Law on dual citizenship coming
2008-07-15 10:16:03
By Bilal Abdul-Aziz, Dodoma
The government yesterday said it was in the process of drafting a new law that would allow Tanzanians to have dual citizenship.
Home Affairs deputy minister Khamis Kagasheki told the House that the Union and Zanzibar governments were jointly looking into the matter.
The deputy minister was responding to a question posed by Mwadini Jecha (Wete, CUF) who had wanted to know when the government would table a bill proposing the enacting of a new law on the matter.
``The Union government and that of Zanzibar are carefully looking into the matter. When the process has been completed, my ministry will bring the bill in the House for approval,`` said Kagasheki.
Earlier on, the deputy minister told Parliament that under the Union constitution, dual citizenship was illegal.
He said the law denied the people of Tanzania a chance to possess dual citizenship, and their Tanzanian citizenship ceased once they opted for other citizenship.
Kagasheki said the current laws particularly affected Tanzanian children born outside the country, who on reaching 18 years, were required to denounce the citizenship of one of their parents if they wanted to keep the Tanzanian citizenship.
``The system is not much known by our people. For that reason, at times, children encounter problems when they apply for passports or seek sponsorship for higher education,`` he said.
SOURCE: Guardian
Nichagueni mimi kuwa raisi wenu tu, muone. By decree "Mtanzania ni mTanzania, daima na milele, hata kama atanunua kwa manufaa yake na familia yake uraia wa nchi nyengine hata mia au elfu". Ata-denounce tu uTanzania wake pale atapo-denounce kwa hiari yake, kwa matamshi yake mwenyewe mbele ya mashahidi au kwa maandishi aliyoandika mwenyewe kwa hiari yake, not under duress". Aidha haya hayatohitajika pale tu atapoingia au kushiriki vita (militarily) kama mmoja wa Taifa jengine dhidi ya Tanzania, aidha awe amenunua uraia wa nchi ile ama la, hana uraia wa nchi ile. Hapo atakuwa ame-denounce uTanzania. Decree hii itaanza kutumika on the exact spot/time you elect me as your president, hata kabla mswada bungeni au sheria vitabuni/katibani havijafanyika. Nikimaliza hili tu na kuwashughulikia kitakatifu mafisadi, kazi ambayo sifikirii kama itanichukuwa hata miezi minne mpaka sita, najiuzulu, halafu mtaipeleka wenyewe nchi mtakako.
Mahala azaliwapo mtu ni uchaguzi wa Mwenyezi Mungu, si wa yeyote hata si yeye mwenyewe. Wazazi anaozaliwa nao mtu ni uchaguzi wa Mwenyezi Mungu(SW), si wa yeyote, hata si wake mwenyewe. Hakuna demokrasia za wanasiasa katika hili, sio previlege hii, it is birth right, it is birth right. Ni haramu inayonuka, dhuluma iliyokithiri na matusi kuliko ya nguoni kumnyanganya mtu uwananchi/uTanzania wake kwa sababu tu amenunua kwa manufaa yake na familia yake, kwa muda ama milele, uraia wa nchi nyengine. Binafsi nalichukulia hilo ni sawa na kumwambia mtu kwamba yeye ni mtoto wa haramu, akivubuka na kukupasua kichwa basi anayo haki na unastahili adhabu hiyo. Bunge, Raisi, Cabinet, Mahakama wamempa lini mtu uTanzania aliyekuwa mTanzania tayari?. Hawampi yeyote uTanzania aliyepewa tayari na Mwenyezi Mungu (SW) uTanzania. Labda kama kumbukumbu zimenipotea kidogo. Haki ya kumnyang'anya wameipata wapi????Wanampa tu, kwa mamlaka tuliyowaamini na kuwakabidhi, uTanzania, yule ASIYEKUWA mTanzania kama tunamkubali, ambapo akileta ufisadi, hiyana, au maovu ambayo hata sisi wenyewe hatufanyi, tunamuadhibu, tunamyang'anya na halafu tunamfukuza. Tunayo haki hiyo.
Nikiwa raisi wenu mimi, "kipengele" kile katika sheria ile nakipiga marufuku, mara moja, marufuku. Maana yake ni kuwa, kuhusiana na "kipengele" kile itabakia vacuum, wakati ambapo ni makosa ya jinai kumuambia mtu hana uraia Tz baada ya kununua uraia wa nchi nyengine, labda yale pale juu yatokee. Nitawapa miezi sita(6) mawaziri husika kuja na kipengele kipya kuondoa haramu hii, dhuluma hii, na matusi haya. Kama hawawezi hili, basi ni mafisadi wakubwa hao, njeeeeee. How comes, watu wanaweza ku-construct na ku-execute fasada/ufisadi, hata washindwe kuja na mswada utakaokuwa sheria perfect katika jambo rahisi kama hili???
I will never regard a Tanzanian a non-Tanzanian because of him/her purchasing for himself/herself and his/her family another country's citizenship. I will encourage it. When di he/she denounce it? How did he/she denounce it?. Instead, I regard "mafisadi" with either single citizenship (Tanzania), dual or multiple citizenships as filthy, worthless of living.
Natoa hoja.