Ninaota na nitafuraha kama ndoto yangi itakuwa kweli. Na bila kuwa kweli kutatokea na mdororo wa kisiasa 2020.
Ninaota Membe kuitikisa CCM na kama CCM wakichulia hasira ya pata potea na Membe na Lowasa wakafuta tofauti zao wakawa pamoja katika chama cha ACT wazalendo (kwa maana Chadema wapo bizi na makesi na wamechoka kiana) Tanzania itainuka kwa nguvu na shangwe ya muelekeo wa utawala bora na kuondokana na matamko na udicteta uliopo.
Membe akigombea akiungwa mkono na Lowasa na wenzanke na akina Nape, Mwigulu na wengine wakishadidia, Kweli niwaambie 2020 patachimbika na watu wengine wanaojiona ni miungu watu watajua kuna watanzania.
Membe shime, Dedede kazia hapo hapo.
Wakati Mwingine tuseme Ukweli. kwa sasa bora kuwe na fisadi Membe kuliko tulivyo sasa (NB: Fisadi Membe kwa maana Yeyote agaist CCM ni Fisadi na Mwizi - Kwa mtazamo wa CCM wengi)