Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
pumzi imewaishia
 
Hivi ulitegemea Membe ajilipuwe hata kabla ya 2019?Kwa siasa za Tanzania kuibuka au kujitangaza mapema ni kujitengenezea mikosi,na mwanzo wa kupambana na dola.Msipende kumuingiza mkenge kila jambo lina wakati wake.
 
Makamanda wa Ufipa wachochezi sana!
 
Kikosi cha Membe kiko mafichoni. Wanafanya mambo yao kwa umakini mkubwa. 2020 Jiwe hana chake. Ni lazima arejee Chatou akalime viazi vitamu. Nchi haiwezi kuongozwa na kiongozi katili asiyejali utu kama huyu. Watanzania tumechoka kuonewa na huyu mporipori.
Ulivyoandika Sasa,
 
Ulitaka akutangazie wewe ili iweje kwa mfano?
Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?
 
Membe anayaweza sana
Membe ni Jasusi lililobobea, linaibuka mara moja linafanya operesheni, linapotea , linaibuka tena linapiga operesheni linapotea, mkija kustuka mwaka 2020 Chama kinamuweka Jiwe Pembeni, bendera anakamata Membe, mnabaki mnashangaa tu!
 
Nilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?

Ni kwa sababu walishaona kuwa haka kajamaa kana chembe ya udhaifu fulani ulio karibu na JK....hatufai kabisa.
 
Back
Top Bottom