Huyo driver uwezo wake wa kufikiri ni zero hadi unazamisha GARI topeni,dereva ajifunzae kuendesha GARI jipyaHili hapa?View attachment 953944
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo driver uwezo wake wa kufikiri ni zero hadi unazamisha GARI topeni,dereva ajifunzae kuendesha GARI jipyaHili hapa?View attachment 953944
Bora watusaidie,turudishe hadhinasikia CIA nao wako pamoja na membe 2020
Kwa heshima na taadhima napenda kuwakilisha mawazo yangu juu ya huu mjadala unaoendelea kati ya wanaotamani membe awe mgombea 2020 na wale wasiotaka kusikia hata kidogo kuhusu wazo hilo.nchi yetu tangu tupate uhuru imetawaliwa na Chama kimoja na Chama hicho kimejiwekea utaratibu wa kuheshimu mazoea ambayo hayapo katika katiba yao lakini imekuwa kama sheria.Jambo la kwanza ni kuhusu dini ya mgombea hakuna katiba yoyote inayozungumzia kuhusu wagombea kupokezana kutokana na dini lakini kama utafuatilia vizuri utagundua kuwa Rais wa kwanza alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya pili alikuwa mwislam,Rais wa awamu ya tatu alikuwa mkristo tena mkatoliki,Rais wa awamu ya nne alikuwa mwislam,sasa tuna Rais wa awamu ya tano ni mkristo tena mkatoliki,kwa mtiririko huo inaonyesha wazi kuwa kwa utaratibu huo uliojengeka si raisi kuwa na Rais wa awamu inayofuata mkristo.kwa vyovyote vile anatakiwa awe mwislam hapo 2025. Kutokana na hali hiyo ni vigumu sana kwa membe kuwa Rais baada ya Rais wa sasa kumaliza kipindi chake hapo 2025.
Jambo lingine ambalo halipo kwenye katiba ya Chama tawala lakini imekuwa ni mazoea ni kwamba Rais aliyemadarakani amekuwa akipewa nafasi ya kuwa mgombea wa Chama hicho ili kujihakikishia ushindi bila matatizo maana ni vigumu sana kwa Rais aliye madarakani kuondolewa au kushindwa kwa sababu hiyo ni Afadhali awe mgombea kuliko kuwa na mtu mwingine ambaye Chama hakina uhakika kama atashinda kwa sababu hiyo sioni namna ambayo ccm wanaweza kumwacha Magufuli na kumweka membe.ila wakiamua kukiua Chama Chao na kukiondoa madarakani basi wanaweza kufanya jaribio hilo la hatari sana kwao.wengi wa wanaounga mkono wazo la kuwa na membe 2020 ni wapinzani wa ccm ambao wanajua Fika kuwa ccm wakifanya uamuzi huo watakuwa wamejimaliza na kuondoka madarakani.
CCM sio wajinga kiasi cha kuamua kufanya uamuzi wa kijinga unaowaweka katika hatari ya kuondoka madarakani.Lakini vile vile wale wanaompigia debe Membe wamekosea sana maana wamemmaliza membe na napenda kuwahakikishia bila kuficha membe hatakuwa na wala haitatokea kuwa Rais kupitia ccm kwa sababu tayari amejengewa uadui mkubwa na watawala ambao ndio walikuwa na nafasi ya kumjenga.
Kwa sababu hiyo wale wote wanaopiga kelele kuhusu membe wanammaliza kisiasa kimya kimya lakini kwa hakika.
Jizee umenizaa? Leta mbunye uone kama hujaipepea kwa feni!!Ondoa uwongo wako hapa wewe jizee lisilo na hekima, Lowasa mlimpataje?
Jf hii sio fb
Huwezi kunielewa namanisha nini jiwe hakuna kitu pale wewe,tuache ushabiki japo king msukuma ni darasa la ana maono siyo huyu kavuga uchumiNaona umesha likoka asubuhi
Ukweli ndo huo bora hata wampe msukuma bangi iuzwe kama zao biashara siyo jiwe .jiwe kadata kabisa dishi limeyumba
Nyani mbona kama uko kitchen party na kidole juu! Sasa hapo take home msg ni ipi? Unasimamia nini? Magu by all fours ni dictator, you can not compare a dictator with anybody whatever sluggish one might be!Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Festi klasi ya nini?
Tumechoka si kidogo yaani kikundi kidogo kimejimilikisha nchi halafu tunakenua meno kushangilia hali mbaya kitaa.pension zinaporwa mishahala ovyo.mtumishi .mkulima hali teteila dada unahaha kama ngolo kante,inabidi wakuongezeee posho maana wewe ni zaidi ya INZI WENZAKO WA KIJANI...kazi na bata tunahitaji RAIS mwingine 2020 hata kama atakuwa DUDUBAYA KONKI,tumechoka maujinga yenu ya kolomije
Mh kama una wa judge wote kwa kigezo cha lugha hiyo ni poor reasoning. Kuna zaod yapo, lugha haimfanyi mtu kuwa na akili sana au kuwa na perfomance kubwa.Nyie makamanda nyie, mko desperate sana nyie.
Eti mnamtaka Membe ndo awe rais 2020.
Rais John Pombe Joseph ‘Jiwe’ Magufuli ni bora mara 100 kuliko huyo Membe wenu.
Acheni masikhara bana. Membe ni bomu kabisa. Bomu kushinda hata Magufuli.
Kuna mtu, ni Rutashubanyuma nadhani, aliwahi kusema Membe ana ‘limited brain power’.
Hiyo ni kweli kabisa. Afadhali hata Magu yeye tunajua na yeye mwenyewe anajua kuwa hajui Kiingereza.
Lakini huyo Membe wenu, awe anaongea Kiingereza chake cha pre-school au hata Kiswahili chake, anaboa kupita maelezo halafu ni kama analazimisha aonekane ana akili nyiiiiingi wakati hana lolote.
To hell na huyo Membe wenu.
Kwani Mke akiwa mzuri kwako lazima awe mzuri kwa wengine.
Kwani huyo ana uzuri gani?
Na bado mtaanza kuzurura kama machizi kwa frustration.
Bachelors - Political science and International relations!
Zamani ilikuwa huwezi kuchukuliwa kitengo kama kichwani hakuna kitu!
Huyu mtu kaingia kitengo tangu akiwa in his early 20's, Spotted smart kid relative to his peers, at the time
Embu eleza sababu nzito why hafai.No Maembe 2020
ila dada unahaha kama ngolo kante,inabidi wakuongezeee posho maana wewe ni zaidi ya INZI WENZAKO WA KIJANI...kazi na bata tunahitaji RAIS mwingine 2020 hata kama atakuwa DUDUBAYA KONKI,tumechoka maujinga yenu ya kolomije
Jamaa afai kuwa hata mtendaji wa kijijiTumechoka si kidogo yaani kikundi kidogo kimejimilikisha nchi halafu tunakenua meno kushangilia hali mbaya kitaa.pension zinaporwa mishahala ovyo.mtumishi .mkulima hali tete
atleat ni raia wa tanzania sio mhutu na hana roho mbaya,ikishindikana membe hata konki master dudubaya sio mbaya akapewa kiti maana aliyepo kila siku analalamika kazi ni ngumu,ishamshinda
Hawa makamanda wajanja , ngoja wawagombanishe mtifuane nyie kwa nyie ,
Makamanda wanawagombanisha sna ccm