Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Aliyepo hana uwezo wa kupambana hata na zito kwenye Fair play heri Membe anaweza pambana na ukawa.
 
Ondoa uwongo wako hapa wewe jizee lisilo na hekima, Lowasa mlimpataje?
Jf hii sio fb
Jizee umenizaa? Leta mbunye uone kama hujaipepea kwa feni!!

Tukirudi kwenye mada, hapa anaongelewa Membe dhidi ya utawala wa awamu hii, jibu hoja kwa hoja niliyoyaandika sio unaorojeka kama vile ndo kwanza umeona siku zako!
 
Naona umesha likoka asubuhi
Huwezi kunielewa namanisha nini jiwe hakuna kitu pale wewe,tuache ushabiki japo king msukuma ni darasa la ana maono siyo huyu kavuga uchumi
 
Kwa uzoefu Kanda ya ziwa si wazuri kwenye uchumi wakishika usukani lzm kijiji kiwe masikini, wanaamini ktk umasikini ndio uzalendo si ulimuona ticha,wanachuki na matajiri awafai.
Ukweli ndo huo bora hata wampe msukuma bangi iuzwe kama zao biashara siyo jiwe .jiwe kadata kabisa dishi limeyumba
 
Nyani mbona kama uko kitchen party na kidole juu! Sasa hapo take home msg ni ipi? Unasimamia nini? Magu by all fours ni dictator, you can not compare a dictator with anybody whatever sluggish one might be!
 
Festi klasi ya nini?

Bachelors - Political science and International relations!

Zamani ilikuwa huwezi kuchukuliwa kitengo kama kichwani hakuna kitu!

Huyu mtu kaingia kitengo tangu akiwa in his early 20's, Spotted smart kid relative to his peers, at the time
 
ila dada unahaha kama ngolo kante,inabidi wakuongezeee posho maana wewe ni zaidi ya INZI WENZAKO WA KIJANI...kazi na bata tunahitaji RAIS mwingine 2020 hata kama atakuwa DUDUBAYA KONKI,tumechoka maujinga yenu ya kolomije
Tumechoka si kidogo yaani kikundi kidogo kimejimilikisha nchi halafu tunakenua meno kushangilia hali mbaya kitaa.pension zinaporwa mishahala ovyo.mtumishi .mkulima hali tete
 
Mh kama una wa judge wote kwa kigezo cha lugha hiyo ni poor reasoning. Kuna zaod yapo, lugha haimfanyi mtu kuwa na akili sana au kuwa na perfomance kubwa.

Kuna sababu muhim sana zaid ya hii. Hii ni nyepesi sana
 
Kwani Mke akiwa mzuri kwako lazima awe mzuri kwa wengine.
Kwani huyo ana uzuri gani?
Na bado mtaanza kuzurura kama machizi kwa frustration.

frustration wakati JPM yuko madarakani?

unajua ulichoongea?
 
Bachelors - Political science and International relations!

Zamani ilikuwa huwezi kuchukuliwa kitengo kama kichwani hakuna kitu!

Huyu mtu kaingia kitengo tangu akiwa in his early 20's, Spotted smart kid relative to his peers, at the time

Hana kitu huyo.

Akifungua tu mdomo wake anatema pumba.

He is pumba maker number one.
 
Yeye na ngabu wanaogopa kurudi bush baada ya shemeji mrija kukata jiwe likiexpire.Hawawezi shindana na wakati,
ila dada unahaha kama ngolo kante,inabidi wakuongezeee posho maana wewe ni zaidi ya INZI WENZAKO WA KIJANI...kazi na bata tunahitaji RAIS mwingine 2020 hata kama atakuwa DUDUBAYA KONKI,tumechoka maujinga yenu ya kolomije
 
Hawa makamanda wajanja , ngoja wawagombanishe mtifuane nyie kwa nyie ,

Makamanda wanawagombanisha sna ccm
 
Tumechoka si kidogo yaani kikundi kidogo kimejimilikisha nchi halafu tunakenua meno kushangilia hali mbaya kitaa.pension zinaporwa mishahala ovyo.mtumishi .mkulima hali tete
Jamaa afai kuwa hata mtendaji wa kijiji
 
atleat ni raia wa tanzania sio mhutu na hana roho mbaya,ikishindikana membe hata konki master dudubaya sio mbaya akapewa kiti maana aliyepo kila siku analalamika kazi ni ngumu,ishamshinda

Una uhakika hana asili ya Malawi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…