Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

bado hujaeleza kwanini membe hafai unesema tu ni bomu sababu?

Kwa watanzania wanaomtaka membe Kwa itaratibu uliopo wa chama na wazee kuwa na nguvu ya kupendekeza na kupitisha nani awe raisi chini ya katiba hii, Mtasubiri sana Membe kuwa raisi. Ukweli usemwe hata kama ni mchungu.

Itashangaza kuona magufuli akikauka koo majukwaani kujinadi ilhali alisema huko ikuluni alisukumizwa tu nakazi ya uraisi ni ngumu!
 

No Maembe 2020
 
Nailed
 
Makamanda wana bore sana na hawajiamini. Yaani wanataka Kiazi na Kilaza kama membe awe rais wa Tanzania? Wanataka na makamba awe rais.... Jamaa wapo so desperate na stressful.

Membe hana akili nashangaa wanaolazimisha kudai ni jasusu mbobezi. Sijui kabobea kwenye nin ikiwa hata ukimsikiliza tu unamwona ni kilaza. Kwa style hii naona bora magufuli aendelee kuwa rais kuliko kumfikiria mtu bomu kama membe.

 
Membe ni bomu lile hata uwezo wake wa kung'amua mambo una mashaka makubwa

Kwa membe ni bora magufuli abaki hata miaka ya 20
 
Nashani hii ni kauli mbiu tu ya kuutikisa mbuyu.
Mwisho wa mkataba si ni 2025.
 
Huyo alishasema akiingia madarakani atahakikisha watu 15 watahama kutoka Tanzania. Hatutaki Rais wa aina hiyo.
 
ni haki yao kupapatikia wanachokipenda mkuu usiwapangie.
Ila siku ya Mwisho mimi kumkubali huyo mkuu ni siku alipotoa hotuba kwa nini anataka awe rais 2015.
aliishia kuongelea mambo ya wapinzani, mara anajichanganyachanganya. Nikashangaa mbona jamaa anasifika sana kuliko anachokiongea?

Sijamkubali tangu siku ile, labda aje tena tumsikilize upya.
 
Dignity ya makamanda uchwara iko wapi?
Ule upuuzi aliyo fanya bosi wao kuruka dhamana ndio wao wanaurudia kwa style nyingine
Ulofa na umaskini na roho mbaya ni kitu kimoja
LAZIMA MTU UJITHAMINI HAPA DUNIANI
SIO LIKITU LA KUPEPERUSHWA NA KILA MWENYE PESA AKUNUNUE TU
AIBU TENA NI AIBU KUBWA MAKAMANDA
HAKIKA MMEJISHUSHA HADHI VIBAYA SANA
 
Anatua saa ngapi airport?
 

Duh
Fukara sana membe hamna kitu pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…