Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
peleka ruty yako huko ngese weweSasa wewe ambaye bakuli lako limefungwa unajua nini kwenye siasa?
ulijaribu kuandika vizuri ila umeharibu pale uliposema JPM siku hizi hapendwi kama zamani,umekosea sana,huyo mtu wenu hajawahi kupendwa popote,na yeyote.Wakuu pole na shughuli za kulijenga taifa.
Wikendi hii nilikuwa Bukoba, sasa ikabidi niende sokoni kununua vitu hasa Samaki nilikuwa nimewamisi kweli.
Sasa katika pitapita yangu sokoni, kila mtu alikuwa anamzungumzia Membe, chakushangaza ata watu kama bodaboda nao eti wanajadili siasa, yaani Rwamishenye, Kashai na Hamugembe kote Membe anazunguzwa tena sio kwa mabaya bali watu wanataka agombee uraisi eti wamechoka na JPM.
CCM tuwe wakweli JPM hapendwi kama zamani, watu wanamchukia balaa, sijui kwa nini.
Ukweli mchungu Membe amepata wafuasi wengi sana, apa Bukoba.
View attachment 954007
Demokrasia hiyo. Mzee meko aachie ngazi mana analalamika sana urais ni mgumu.Mtamponza mwenzenu!
Membe hatariramli chonganishi.
Kalia apoPOROJO
Daaa Membe hatariMkuu membe ni mafuriko hayazuiliki
Haaa samahani mkuuulijaribu kuandika vizuri ila umeharibu pale uliposema JPM siku hizi hapendwi kama zamani,umekosea sana,huyo mtu wenu hajawahi kupendwa popote,na yeyote.
Write your reply...
hahaha iwe mshaija unamtelekeza jemedari jpm? mbona ulikuwa unampigia Sana chapuo?
ulio mpora?
MembeIt doesn't make any sense, watu hamjui mnataka nini