Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Team Membe hiyo 1.5 t iliyopotea ingejulikana kala Nani na sisi mito midogo maji yangejaa,kuliko hii timu ya Sasa wanajitahidi pesa kimpango wao tu.
Membe weka kigogo sukuma twende
Nalog off
 
Kinachonikela kwa Awamu ya tano ya Magufuri kila anayekua na mawazo tofauti na yeye basi huyo ni mtu hasiyeitakia mema nchi huyo anatumiwa na mabeberu
 
Uwanja wa Chato?

Kuwalipa wastaafu 25%?

Kukandamiza uhuru wa vyombo vya habari?

Kuua wapinzani?

Hivi unajisikia unachosema??
Toa hisia utaelewa nilichokiandika.. Kama ni kwa mantiki unayoifikiria bhasi elewa nilimaaniaha akheri madhaifu ya magufuli lakini si Membe.. Ukitoa kufanana na kikwete sijaona substance au character yoyote ya kuliongoza taifa hili
 
Wengi wana undermine serikali wanafikiri ni Rais kukalia kiti kile, sio rahisi hivyo kama wanajidanganya, lakini serikali hii inafanya kazi nzuri sana ni ngumu kuwabadili watu wanaopenda maisha rahisi na kuongea ongea sana badala ya kyfanya kazi.
Kazi gani gadamn! Naona mmekariri kazi! Kazi mnazungumzia. Tumekuwa na uwezo mdogo kupambanua mambo wafrica.
 
Nashukuru na pia nafarijika sn kuona kumbe ccm bado inakubalika.kwn memve ni ccm.magufuri ni ccm.nje na ccm kumbe hakuna rais.kidumu chama cha mapinduzi.
 

NI NDOTO KUDHANIA KUWA KUNA WATU WENYE AKILI TIMAMU WATAMWONDOA MAGUFULI WAMWEKE MEMBE KWENYE KITI CHA URAIS. HATA IKITOKEA SABABU YOYOTE ILE MAGUFULI AMEACHA KUGOMBEA URAIS BADO MEMBE HAWEZI KAMWE KUTWAA HIYO NAFASI YA KUGOMBEA.
 
Ni mawazo mazuri sana, na ndio Tanzania tunayoitaka.. Tatizo wazee wa fitina watamwacha?
 
Yaani upinzani ndio mnamtaka huyo.. eeeeeh
wa kwenu naona wamewaangusha sana mmewachoka..

Endeleeni kuota ndoto
Mkuu yani hapa kinachofanyika Upinzani wanaamsha presha ili Membe asimamishwe na CCM lakini target yao wanajua Membe wanauwezo wa kumchezesha dele mpoaka wamshinde lakini JPM hawamuwezi kamwe! kwaiyo ndiyo gia yao wamjaze membe alete vurugu ndani chama chake kipasuke wao iwe faida kwao.
 
Nchi ikifanywa kila mtu anavyo waza kama wewe...tutaji Burudi na Rwanda maana hata hapa Ujeruman na Uingereza tu nchi haiongozwi kwa kila wazo la mtu...
NB. Tz kwa sasa ipo vizuri sana kwa sasa msije tafuta mchawi mkileta njaa na mawazo ya vijiweni
 
takataka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…