Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Pesa ya mtu anaekuja kwako at least siku tano ndani ya wiki ya maisha yake maana asipokuja hapo anajisikia kufa kufa, ni pesa zilizotajirisha watu sana.
Maana mtu akishakuwa na uraibu wa vifuatavyo atatumia pesa nyingi sanaaaaa:
Ku-bet
Mitungi
Mikasi
Dope
Fast Food
Social media
Makampuni ya pombe yanaongezewa kodi kila siku ila wanazidi kuhesabu noti tu, Gesti watu wanapishana tu, ofisi za kubet ni vikaratasi vimejaa kama rundo la uchafu, makundi ya wauza madawa mexico yana nguvu ya kupambana na jeshi la mexico, etc
NOTE: SIKUFUNDISHI UFANYE CHOCHOTE KILICHO JINAI