elivina shambuni
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 461
- 295
pumzi imewaishiaNilisema hapa watu wengine siyo wa kuwatishia "nyau"..... Wale waliokuwa vinara wa mapambio ya uchaguzi 2020 ghafla wamenyuti na hatuzisikii tena nyimbo zao.
Wale makamanda wa chadema waliokuwa wakichochea kuni sasa wamehamia kwa Amunike kocha wa Taifa Stars hawaxungumzi tena siasa.
Ndio najiuliza ule ulikuwa ni upepo tu na umeshapita?