Mtu anaweza kuwa na shughuli nyingi lakini bado akawa mraibu wa internet.Unapaswa ku re-direct your focus yako pindi inapotokea hivyo.
Ndiyo maana inashauriwa pale home kwako kiwe na vijishughuli vya hapa na pale vya kusogezea muda.
Kila Jambo linawezekana Tu,tunasema lipe Muda mfano kipindi cha Uchaguzi mtandao ulikuwa haupo Watu waliishi sasa Hali Ile ingekuwa ya MDA mrefu mbadala WA matumizi ya internet ungepatikana tuLeo hii watu wengi hutumia muda mwingi kwenye Internet iwe kwa smartphone, TV, games, Laptop, n.k. hasa kwa ajili ya burudani kama kuangalia videos za muziki, highlights za mpira, kucheza games, au kuperuzi mitandao ya kijamii.
Je unapokosa internet, siku yako inaendelea kawaida au unahisi kama kuna kitu kinakosekana na kukuathiri kisaikolojia ?
Kwa baadhi ya watu, kukosa internet au smartphone kunaweza kuwafanya wajisikie bored au hata kukosa kitu cha kufanya.