi kirefu una umauti na maangamizi ya uzalendo wa taifa letu pamoja nakutengeneza mianya ya uchotaji wa fedha zetu nakwenda kujichimbia ulaya kwakutumia kisingizio cha uraia wa nchi mbili.


Hivi inakuwaje mtoto wa bwana rugemarira awe pia mtoto wa marwa? halafu unamrithishaje?. Nadhani kwa haraka waweza kupata ujinga tunao taka kuufanya.
Nitachambua kwa haraka haraka athari za jambo hili, ikiwa tutakimbilia mambo eti kwa sababu ya nchi fulani kwa mfano; Israel? jaman hivi Tanzania twaweza kujilinganisha na israel? Israel wamejikita kwa kias kikubwa ktk uraia wa nchi mbili kwasababu za kiusalama na sio kitu kingine, pia Israel inawasomi weng kias taifa limesha jiridhisha na wasom lina waitaji ktk kazi za ndani so linauza wasomi wake nje at the same tm ni watu wakiusalama sasa je mh Membe anaweza kuudhihirishia uma kama kwel taifa limejitosheleza au niufisadi mwingine huu?.


Hata hivyo embu tuangalie madhara ya urai wa nchi mbili kwa taifa kama hili

  1. Uzalendo wa raia wa nchi yeyote duniani, unaanzia ktk uraia wa nchi yake kwa kuipenda na kuithamin nchi yake. Leo hii unapo enda china utagunduwa wanauzalendo na nchi yao na wako makini ktk swala la uraia, nenda rusia, nenda usa, german na popote pale, uraia ni ajenda ya moto ktk swala la maendeleo na uwajibikaji ktk nchi. Ni vigumu kwa raia mwenye uraia wa nchi mbili kukubali kufanya kaz ndan ya taifa lake kwa kias cha mshahara wakawaida, lakini nirahis kwa raia mwenye uraia wa nchi moja kutumika ndani ya taifa lake hata kwa kias cha mshahara mdogo. Nahuu nauita uzalendo maana tukumbuke hawa raia wanasomeshwa na serikali yao ya tanzania ili kulisaidia taifa, sasa wewe leo unawaambia wako huru kuwa watanzania na pia at the same time raia wa nchi nyingine wakat huna wataalamu wakutosha sasa jaman mtawauwa hawa raia yan leo kodi zao zinaenda wafaidia wengine while wao walifunga mikanda wasomeshe! that is a shame to this government.
  2. Usalama wa taifa hili tunauweka ktk mikono ya maadui hivi kweli leo unategemea mtoto anaye kuwa na tabia yakuishi kwa majirani atakuwa na siri na nyumbani kwao? lahasha haiwezekani lazima atasema nini kipo kwao nakutoa siri za nyumban kwao na pia atapewa majukumu na wale majiran kuchunguza kama wana hiki au kile, so tayari usalama wa nyumba utakuwa ktk hatari, na hiki ndicho kitaenda tokea, tuta chunguzwa na watu wa nyumba yetu, nakulipwa fedha nying sana. Wakati huo usalama wetu utakuwa zero, nadhani membe anasiri moyoni, embu tuangalieni issue ya balali na tuone ujinga wa haya maviongoz. Wao wanataka kunakili pasipo kufikiri, ukiangalia kwa mfano australia ktk katiba yao sec44. Wanazuia kabisa mtu anaye taka kuwa kiongoz na kuingia bungeni kuwa na uraia wa nchi mbili na kuna court case (suevshill). huu nimfano tu wakiusalama na athari za aya mambo ya uraia wa nchi mbili.
    Napinga na nina ogopa na kutia shaka ktk ulinz wa taifa hili kwa ujinga wa ccm.
  3. Kodi (tax), ktk swala la kodi tusifikiri watakusanya tu ila tukumbuke tunataka kutengeneza madeni yasio lipika na kwakwel nawaza hawa watu kama kwel wana data base ya aina gani kufuwatilia mapato ya watu walio nje while maden tu ya hapa kukusanya ni kero. Bila shaka jaman hili lijadiliwe kitaifa na kama watanzania watakubal ujinga huu na tujiingize. japo mimi nalilia utaifa wa mtanzania nakutaman watanzania kuipenda nchi yao na kama nikwenda nje iwe niserikal yao imewatuma kwa sababu maalumu. Wamarekani wanaipenda sana nchi yao kias ktk mahojiano fulani cnn mmarekani mmoja akasema " i do not feel to go out side my country b'cos america its every thing" je leo ni watanzania wangapi tumewajengea uzalendo na moyo wakulipenda taifa lao kias wakasema tanzania nikila kitu? je nikweli tuna uchungu na masikin, wakina mama wanao kosa huduma bora za kiafya kwà kukosa madaktari wazuri? hivi kuna faida gani kusomesha na kwenda kutibu nje? at the same time tunatibiwa na madaktar wale wale wa kwetu natunalipia mara mbili na sisi tunavuna kodi tu. Huu ni ulimbukeni na ubakaji wa mipango ya nchi za watu nakufanya mipango yako.

    Tufike mahali tuje na vitu vitaboresha maisha ya watanzania nasii kupígia upatu watanzania kuishi nchi za watu hii ni laana kama sii utumwa, badala yakutengeneza mazingira yakuwafanya raia wa tanzania walioko nje warudi nakulisaidia taifa sisi tunataka kabisa waendelee kuish huko, hivi kweli leo wataalamu wakubwa ktk nchi kama marekan au china tunaweza waleta tanzania? lahasha hatakuwaona huwezi. Sisi nimesema tangu jana tunaviongozi wenye uwezo mdogo ktk kufikiri wanawaza leo not tmrw au the day after 2mrw. Ahsanten
 
2010-01-20 09:22:00
Dual citizenship at last
16972.jpg

Foreign Affairs and International Cooperation minister Bernard Membe addresses journalists in his office in Dar es Salaam yesterday.Membe says research carried out on the proposal has established that the new law will not harm the country

By Mkinga Mkinga
THE CITIZEN

The law to allow Tanzanians to hold dual citizenship should finally be enacted by the end of the year, Foreign Affairs and International Co-operation minister Bernard Membe said yesterday.

Speaking in Dar e s Salaam at an International Organisation for Migration (IOM) meeting, Mr Membe said research conducted on the proposal had established that the new law would not harm the country.

"The government is regretting locking out Tanzanians overseas during the 49 years of our Independence, while some African countries have been granting dual citizenship to their people," Mr Membe said.

Tanzanians living abroad will receive the news with jubilation, as they have for many years campaigned for the introduction of such a law to enable them to belong to both their host countries and their motherland.

Many have complained that lack of such a law disadvantages them, as it denies them opportunities they could access if they were citizens of the countries where they work.

Yesterday, Mr Membe explained that the issue had taken many years to conclude because the ministry did not wish to "rush such a sensitive issue". He added: "We decided to conduct a thorough research before introducing this law, which deals with the basic rights of a person."

The research had enabled the government to establish that dual citizenship "is not bad, as some people were trying to depict it".

The minister went on: "On the contrary, there will more benefits for the country and the individuals, if we to adopt the law to enable our fellow Tanzanians living abroad to market our country as well."

During the research, it had been found that Tanzanian experts working abroad had been contributing immensely to their host countries. Therefore, he said, the enacting of the law would enable them to also assist their motherland without any hitch.

Mr Membe said the ministry had already started to move to tap the great economic potential of the Tanzanians overseas.

After receiving the report, the ministry established a special department to deal with the affairs of those in the Diaspora.

"Everything regarding how to deal with the Tanzanians living abroad is almost ready. We need to fully utilise their skills and wealth to push forward our development agenda," he said.

The Dual Citizenship Act, the minister added, would give those abroad the right to adopt the citizenship of their host countries while maintaining their Tanzanian nationality.

Under the current law, a Tanzanian who adopts the citizenship of another country is automatically stripped of his nationality.

Minister Membe said they had directed all the country's embassies and high commissions overseas to register all Tanzanians to enable the government to have full information and data on the nationals living abroad.

Speaking to reporters at the meeting, which brought together experts from various ministries, embassies and some Tanzanian experts working in the UK, Mr Daniel Mwasandube, a quantity surveyor based in Britain, said many Tanzanians had opted to leave the country in search of better lives.

He said most of them "are very patriotic but lack of supportive laws", such the one granting dual citizenship, has blocked them from serving their country better.

"Many Tanzanians cannot land high paying jobs abroad, though they have the qualifications, simply because employers look for people who hold the passports of those countries," he said.

In preparation for the introduction of dual citizenship, the Law Reform Commission was tasked to conduct a national study and gather the public's views.

In 2006, the commission recommended amendments to the relevant laws so that Tanzanians can also enjoy dual citizenship.

According to the 'Final Report on the Introduction of Dual Citizenship in Tanzania', the commission chaired by Judge Anthony Bahati, said the issue deserved "a positive and forwarding-looking consideration".

The commissioners said it was high time Tanzania adopted dual citizenship because in a globalised world, the country could not develop without interaction with other nations.

Dual citizenship, according to the commission, was desirable as it conferred benefits both to the country and nationals desiring to hold the citizenships of other countries.

"A person with dual citizenship has greater flexibility in his choice of where to live and/or work," reads part of the report.

But the members of the commission also recommended that national identity cards be issued first before adopting the system.

Once it becomes law, Tanzanians will no longer have to renounce their citizenship, and the same will apply to foreigners wishing to take up Tanzanian citizenship, if their countries of origin allow that.
 
Hiyo ni janja yao, hawajamaa zetu! wao ndo wanataka uraia wa nchi 2. wanajua uchafu waliufanya so wanataka wakiona vipi wakimbie. afu ishu ikitulia wanrudi faster.

Sisi hatuwezi kumwiiga mwisraeli- ile kitu tofauti ni uzalendo pale ni asilimia mia zaidi, ndo maana wao hakuna mtu anaweza uza mgodi nchi yake ilipwe kodi ya milion 900, afu iffukie mashimo kwa 1.5 bln- huo ni ujinga.

Akina membe nao si wamuulize sheikh yahya aseme- ndo mshauri wao wa kisiasa ati! Shame on us! eti hao ndo tumewapa kura za kishindo- of all people.

am sic!
 
Back
Top Bottom