Haifai kabisa, ni bora tuendelee kupambana na hawa wabunge na madiwani wakazi wa Dar es Salaam wakati wanaojipatia majimbo mikoani.Safi , unapiga zako box kiwanja , huko ni diwani kilampitimbi The Icebreaker Bufa
Bora hivyo, uraia pacha una manufaa kwa taifa kuliko hata mtu husika.Haifai kabisa, ni bora tuendelee kupambana na hawa wabunge na madiwani wakazi wa Dar es Salaam wakati wanaojipatia majimbo mikoani.
Tija ya kuwawekea masharti viumbe wenye akili kama yule anayewawekea masharti huwa ni ndogo. Fikiria, sasa hivi dual citizenship hairuhusiwi Tanzania, lakini bado kuna watu, including viongozi wa juu, wana passport ya Tanzania na passport ya nchi nyingine!Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.
Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.
Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Cases ni tofauti, nasapoti Bangi kuhalalishwa kwa watu wazima.Tija ya kuwawekea masharti viumbe wenye akili kama yule anayewawekea masharti huwa ni ndogo. Fikiria, sasa hivi dual citizenship hairuhusiwi Tanzania, lakini bado kuna watu, including viongozi wa juu, wana passport ya Tanzania na passport ya nchi nyingine!
Afadhali waruhusu tu ili fair kwa wote. Not legalizing marijuana is no guarantee kwamba bangi haitavutwa wala kulimwa. Watu wataivuta na kuilima anyway!
Siku tukiuruhsu uraia wa nchi mbili, basi atakayeruhusiwa kuwa kiongozi awe yule aliyezaliwa na kukulia hapa nchini tu na si vinginevyo. Hii itakuwa na unafuu.Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.
Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.
Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Naongelea uraia mkuu, unaweza kuwa na passport bila kuwa raia.Tanganyika mbona mafisadi wengi wana pasi mbili za kusafiria ila kwa raia wengine [wao wanawaita ordinary citizen] ndio mnaambiwa habari za pasi moja ya kusafiria.
Siku pakiwaka tena kama October 29 kwa walau wiki nzima mtawaona wazi wazi wakitimkia nje ya nchi, maana ile October 29 baadhi walishanusa harufu ya kile kitu walianza kuondoka mapema na walirudi December mwishoni.
Pasi hizo hizo wanajipatia na uraia humo humo.Naongelea uraia mkuu, unaweza kuwa na passport bila kuwa raia.
Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.
Marekani pia kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa wenye uraia wa Israel kutanguliza mbele maslahi ya Israel zaidi ya Marekani, pia kuna malalamiko ya baadhi ya raia wa Marekani kutumikia jeshi la Israel.
Tanzania ikiwa tutaruhusu uraia wa nchi mbili basi iweke Sheria ya kiongozi na watumishi wote wa umma kuwa na uraia wa nchi moja tu kuepusha mikanganyiko kama hii.
Principle inayotumika ni hiyo hiyo.Cases ni tofauti, nasapoti Bangi kuhalalishwa kwa watu wazima.
Mbona tayari wapo kwenye huo utumishi na wengine washastaafu??Suala la uraia wa nchi mbili ni zuri lakini kuna matatizo yake pia lisipowekea vizuri, mfano sasa hivi Kenya Kuna malalamiko ya baadhi ya wanasiasa waliochaguliwa viongozi Kenya kuishi Marekani kwa sababu wana uraia wa nchi mbili.