Uraia wa nchi mbili ni sawa ila sio kwenye uongozi na utumishi wa umma

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,960
Reaction score
111,265
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.

Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.

Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
 
Haifai kabisa, ni bora tuendelee kupambana na hawa wabunge na madiwani wakazi wa Dar es Salaam wakati wanaojipatia majimbo mikoani.
Bora hivyo, uraia pacha una manufaa kwa taifa kuliko hata mtu husika.
 
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.

Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.

Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Tija ya kuwawekea masharti viumbe wenye akili kama yule anayewawekea masharti huwa ni ndogo. Fikiria, sasa hivi dual citizenship hairuhusiwi Tanzania, lakini bado kuna watu, including viongozi wa juu, wana passport ya Tanzania na passport ya nchi nyingine!

Afadhali waruhusu tu ili fair kwa wote. Not legalizing marijuana is no guarantee kwamba bangi haitavutwa wala kulimwa. Watu wataivuta na kuilima anyway!
 
Cases ni tofauti, nasapoti Bangi kuhalalishwa kwa watu wazima.
 
Tanganyika mbona mafisadi wengi wana pasi mbili za kusafiria ila kwa raia wengine [wao wanawaita ordinary citizen] ndio mnaambiwa habari za pasi moja ya kusafiria.

Siku pakiwaka tena kama October 29 kwa walau wiki nzima mtawaona wazi wazi wakitimkia nje ya nchi, maana ile October 29 baadhi walishanusa harufu ya kile kitu walianza kuondoka mapema na walirudi December mwishoni.
 
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.

Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.

Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Siku tukiuruhsu uraia wa nchi mbili, basi atakayeruhusiwa kuwa kiongozi awe yule aliyezaliwa na kukulia hapa nchini tu na si vinginevyo. Hii itakuwa na unafuu.
 
Tanganyika mbona mafisadi wengi wana pasi mbili za kusafiria ila kwa raia wengine [wao wanawaita ordinary citizen] ndio mnaambiwa habari za pasi moja ya kusafiria.

Siku pakiwaka tena kama October 29 kwa walau wiki nzima mtawaona wazi wazi wakitimkia nje ya nchi, maana ile October 29 baadhi walishanusa harufu ya kile kitu walianza kuondoka mapema na walirudi December mwishoni.
Naongelea uraia mkuu, unaweza kuwa na passport bila kuwa raia.
 
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.

Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.

Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.

Watoto wa wenye uraia Pacha wanaweza kuwa watumishi au viongozi wa nchi?
 
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.

Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.

Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Mbona tayari wapo kwenye huo utumishi na wengine washastaafu??
 
Back
Top Bottom