zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Hio alikwisha elezea unafungulia roho chafu zije kupiga mishe mwilini mwakoSasa @drmambo jambo Ebu tueleze hapo kiroho kivipi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hio alikwisha elezea unafungulia roho chafu zije kupiga mishe mwilini mwakoSasa @drmambo jambo Ebu tueleze hapo kiroho kivipi??
Hayo ni Maisha Binafsi ya MtuKwa hio waache kupiga nyeto au waendelee?
Kiroho Nishaeleza SanaSasa @drmambo jambo Ebu tueleze hapo kiroho kivipi??
Ila wengine wanaona ni suala la kawaida ingawa wengine kwao ni immoralHayo ni Maisha Binafsi ya Mtu
Immoral Unaipimaje na Tuna makabila Zaidi ya 120..Ila wengine wanaona ni suala la kawaida ingawa wengine kwao ni immoral
Nasikia kuna makabila kutiana nje watu wengine wakishuhudia sio kitu cha ajabu au kumkula Mwanamke kikundi cha wanaume sio kitu cha ajabu saana ila makabila mengine ni mwiko nyumaImmoral Unaipimaje na Tuna makabila Zaidi ya 120..
HUwezi kupima Moral kwa Kuangalia Mila za Upandw mmoja..
Umewahi kumuuliza Huyo unaesema Kuwa ni nje ya Maadili kama anajua Maadili ya Kabila lako au Race yako..
Tuko tofauti sana Kwenye Kila Kitu so Ni vigumu Kuwa na Universal Agreements on Moral na Immarality
Mara 4 kufanya nini?Je mara nne kwa siku?
Kwani we unataka?!!Unataka nikuingilie kwa hilo
Duuuh naona unajaa tu mwenyewe ingia PM km umeelewaKwani we unataka?!!
Mti wenye matunda ndo unapigwa maweMnavyoi-describe nyeto mtu aweza akadhani nyeto ni mbaya
Unapiga sana nyeto acha hio tabiaMti wenye matunda ndo unapigwa mawe
Ni mbaya km unapiga mwenyewe ila km unapigishwa sio mbayaMnavyoi-describe nyeto mtu aweza akadhani nyeto ni mbaya
Tembeza mara mbili kwa wiki mkuu, hiyo sasa Tamaa.Je mara nne kwa siku?
Kuna hili jambo la nguvu za kiume , sifikiri kama ni sawa , hawa wanawake wenyewe wana stress za vikoba na marejesho, ila kuna mwamba ana tangatanga kuwarizisha eti🤔🤔 nakusingizia punyeto 🤔🤔Nyeto ina Athiri kwa Maswala mengine ila Sio kiafya labda kama Tukizungumza Kipsycholojia na Kiroho..
Wengi wanaohamasisha Vijana Kuacha wengi wao Ni Walioathrika na Nyeto wanahasira Kwanini hawaachi kwahyo Wanakuwa na Hasira kuwaambia watu waache wasije wakawa kama wao..
Kwa mfano Chukulia Mtu aliyevuta madawa ya Kulevya Akapata Athari ya Madawa hayo unajua Ushauri atakaomshauri Mtu anayetaka Kuanza kutumia Madawa?
Utakuwa Ushauri wa Ukali na ikuwezekanahata Kumpiga kwa sababu anajua Kipi kinaelekea Kumpata
Nguvu za Kiume Inaweza ikawa kweliKuna hili jambo la nguvu za kiume , sifikiri kama ni sawa , hawa wanawake wenyewe wana stress za vikoba na marejesho, ila kuna mwamba ana tangatanga kuwarizisha eti🤔🤔 nakusingizia punyeto 🤔🤔