Uchaguzi 2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

Bahati mbaya ni kwamba hata ukichukiwa vipi hakuna wa kukutoa Tanzania hakuna uchaguzi kuna uchafuzi.
 
ulijaribu kuandika vizuri ila umeharibu pale uliposema JPM siku hizi hapendwi kama zamani,umekosea sana,huyo mtu wenu hajawahi kupendwa popote,na yeyote.
 
Membe ni janga la taifa na wala hatufai hata kidogo. Kumchagua huyu ni sawa tu na kumchagua tena JK, rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania. Membe na Zitto ni watu ambao wanabidi wapotee kisiasa, hawana mvuto kwa jamii na akili ya kuiongoza Tanzania tuitakayo. Hapa ni Magufuli tu mbele kwa mbele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…