Uraibu ndio source kubwa ya utajiri wa kupindukia.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.

Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Social media

Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc

NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI
 
First food pia ni uraibu? Elezea uraibu ni nini?
 
Ndio maana kina Pablo Escobar walikuwa matajiri wa kutisha
 
umesahau dini mkuu.
huu ni ulevi mbaya sana wenye mitaji chunguzeni hii fursa mapema sana.
siwezi kutolea mfano kwayoyote maana hata mwamposa naona bado hajafikia hata robo ya utajiri ulio jificha kwenye hii fulsa.
amini kwamba badae kidogo watu watapiga hela kuliko unavo dhani.
 
Hakika mkuu
 
Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.

Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Social media

Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc

NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI
Umesahau dini
 
umesahau dini mkuu.
huu ni ulevi mbaya sana wenye mitaji chunguzeni hii fursa mapema sana.
siwezi kutolea mfano kwayoyote maana hata mwamposa naona bado hajafikia hata robo ya utajiri ulio jificha kwenye hii fulsa.
amini kwamba badae kidogo watu watapiga hela kuliko unavo dhani.
Uzuri wa dini ni kwamba yaani mtu unapigwa, lakini wewe hujui kwamba unapigwa, na hata ukiambiwa unapigwa unakua mkali balaa na kumtetea kwa nguvu zote yule anaekupiga, na kumuona huyu anaekuambia kwamba unapigwa kama yeye ndio anaetaka kukupiga!
 
Back
Top Bottom