Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Umenishawishi hoja zako. Na inabidi nikubaliane na mashaka yenu nyie mnaowaza ukali huu ni kuficha baadhi ya kashifa huku wenyewe wakipiga madili makubwa.
 
Usipojua siasa unaweza umiza kichwa na hizi kelele za Membe.Before 2015 nilimwambia jamaa yangu kuwa lowasa jina lake 5 haliingii lkn alikaza shingo sana.Ikifika 2020 wengi sana watachukua form na naamini Membe naye atachukua. Ukweli ni kwamba huyo Membe jina lake halitafika popote pale na atakua amekufa kifo cha lowasa. Kelele hizi ni kwa ajili ya mtaji wa kupata uungwaji mkono ndani ya ccm ili asipate shida atakapotimkia upinzan. Kitendo cha kubishana na Bashiru tu basi tayar nyota ya mkasi iko naye na ni mwendo uleule wa Lowasa kushindana na akina nape, makamba nk. Huwez shindana na watu walioshika hatma yako ukatoboa. Membe kupita 2020 huko ccm lzm mchunguze kamati ya kufyekelea mbali majina wapo akina nani?Naona watu wanajadili hili kama makasuku
 
NO WAY ccm ni ile ile tu, tz inataka mabadiliko toka chama, mpaka nani ataongoza, membe akija atakuwa baya zaidi kuliko hata magufuli, toka hapo 1963 ccm ndio chama tawala na taifa bado umasikini unatamaraki, tunataka chama mpya na kiongozi mpya
 

Majinga haswa
Membe kajikaanga na mafuta yake mwenyewe
Alafu likitimkia chadema anakutana na mwenye chama adui yake mkubwa, cuf watamtapika, zito chama cha kwenye flush
Kaaazi kweli kweli
Membe amejimaliza
Hizo pesa alizotoa kuwa watu wa mtandaoni heri angewapa yatima
 
Saalam wana jamvi

Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.

Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????

Karibuni wajuvi(wachambuzi)
 
Membe 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…