elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
pumzi imewaishiaNilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
Sisi tunashughulikia korosho uchaguzi kwetu ni 2025!Hivi sasa vikao na mikakati ya ndani inaendelea!
Hahahaa........ pumzi imekata!Ngoja tuwanyooshe 2020...ndo utajua tuliishia wapi.
Makamanda wa Ufipa wachochezi sana!Hivi ulitegemea Membe ajilipuwe hata kabla ya 2019?Kwa siasa za Tanzania kuibuka au kujitangaza mapema ni kujitengenezea mikosi,na mwanzo wa kupambana na dola.Msipende kumuingiza mkenge kila jambo lina wakati wake.
Ulivyoandika Sasa,Kikosi cha Membe kiko mafichoni. Wanafanya mambo yao kwa umakini mkubwa. 2020 Jiwe hana chake. Ni lazima arejee Chatou akalime viazi vitamu. Nchi haiwezi kuongozwa na kiongozi katili asiyejali utu kama huyu. Watanzania tumechoka kuonewa na huyu mporipori.
Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
Kwani wameanza kutoa form za wagombea?
Kwani mlipoanza mapambio hamkujua kuwa muda bado?
Unashangazwa na nini?!
Kwani Mbowe alichaguliwa Dodoma?!!!
pumzi imewaishia
Membe ni Jasusi lililobobea, linaibuka mara moja linafanya operesheni, linapotea , linaibuka tena linapiga operesheni linapotea, mkija kustuka mwaka 2020 Chama kinamuweka Jiwe Pembeni, bendera anakamata Membe, mnabaki mnashangaa tu!
Hivi sasa vikao na mikakati ya ndani inaendelea!
Makamanda wa Ufipa wachochezi sana!
Ulivyoandika Sasa,