Sadock Kabuko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2013
- 1,166
- 1,075
2020-2025 Magufuli anatosha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe uko upande wa membe au wa dik tetaHizo ni taget za watuhumu.
Umenishawishi hoja zako. Na inabidi nikubaliane na mashaka yenu nyie mnaowaza ukali huu ni kuficha baadhi ya kashifa huku wenyewe wakipiga madili makubwa.Hahahaa! Is that what you believe?! How old were you during Mkapa Administration?!
Anyway, wakati wa Mkapa ingawaje bado nilikuwa shule lakini nilikuwa mfuatiliaji mkubwa sana wa siasa! Ukitoa tuhuma za kupika za akina Mrema kwa Profesa Mbilinyi, sikumbuki kama wakati wa Mkapa kulikuwa na tuhuma za rushwa za viongozi wa juu na kama zilikuwepo, sidhani kama zilikuwa za kutisha!
But look... alipotoka tu madarakani; uozo wakati wa Mkapa ukawekwa bayana! Na ninaweza kusema with confidence, hata utawala wa JK haukuwa corrupt kama utawala wa Mkapa manake tuhuma nyingi ambazo zili-hit sana wakati wa JK zilitokana na utawala wa Mkapa!!!
Maana yake nini?!
Unlike JK ambae aliacha watu na bunge wabonge wapendavyo na hivyo kashifa zote za ufisadi kufahamika mapema kabisa tena wakati akiwa bado madarakani, staili ya Magu ni kama ya Mkapa! Ben alikuwa mkali sana kuanzia kwa wabunge wa CCM hadi kwa media!
Sasa tuendelee kujipa matumaini kwamba anazuia wasitokee wanasiasa wengine mafisadi kama hatujakimbiana hapa watu wakianza kufukua mafaili baada ay JPM kutoka Magogoni!!
NO WAY ccm ni ile ile tu, tz inataka mabadiliko toka chama, mpaka nani ataongoza, membe akija atakuwa baya zaidi kuliko hata magufuli, toka hapo 1963 ccm ndio chama tawala na taifa bado umasikini unatamaraki, tunataka chama mpya na kiongozi mpyaHabari za muda mabibi na mabwana!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nawashauri wanachama wenzangu na wananchi kwa ujumla. Mwaka 2020 tusipoteze tena kama ilivyotokea mwaka 2015. Haya yote ni kwa sababu hatukutulia vizuri katika mchujo wa kumpata kiongozi bora.
Karibuni kwa maoni yenu.
====
Usipojua siasa unaweza umiza kichwa na hizi kelele za Membe.Before 2015 nilimwambia jamaa yangu kuwa lowasa jina lake 5 haliingii lkn alikaza shingo sana.Ikifika 2020 wengi sana watachukua form na naamini Membe naye atachukua. Ukweli ni kwamba huyo Membe jina lake halitafika popote pale na atakua amekufa kifo cha lowasa. Kelele hizi ni kwa ajili ya mtaji wa kupata uungwaji mkono ndani ya ccm ili asipate shida atakapotimkia upinzan. Kitendo cha kubishana na Bashiru tu basi tayar nyota ya mkasi iko naye na ni mwendo uleule wa Lowasa kushindana na akina nape, makamba nk. Huwez shindana na watu walioshika hatma yako ukatoboa. Membe kupita 2020 huko ccm lzm mchunguze kamati ya kufyekelea mbali majina wapo akina nani?Naona watu wanajadili hili kama makasuku
Umeshamuita jina fulani sijui "Safura" mtake radhi kwanza.Kwahiyo haya kasema membe au unasema wewe safura !!!
Sory safuha
Membe 2020Saalam wana jamvi
Nmejaribu kuwaza kimya kimya mwisho sauti imenitoka. Eti wajuvi wa siasa, kama tunavyofahamu Lowassa ni mpinzani ila kwa sasa yupo karibu na mkulu. Na kama tujuavyo huyu mzee ni master wa siasa za Kitanzania, na wakati huo huo yupo na kundi kubwa la wapinzani wanaomshadadia Membe the kachero kama vile ZZK, Malisa, Yeriko, Lema, Jussa na wengine.
Sasa concern yangu ni kwamba hivi hakuna muunganiko wa kusababisha lolote likatokea kati ya Membe + Lowasa(upinzani) kwa Raisi Magufuli????
Karibuni wajuvi(wachambuzi)