Uraibu wa picha za ngono na kujichua

Ila wengine wanaona ni suala la kawaida ingawa wengine kwao ni immoral
Immoral Unaipimaje na Tuna makabila Zaidi ya 120..
HUwezi kupima Moral kwa Kuangalia Mila za Upandw mmoja..
Umewahi kumuuliza Huyo unaesema Kuwa ni nje ya Maadili kama anajua Maadili ya Kabila lako au Race yako..

Tuko tofauti sana Kwenye Kila Kitu so Ni vigumu Kuwa na Universal Agreements on Moral na Immarality
 
Nasikia kuna makabila kutiana nje watu wengine wakishuhudia sio kitu cha ajabu au kumkula Mwanamke kikundi cha wanaume sio kitu cha ajabu saana ila makabila mengine ni mwiko nyuma
 
Kuna hili jambo la nguvu za kiume , sifikiri kama ni sawa , hawa wanawake wenyewe wana stress za vikoba na marejesho, ila kuna mwamba ana tangatanga kuwarizisha eti🤔🤔 nakusingizia punyeto 🤔🤔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…