First food pia ni uraibu? Elezea uraibu ni nini?Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.
Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc
NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI
Ndio maana kina Pablo Escobar walikuwa matajiri wa kutishaPesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.
Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc
NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI
Hakika mkuuumesahau dini mkuu.
huu ni ulevi mbaya sana wenye mitaji chunguzeni hii fursa mapema sana.
siwezi kutolea mfano kwayoyote maana hata mwamposa naona bado hajafikia hata robo ya utajiri ulio jificha kwenye hii fulsa.
amini kwamba badae kidogo watu watapiga hela kuliko unavo dhani.
Umesahau diniPesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.
Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Social media
Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc
NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI
Uzuri wa dini ni kwamba yaani mtu unapigwa, lakini wewe hujui kwamba unapigwa, na hata ukiambiwa unapigwa unakua mkali balaa na kumtetea kwa nguvu zote yule anaekupiga, na kumuona huyu anaekuambia kwamba unapigwa kama yeye ndio anaetaka kukupiga!umesahau dini mkuu.